Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,535
Nipo BancABC cash card.Ebay watairudisha fedha Paypal
Paypal watairudisha kwenye Bank husika.
Kuna baadhi ya benki - Automatic refund utaipata baadabya saa 72
Na kuna baadhi ya benki - Inakubidi usubiri zipite siku 3 hadi 5, ndipo uende benki kufuatilia au upige simu au utume email ndik fedha yako itashughulikiwa na utaiona katika balance yako.
Utakuja PM uniambie ni benki gani, ili nikushauri jinsi ya kufuatilia.
Karibu
Tiririka hapa na wengine wafaidike. Kitu kimeandikwa Shipped sijui katuma makorokoro gani?
Ebay wamesema nisubiri siku 7 kama seller haja-response wananirefund