Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

DHL kiboko, barua tu kuja Uingereza wanatoza elfu sabini na tano!!! Walipo hojiwa wakasema hiyo ni minimum charge kwa uzito wa kuanzia milligram mpaka nusu kilo i.e flat rate bila ya kujali uzito mradi usizidi nusu kilo, ukizidisha nusu kilo unaingizwa kwenye charge bracket nyingine!
 

Mkuu angalia hizi Shipment price toka USA to other countries Bongo tupo Zone M Worldwide Shipping.



Cc: @C6
 

Attachments

Mkuu ni hivi karibu wauzaji wote wa E bay wanatumia paypal ambayo kama una check out basi automatic inafungua akaunti yako ya paypal unaingiza password na kujubali malipo ambayo ni pale pale anayapata.

Nami saizi nazidi kufuatilua kuhusu DHL ili nijue usalama wake.
 
mkuu walikutumia kupitia njia gani? Nikimanisha posta au DHL
 

Mkuu kuna Mdau anaitwa farooq2013 anadai eti Uki-upgrade acc yako ya PP kuwa premiere/bussiness account
Unapokea malipo thru paypal online labda mtupeni mssaada hapa
 
Last edited by a moderator:

ahaaa tnx alot ngoja niendelee kujifunza zaid pia kupitia wachangiaji
 
Mkuu kuna Mdau anaitwa farooq2013 anadai eti Uki-upgrade acc yako ya PP kuwa premiere/bussiness account
Unapokea malipo thru paypal online labda mtupeni mssaada hapa
kuna kitu kama hicho nimesoma kwenye account yangu ya paypal ila mie kutoa ukwasi wahivi hivi uwa najiuliza mara mbili mbili
 
kuna kitu kama hicho nimesoma kwenye account yangu ya paypal ila mie kutoa ukwasi wahivi hivi uwa najiuliza mara mbili mbili

Premier account its only 2.6$ per 30 Days almost buk 4 ya kibongo,

Nilikua naangalia baadhi ya resellers wa VPN hapa bongo wanasema wanapokea hata kwa PayPal nkawa najiulia hawa wako bongo gani?? Kumbe kuna hii kitu chini chini
 
Nimeona Mkuu. Basi kutuma mzigo toka hiyo Zone kuja TZ ni too expensive kwa DHL. Ni vizuri kununua bidhaa kutoka zones ambazo shipping fee yake ni nafuu.
Mkuu angalia hizi Shipment price toka USA to other countries Bongo tupo Zone M Worldwide Shipping.



Cc: @C6
 
mara nyingi sana unaponunua vitu kama spear parts ndogo ndogo kama za pikipiki magari vioo vya simu betri za laptop, screen za tv au simu nk nk hivi huwa vinafika salama kabisa wafanyakazi wa posta hawana interest navyo maana akiiba screen ya HTC itamchukua muda sana kupata mnunuzi. Hapa unaweza kutumia sanduku la posta hata kwa free shipping

Lakini kama unanunua simu, kamera laptop nk yaani bidhaa nzima ni bora ukawatumia akina DHL au ukatumiwa kwa registered hapo utakuwa na uhakika wa kupata mzigo wako ingawa gharama inahusika zaidi

Seller wengi hasa wa spear parts za simu na simu zenyewe ni wachina, bidhaa zao ni za kichina ingawa ubora upo vizuri, hawa maranyingi wanaship mizigo yao kutokea China au Hong Kong na shipping huwa ni free. Hawa ni rahisi sana kuwaambia waandike gift ili ukwepa kodi lakini sio seller wa kutoka USA, UK au Canada....hawakubali ku lebel item as Gift

Kuna jamaa humu ndani wako USA kama sijakosea wao ukinunua kitu ebay unakidirect kwao USA na baada ya kupokea wanakutumia kwa njia zao na mzigo unakufikia salama kabisa,,,gharama zaidi inahusika

MUHIMU soma kwa makini Item description na hasa unapokuta bidhaa inauzwa kwa bei ndogo sana
Invisible tunaoma muistiki hii sredi imekuwa msaada mkubwa
 
Last edited by a moderator:
Leo nimefanikiwa kupita crdb bank, Millenium Tower Branch. Gharama za ku'activate E-Commerce Transaction account ni 30 USD na hiyo ndo fee pia ya kila mwezi. Pia wanakata 5% kwa kila online transaction utakayofanya. Next week ntafika Azikiwe ambako ni branch yangu na pia ni HQ nipate uhakika wa hizi taarifa.
 

Mkuu kuna vitu vi wili hapa Internet Banking na Purchase online(Hii ndio inayo ongelewa hapa) na kwa mujibu wa CRDB Banck huduma ya Purchase onlie ni completely FREE
 

Mkuu kuna vitu vi wili hapa Internet Banking na Purchase online(Hii ndio inayo ongelewa hapa) na kwa mujibu wa CRDB Banck huduma ya Purchase onlie ni completely FREE
internet banking kuna mpunga unakatwa initially, ila online purchase ni fomu unajaza afu unasikilizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…