SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 649
Ila kwa kweli hawa jamaa wa posta wakati mwingine wana kauvivu fulani lakini kuna wakati pia wanazidiwa na kazi kwa sababu kwa sasa hivi watu wanaoagiza mizigo kutoka nje wamekuwa wengi na hivyo kuwawia ugumu fulani wa kushughulikia swala hilo. Kwa mfano mtu anapoitwa kuchukua mzigo wake ni hatua zipi hufanyika mpaka kukabidhiwa mzigo wake. Hapa ni baadhi tu, 1. Kufungua mizigo na kuweka vifurushi vya mhusika pamoja, 2. Kuandika namba za simu na kumwita mhusika, 3. Kuscan barcode za vifurushi, 4. Kujaza jina na taarifa za kitambulisho chako kwenye kitabu, tarehe na muda wa delivery nk.Wakati mwingine posta makao makuu wanachanganya mizigo. Mzigo ambao unatakiwa uende kibiti posta unaenda singida.
Mfano halisi : niliagiza mzigo tangu mwezi wa 10 mwaka Jana na ulifika posta kuu mwezi wa kumi na mbili{shipping way haikuwa express). Mzigo ulipaswa kufika Chalinze.
Nilisubiri Sana mzigo haukufika na nikitrack naambiwa anuani imekosewa ingawa mzigo upo nchini.
Sasa mwezi wa pili mwaka huu posta kawe walinipigia Kama Kuna mzigo upo kwao na ulitumwa kimakosa. Nikawaambia ok fine,tumeni huo mzigo uje Chalinze.
Mpaka muda huu mzigo bado hawajatuma na Kila nikiwatafuta wananiambia watatuma.
Kwa hiyo posta kuu wakati mwingine wanamisplace mizigo.
Sent using LEAGOO M12
Mkuu hiyo DOOGEE umeagizia kwa muuzaji gani? Nataka N20.Jana tarehe 3/1/2020 nimepokea percels zangu zilizosafirishwa kupitia AliExpress standard shipping.
Percel ya Kwanza 20 days kuipata mkononi na ya pili 30 days.View attachment 1311656View attachment 1311657View attachment 1311658
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo DOOGEE umeagizia kwa muuzaji gani? Nataka N20.
Mzigo inafikia posta?
nawezaje kuorder aliexpress make mejarbu afu naambiwa uwez kutumwa kwenye location yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kusubiria package ya Aliexpress tokea december,2019 ikiwa inaonyesha despatched to overseas hadi leo. Aliexpress wali Handle dispute na kunirudishia pesa kwenye MPESA master card yangu na baadaye huu ndio ujumbe niliotumiwa na SELLER- Fantancy technology ukionyesha kwamba seller analalamika kuhusu Tanzania mizigo kutofika.
Sasa sijui kwa wazoefu kama kuna ukweli kuhusu Historia kama hii kwa sellers wengine Aliexpress....
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Hi Dear Customer,
Good day. Sorry to disturb you.
We have confirmed with shipping carrier that the parcel may be resent again recently,have you received your parcel? and we had refunded you the money in the dispute before, If you had received your parcel, we hope you can pay back some money to us. 🙂 Your order's price is USD 103.67 . We have applied some discount for you because the package delayed. so you just need to pay us USD 82.93 .
You can pay the money from here https://www.aliexpress.com/store/product/Difference-Link-Please-Note-That-The-Difference-is-for-which-order/609089_32794******.html Please choose quantity: 82.93 when you pay it and please take note "payment for order 8007981637*********" when you pay it. As for your your good trustworthiness record, we will give you discounts when you need to order in future and continue to provide compensation service for your order.[Put on steam] However, If you still not received the package,you can choose to pay back to us when you get the package from shipping carrier.
As we have compensated many orders from your country,we lose a lot of money.If you have received the parcel,we hope you can pay back us some money to reduce part of our losses.Or we have no choice to close the shipment to your country to prevent more losses. if you have any questions,please contact us.Service people are here with you all the time .
Best Regards,
Stephanie
Fantacy Customer Service Team
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kabla ya kufungua dispute uliwasiliana na seller? Isije ikawa ulikimbilia kufungua dispute bila Kwanza kushuhulikia tatizo na seller. Dispute inatakiwa iwe hatua ya mwisho kabisa Ila kabla protection time kuisha.
Protection time ikikaribia kuisha(60 days),ukimwambia seller kuwa bado hujapokea mzigo,ataongeza muda ili kukulinda wewe. Na endapo bado hujapokea pia ukiwasiliana naye mtafikia makubaliano mazuri tu na ikishindikana kabisa ndio itabidi ufungue dispute.
Kuna baadhi ya wateja wanapokea mizigo alafu hawafanyi confirmation then mwisho wa siku Wanafungua dispute na kurudishiwa pesa zao(Wizi). Hii inasababisha sellers wengi kulalamika na kwa kuwa hataki umewekee negative feedback anakubali yaishe.
SASA KAMA NI KWELI HUJAPOKEA MZIGO MPAKA LEO NA TAYARI UMESHARUDISHIWA PESA YAKO ITABIDI UWE MWAMINIFU SIKU UKIUPOKEA UMLIPE JAMAA PESA ZAKE.
NINAAMINI HUO MZIGO HAUTOPOTEA NA UTAUPATA.
AliExpress sio wajanja wajanja wapo systematic.
Inawezekana delay ya huu mzigo Ni kwa sababu ya ishu ya korona.
Sent using LEAGOO M12
Mithali 12:22Baada ya kusubiria package ya Aliexpress tokea december,2019 ikiwa inaonyesha despatched to overseas hadi leo. Aliexpress wali Handle dispute na kunirudishia pesa kwenye MPESA master card yangu na baadaye huu ndio ujumbe niliotumiwa na SELLER- Fantancy technology ukionyesha kwamba seller analalamika kuhusu Tanzania mizigo kutofika.
Sasa sijui kwa wazoefu kama kuna ukweli kuhusu Historia kama hii kwa sellers wengine Aliexpress....
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Hi Dear Customer,
Good day. Sorry to disturb you.
We have confirmed with shipping carrier that the parcel may be resent again recently,have you received your parcel? and we had refunded you the money in the dispute before, If you had received your parcel, we hope you can pay back some money to us. 🙂 Your order's price is USD 103.67 . We have applied some discount for you because the package delayed. so you just need to pay us USD 82.93 .
You can pay the money from here https://www.aliexpress.com/store/product/Difference-Link-Please-Note-That-The-Difference-is-for-which-order/609089_32794******.html Please choose quantity: 82.93 when you pay it and please take note "payment for order 8007981637*********" when you pay it. As for your your good trustworthiness record, we will give you discounts when you need to order in future and continue to provide compensation service for your order.[Put on steam] However, If you still not received the package,you can choose to pay back to us when you get the package from shipping carrier.
As we have compensated many orders from your country,we lose a lot of money.If you have received the parcel,we hope you can pay back us some money to reduce part of our losses.Or we have no choice to close the shipment to your country to prevent more losses. if you have any questions,please contact us.Service people are here with you all the time .
Best Regards,
Stephanie
Fantacy Customer Service Team
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Mithali 12:22
Midomo ya uongo ni chukizo kwa BWANA;
Bali watendao uaminifu ndio furaha yake.
Kuna order nilifanya mwaka jana ila mpaka sasa haijaja na nilipokuwa nikijaribu kuwasiliana naye, meseji zangu zilionyesha "Unread" nikaamua kuopen dispute na AE walinirefund.
Ila kama itafika basi kulipwa ni haki yao.
Kuna order nyingine nilifanya ikachelewa sana nikarudishiwa hela baadaye mzigo ukaja. Ila nilipowasiliana na seller aniambie jinsi ya kumlipa akawa anasoma meseji zangu hanijibu sasa nikashindwa alichomaanisha.
Mimi nawashauri tu tuendelee kuwa waaminifu. Tusiichafue nchi yetu ikawa na bad reputation maana sellers watatuogopa ingawa baadhi yetu si wa kuogopeka.
Hii hapa chini ni ile ambayo mpaka sasa haijaja.View attachment 1426765View attachment 1426766
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok ngoja tuone wadau watasemaje maana haya mambo yanabadilika sana. Nyuzi za nyuma zinaweza kua haziendani na teknolojia ya sasa. Yawezekana mambo yamebadilikaUsipopata majibu haraka, zipo nyuzi nying tu humu zinajibu hayo maswali na mengne ambayo hujauliza.
Kaka naomba uniambie kwny shipping address umejazaje hapo pananichanganya. Ila sehemu zingine hamna shida sana. Km inawezekana screen shot shipping address yako hlf unitumie nioneJana tarehe 3/1/2020 nimepokea percels zangu zilizosafirishwa kupitia AliExpress standard shipping.
Percel ya Kwanza 20 days kuipata mkononi na ya pili 30 days.View attachment 1311656View attachment 1311657View attachment 1311658
Sent using Jamii Forums mobile app
ANGALIA HII PICHA HAPA CHINIKaka naomba uniambie kwny shipping address umejazaje hapo pananichanganya. Ila sehemu zingine hamna shida sana. Km inawezekana screen shot shipping address yako hlf unitumie nione
Sent using Jamii Forums mobile app
Mrejesho.Mithali 12:22
Midomo ya uongo ni chukizo kwa BWANA;
Bali watendao uaminifu ndio furaha yake.
Kuna order nilifanya mwaka jana ila mpaka sasa haijaja na nilipokuwa nikijaribu kuwasiliana naye, meseji zangu zilionyesha "Unread" nikaamua kuopen dispute na AE walinirefund.
Ila kama itafika basi kulipwa ni haki yao.
Kuna order nyingine nilifanya ikachelewa sana nikarudishiwa hela baadaye mzigo ukaja. Ila nilipowasiliana na seller aniambie jinsi ya kumlipa akawa anasoma meseji zangu hanijibu sasa nikashindwa alichomaanisha.
Mimi nawashauri tu tuendelee kuwa waaminifu. Tusiichafue nchi yetu ikawa na bad reputation maana sellers watatuogopa ingawa baadhi yetu si wa kuogopeka.
Hii hapa chini ni ile ambayo mpaka sasa haijaja.View attachment 1426765View attachment 1426766
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana mkuu mimi bado nasubiria package zangu.Mrejesho.
Mzigo wa pili niliouagiza mwezi wa 3. Umefika. Ni baada ya kukaa zaidi ya siku 40 ukiwa despatched to overseas. Kutoka dar hadi Arusha imechukua siku 1 tu!
View attachment 1442839
Sent using Jamii Forums mobile app
Mrejesho.