Mimi wangu niliupata ndani ya siku 30, ila mpaka leo ukiutrack status inasema dispatched to overseasMrejesho.
Mzigo wa pili niliouagiza mwezi wa 3. Umefika. Ni baada ya kukaa zaidi ya siku 40 ukiwa despatched to overseas. Kutoka dar hadi Arusha imechukua siku 1 tu!
View attachment 1442839
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi wangu niliupata ndani ya siku 30, ila mpaka leo ukiutrack status inasema dispatched to overseas
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Huwa mzigo ukishaingia tanzania, wanategemea response ya posta ndio itaonesha ndege pia imetua.Mimi wangu niliupata ndani ya siku 30, ila mpaka leo ukiutrack status inasema dispatched to overseas
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Hapana. Sio hii. Ile ilirudishwa hela bado haijafika, ilikuwa ni redmi 7A chinese version na niliorder kwa seller fantancyHingera mkuu.
Sasa mlipe seller hela yake maana ulituambia uli open dispute ukarudishuwa pesa yako.
Kuwa mwaminifu umlipe seller pesa yake.
Sent using LEAGOO M12
Hapana. Sio hii. Ile ilirudishwa hela bado haijafika, ilikuwa ni redmi 7A chinese version na niliorder kwa seller fantancy
Sent using Jamii Forums mobile app
nimeshaconfirmed ni zaidi ya week sasa ila bado status iko vilevileConfirm order received ili order iwe complete.
Sent using LEAGOO M12
Leave a feedback vile umeona huo mzigo wako.nimeshaconfirmed ni zaidi ya week sasa ila bado status iko vilevile
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
tafuta seller mwingine anaye SHIP kuja Tanzania. pia angalia kwenye Ship From chagua China, usichague Italy wala Spain
Wakuu samahanini naomba kuuliza hivi
.
Ebay katika kujaza taarifa za kadi ya malipo kwa mfano M-Pesa MasterCard, kipengele cha security code pale panajazwa nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana [emoji110]unaweka ile CVV code ambayo ni tarakimu tatu.
aise wale majamaa wana bei kufuluHivi mbona eBay ndio vitu Bei Sana kuliko hata mtaani hasa hasa Samsung phones
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuuliza kwa sasa mizigo inakuja kutoka china ukiagiza kwa aliepress? Kuna ambae amepokea mzigo april au mwezi huu wa tano kwa mwaka huu kwa njia ya posta?
Sent using Jamii Forums mobile app
nadhani bado mimi kuna mizigo nimeagiza tangu taree 11 mwezi wa 3 mbaka Leo bila bilaNaomba kuuliza kwa sasa mizigo inakuja kutoka china ukiagiza kwa aliepress? Kuna ambae amepokea mzigo april au mwezi huu wa tano kwa mwaka huu kwa njia ya posta?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu mizigo ni full kuchelewa. Mimi niki-kitrack inaonyesha mizogo imefika nchini ukiulizia posta unaambiwa bado hajapokea[emoji23][emoji23]nadhani bado mimi kuna mizigo nimeagiza tangu taree 11 mwezi wa 3 mbaka Leo bila bila
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimepokea mzigo mwezi huu mwanzoni. Mzigo huo niliagiza mwezi wa tatu mwaka huuNaomba kuuliza kwa sasa mizigo inakuja kutoka china ukiagiza kwa aliepress? Kuna ambae amepokea mzigo april au mwezi huu wa tano kwa mwaka huu kwa njia ya posta?
Sent using Jamii Forums mobile app