Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuata muongozo uliowekwa hapaKuna simu Redmi note 8 pro nimeiona Ebay, ukiangalia bei yake na shipping cost iko vuzuri, shida ni anwani ya posta (box) sina, je nafanyaje?View attachment 1650354View attachment 1650356
https://smartposta.posta.co.tz
Hiyo virtual private box naona iko poa kwa wasio na p.o. boxFuata muongozo uliowekwa hapa
Code:https://smartposta.posta.co.tz
Baada ya kupata anwani yako, Endelea na manunuzi.
Nimeshafanya registration tayari imebaki kulipia tu box. Hii username na password naipataje, maana katika kusajiri sinaona sehemu ya kunitaka kuweka username wala password, nafanyaje?Fuata muongozo uliowekwa hapa
Code:https://smartposta.posta.co.tz
Baada ya kupata anwani yako, Endelea na manunuzi.
Same problem here... Nimefanya malipo tayari... So how do I login...??Nimeshafanya registration tayari imebaki kulipia tu box. Hii username na password naipataje, maana katika kusajiri sinaona sehemu ya kunitaka kuweka username wala password, nafanyaje?View attachment 1650607
Na je km mzigo hujafika unaweza kufungua dispute km Ali express? Na vp km mzigo mkubwa wa kilo mia still unaweza kuupokea kwa njia ya posta? Na je mzigo km umekuja kwa meli sisi wa mikoani tutaupate?Ndio inawezekana
Muuzaji atakupatia baada ya mzigo kutumwa.
- Atakaye husika na clearance ndie utafanya naye mawasiliano kwa utaratibu wa kutumiwa mahala ulipo.Na je mzigo km umekuja kwa meli sisi wa mikoani tutaupate?
Hata kama ni mzigo wa Tani kadhaa, unaotoka nje ya nchi unakuja nchini iwe kwa sea shipping au air Freight , Huwa huo mzigo unakuwa na anwani ya muhusika na mawasiliano mengine kama namba za simu, email, fax etl.Na vp km mzigo mkubwa wa kilo mia still unaweza kuupokea kwa njia ya posta?
Ndio, ni utaratibu wa kawaida.Na je km mzigo hujafika unaweza kufungua dispute km Ali express?
Fika posta iliyo karibu nawe na utapewa msaada stahiki.Same problem here... Nimefanya malipo tayari... So how do I login...??
Je kwa Ali baba wanakata pesa kwenye mastecard moja kwa moja kama vile Ali express.Fika posta iliyo karibu nawe na utapewa msaada stahiki.
Ndio, ni kama aliexpress jinsi unavyofanya.Ali baba wanakata pesa kwenye mastecard moja kwa moja kama vile Ali express.
Sahihi, Bei ya manunuzi yaweza kuwa ndogo, Ila gharama ya kusafirishia ikawa kubwa. Ni kawaida.solar water pump imenivutia kwa kweli lkn seller amenishaur ninunue kwenye local market maana freight iko juu kwa moja.
Mkuu seller ameniulza kama nina shipper yoyote alikuwepo china amtumie ili kupunguza gharama, hii inakuwaje.Ndio, ni kama aliexpress jinsi unavyofanya.
Sahihi, Bei ya manunuzi yaweza kuwa ndogo, Ila gharama ya kusafirishia ikawa kubwa. Ni kawaida.
Hela yako iko salama.Mwezi October mwaka Jana nilijaribu kuagiza bidhaa AliExpress nilifanikiwa kufanya malipo. Tracking inaonyesha mzigo Bado haujafika na ni zaid ya mwezi toka tarehe husika ambayo mzigo ulitakiwa uwe umeshafika.na Airtel MasterCard haipokei pesa kwa hio refund nisahau
Pesa yangu ndo ishaliwa. wazoefu naombeni ushauri.View attachment 1681209
ukisoma terms and conditions zao... ikitokea mzigo umeupata baada ya refund huhesabika kama zawadi... ila kuwarudishia ni moyo wako tu..Hela yako iko salama.
AliExpress mambo yao ni ya kisomi na poa sana.
Mimi kuna order nilifanya ikamaliza miezi mitatu haijafika mfumo ukaconfirm automatic kwamba nimepokea na huku sijapokea chochote.
Nilifungua kesi ya madai na AliExpress Team wakaingilia kati na kunirefund.
Nasubiri siku mzigo ukifika niwalipe ingawaje ni hasara kufanya muamala mara mbili.
Ila kumbuka kuwalipa maana hawa jamaa weupe huwa wanatunza kumbukumbu za wateja wao.
Ukijidai mjanja mjanja kuna siku itakula kwako.
Pia uaminifu wakati mwingine ni mtaji.
Sent from my cupboard using mug
Kwa kweli mimi nilishazoea, kwanza huwa nakosa amani moyoni endapo nikinyamaza na huku nimepokea mzigo. Hata juzi juzi na jana pia nilirudisha hela walizokuwa wamerefund.ukisoma terms and conditions zao... ikitokea mzigo umeupata baada ya refund huhesabika kama zawadi... ila kuwarudishia ni moyo wako tu..
Waki refund pesa itaingia kwenye Airtel MasterCard?Hela yako iko salama.
AliExpress mambo yao ni ya kisomi na poa sana.
Mimi kuna order nilifanya ikamaliza miezi mitatu haijafika mfumo ukaconfirm automatic kwamba nimepokea na huku sijapokea chochote.
Nilifungua kesi ya madai na AliExpress Team wakaingilia kati na kunirefund.
Nasubiri siku mzigo ukifika niwalipe ingawaje ni hasara kufanya muamala mara mbili.
Ila kumbuka kuwalipa maana hawa jamaa weupe huwa wanatunza kumbukumbu za wateja wao.
Ukijidai mjanja mjanja kuna siku itakula kwako.
Pia uaminifu wakati mwingine ni mtaji.
Sent from my cupboard using mug
Naam, itaingia hukohuko Airtel MasterCard.Waki refund pesa itaingia kwenye Airtel MasterCard?
Kumbe Airtel master card unaweza kulipia AliExpress bidhaa zaoNaam, itaingia hukohuko Airtel MasterCard.
Sent from my cupboard using mug
Yaa, unalipia kwayo.Kumbe Airtel master card unaweza kulipia AliExpress bidhaa zao