Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari,
Ninihitaji kuagiza bidhaa Aliexpress so sijawahi kufanya hivyo hata siku moja
Hivyo naomba wenye kufahamu mnieleweshe ili niwe na ufahamu niwe naagiza Bidhaa huko na ziweze kufika salama
Mkuu samahani, vip kuhusu usalama wa pesa? Na mpesa wanaconvert kwenda usd siyo?Fungua account Aliexpress, jaza taarifa za anuani yako kwa usahihi.
Tengeneza MasterCard kwa M-pesa au Airtel Money.
Chagua bidhaa unayoipenda. Hakikisha muuzaji anaShip kuja Tanzania. Kama una maswali mtumie seller message na atakujibu.
Kwenye shipping Chagua Aliexpress standard shipping.
Lipia mzigo wako, utatumwa kwenye address uliyoijaza kwenye profile yako na utapokelea Posta iliyo karibu na wewe.
Mkuu samahani, vip kuhusu usalama wa pesa? Na mpesa wanaconvert kwenda usd siyo?
Shipment iliwahi kuwa cancelled kwa madai mzigo haonekani au kwa lugha rahisi umepotea.Mkuu samahani, vip kuhusu usalama wa pesa? Na mpesa wanaconvert kwenda usd siyo?
Ikitokea mzigo umeharibika unafanyajeShipment iliwahi kuwa cancelled kwa madai mzigo haonekani au kwa lugha rahisi umepotea.
Ilikuwa rahisi kudai fidia na walinilipa fedha zangu haraka kwa kuwa ushahidi nilikuwa nao na ni ndani ya system yao wenyewe.
Hivyo usiwe na wasiwasi juu ya usalama.
Pia kumbuka kurekodi video na picha unapofungua mzigo baada ya kupokea maana inaweza ikawa ushahidi mzuri kudai irudishiwe fedha pale unapokuta mzigo umeharibika au sio wenyewe.
Kuna utaratibu wa kurudisha ila ni vema ukawa na ushahidi na wao wajiridhishe. Sema huwa kuna utata kama mzigo ukiharibika maana wahusika kuanzia seller hadi msafirishaji watarushiana mpira.Ikitokea mzigo umeharibika unafanyaje
Habari,
Ninihitaji kuagiza bidhaa Aliexpress so sijawahi kufanya hivyo hata siku moja
Hivyo naomba wenye kufahamu mnieleweshe ili niwe na ufahamu niwe naagiza Bidhaa huko na ziweze kufika salama
Xiaomi Users TZ [emoji1241]Habari,
Ninihitaji kuagiza bidhaa Aliexpress so sijawahi kufanya hivyo hata siku moja
Hivyo naomba wenye kufahamu mnieleweshe ili niwe na ufahamu niwe naagiza Bidhaa huko na ziweze kufika salama
mkuu kwa mimi ambaye sina account ya posta inakuwaje, make naona kufungua hiyo smartposta inakua gharama make na kitu ninachihitaji ni kidogo tu betri la simu, ambalo kwa hapa bongo nimeshapoteza tumaini la kupata.Fungua account Aliexpress, jaza taarifa za anuani yako kwa usahihi.
Tengeneza MasterCard kwa M-pesa au Airtel Money.
Chagua bidhaa unayoipenda. Hakikisha muuzaji anaShip kuja Tanzania. Kama una maswali mtumie seller message na atakujibu.
Kwenye shipping Chagua Aliexpress standard shipping.
Lipia mzigo wako, utatumwa kwenye address uliyoijaza kwenye profile yako na utapokelea Posta iliyo karibu na wewe.
Msaada nitajuaje supplier ktk Alibaba kuwa si fake na ni guineMm eBay nachukuaga sana mizigo
Na bidhaa nyingi nauza humu jf
mkuu chief-mkwawa mm natumia box la chuo hivo silipiagi kitu chochote zaidi ya ile shiping fee iliyoandikwa na muuzaji
Kama alivyo sema chief-mkwawa inabidi kuangalia repitation ya seller
Maana mm kama mnakumbuka nilianzisha thread ya "hivi eBay ni genuine market place" sababu niliona iPhone 5 $14.99 na Mac book mpya $24.99
seller alikuwa wa china na akuwa na positive feedback hata moja
Baada ya dakika na baada ya mm kufanya payment nikaambiwa kwa email, item removed
Namshukuru Mungu nili open case nakikawa refunded lkn hadi leo hii refund sijawahi kuiona kwenye Bank statement naliamua chuna tu
HOPE YOU WILL LEARN FROM WHAT HAPPENED TO ME
joeli@Simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.
Mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.
Baada ya wiki 3 nimekipata kioo.
Kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.
JIBU: UncleUber replied; mzigo wako utaupokelea posta au mahala popote ambapo utakuwa umeomba mzigo wako upelekwe; mfano unaweza(kama umelipia gharama za kuuleta kwa njia husika) kuja DHL au USPS n.k utaukuta kwenye ofisi husika, mara nyingi uwa wanakupigia simu kifurushi chako kikifika (hata posta wanapiga simu)
Tafuta supplier ambaye ana nembo ya gold lakini pia awe verified na Alibaba. Yaaani awe na sifa zote mbili.Msaada nitajuaje supplier ktk Alibaba kuwa si fake na ni guine
Fungua account ya usa hlf kule watakua wanakufowadia mizigoKila nikitaka kununua kitu eBay naambiwa seller can not deliver to this address
Vipi mkuu. We unamtumia agent gani USA?Fungua account ya usa hlf kule watakua wanakufowadia mizigo
Maelekezo zaid kakaFungua account ya usa hlf kule watakua wanakufowadia mizigo