Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Habari,
Ninihitaji kuagiza bidhaa Aliexpress so sijawahi kufanya hivyo hata siku moja
Hivyo naomba wenye kufahamu mnieleweshe ili niwe na ufahamu niwe naagiza Bidhaa huko na ziweze kufika salama
 
Habari,
Ninihitaji kuagiza bidhaa Aliexpress so sijawahi kufanya hivyo hata siku moja
Hivyo naomba wenye kufahamu mnieleweshe ili niwe na ufahamu niwe naagiza Bidhaa huko na ziweze kufika salama

Fungua account Aliexpress, jaza taarifa za anuani yako kwa usahihi.
Tengeneza MasterCard kwa M-pesa au Airtel Money.

Chagua bidhaa unayoipenda. Hakikisha muuzaji anaShip kuja Tanzania. Kama una maswali mtumie seller message na atakujibu.

Kwenye shipping Chagua Aliexpress standard shipping.

Lipia mzigo wako, utatumwa kwenye address uliyoijaza kwenye profile yako na utapokelea Posta iliyo karibu na wewe.
 
Mkuu samahani, vip kuhusu usalama wa pesa? Na mpesa wanaconvert kwenda usd siyo?
 
Mkuu samahani, vip kuhusu usalama wa pesa? Na mpesa wanaconvert kwenda usd siyo?

Usalama wa pesa kwa Aliexpress ni wa uhakika. Vitu vya kufanya ili kuepuka usumbufu wa kucheleweshewa mzigo ni kutafuta seller mwenye reviews nyingi ambazo ni positive.

Kuhusu malipo, pale Aliexpress kila kitu kitaonekana katika TSHS kwakuwa profile yako utakuwa umejaza Tanzania. Hivyo wakati wa kulipa utapewa gharama in TSHS
 
Mkuu samahani, vip kuhusu usalama wa pesa? Na mpesa wanaconvert kwenda usd siyo?
Shipment iliwahi kuwa cancelled kwa madai mzigo haonekani au kwa lugha rahisi umepotea.

Ilikuwa rahisi kudai fidia na walinilipa fedha zangu haraka kwa kuwa ushahidi nilikuwa nao na ni ndani ya system yao wenyewe.

Hivyo usiwe na wasiwasi juu ya usalama.

Pia kumbuka kurekodi video na picha unapofungua mzigo baada ya kupokea maana inaweza ikawa ushahidi mzuri kudai irudishiwe fedha pale unapokuta mzigo umeharibika au sio wenyewe.
 
Ikitokea mzigo umeharibika unafanyaje
 
Kingine uwe unacheki kitu kinaitcha user Feedback ratings kwa huyo seller, angalia watu wanamcoment vipi.
Maana unaweza agiza kikafika ila sio kitu ulichotegemea au kwa kuchelewa sana.
 
Ikitokea mzigo umeharibika unafanyaje
Kuna utaratibu wa kurudisha ila ni vema ukawa na ushahidi na wao wajiridhishe. Sema huwa kuna utata kama mzigo ukiharibika maana wahusika kuanzia seller hadi msafirishaji watarushiana mpira.

Muhimu ushahidi wa video wakati unafungua mzigo mzigo uwe nao na ukifungua malalamiko kwa aliexpress mfano, kuna sehemu ya kuonyesha.
 
Habari,
Ninihitaji kuagiza bidhaa Aliexpress so sijawahi kufanya hivyo hata siku moja
Hivyo naomba wenye kufahamu mnieleweshe ili niwe na ufahamu niwe naagiza Bidhaa huko na ziweze kufika salama

Unaweza kujifunza zaidi hapa bure kabisa
 
Humu kwenye group utapata unachotaka kujua, Hatua kwa hatua kwa kiswahili na ni free..
Habari,
Ninihitaji kuagiza bidhaa Aliexpress so sijawahi kufanya hivyo hata siku moja
Hivyo naomba wenye kufahamu mnieleweshe ili niwe na ufahamu niwe naagiza Bidhaa huko na ziweze kufika salama
Xiaomi Users TZ [emoji1241]
Welcome to Xiaomi Fans & Users TZ Group! [emoji4] Feel free to share your experiences with others, Your New Xiaomi brands, MIUI New features & Online Shopping and purchases experiences from Aliexpress, Amazon, eBay, Banggood, Taobao, Gearbest, Alibaba e.t.c...!
 
Hivi vitu vingine inabidi tununue hapa kwetu maana shipping INA ghalama kuliko kifaa ulichoagiza
 
mkuu kwa mimi ambaye sina account ya posta inakuwaje, make naona kufungua hiyo smartposta inakua gharama make na kitu ninachihitaji ni kidogo tu betri la simu, ambalo kwa hapa bongo nimeshapoteza tumaini la kupata.
ni BM 46 betri la xiaomi redmi note 3
 
Msaada nitajuaje supplier ktk Alibaba kuwa si fake na ni guine
 
joeli@
Nataka kujua Kama supplier ktk alibaba sio fake vigezo vipi nizingatie?
 
Naomba kujua vitu Kama nguo suti au wedding dress vinaweza kufika ukinunua kwa alliexpress?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…