Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Nimefungua pay pal wamekata 2,400
 
Nataka kujua uki-refundiwa pesa haifiki ?

Mana nimeona baadhi ya comments watu kurudishiwa miamala ila salio haliokuonekana.
 
Kwenye aliexpress shipping option kwa baadhi ya bidhaa zimeandikwa free shipping...vipi hapo ni kweli ni bure
 
free shipping...vipi hapo ni kweli ni bure
Utapata jibu kwa kuangalia huu mfano:
- Bidhaa inauzwa mfano dola '20', Kusafirisha ni dola '3.5'

- Mfanya biashara atakuandikia: Nunua bidhaa hii kwa US $23.5 na utasafirishiwa BURE kabisa ( a.k.a FREE SHIPPING)
------
Weka akilini kwenye biashara hakuna msamiati wa FREE , Ni lugha tu za 'laghai' za 'kibiashara'.
------
 
wakuu mbona vitu vinauzwa kwa bei ndogo sana hiyo bei ni ya kweli au utapeli
 
Weka bidhaa kwenye 'Cart' uwe kama unataka kulipia, Ghalama kamili itajitokeza ikijumuisha na ghalama za usafirishaji.
Bei uionayo sio halisi, Gharama halisi hutolewa na muuzaji baada ya kuwasiliana naye.
---
---
Ingia kwenye hiyo link👆
 
hii bei ni ya ukweli tazama hii simu na mazumgumzo yetu hara tujaribu kuangalia je ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…