Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Nakujulisha soon, ManaJF ambaye huuza bidhaa tokea zanzibar.
Kwa manunuzi ya TV wasiliana na huyu: AbdulwahidJe una uzoefu na manunuzi ya vitu huko ili unisaidie Mkuu?
Ila kwanza pitia Thread zake ili uweze kujiridhisha: https://www.jamiiforums.com/search/14857646/
Kila lakheri ndugu Anigrain