Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok so ulikuwa unatakaje sasa?
Tuma link yake
simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.
mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.
baada ya wiki 3 nimekipata kioo.
kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.
naomba kujua ukisha fungua ac mfano crdb ukafanikiwa kupata hiyo master card unapofanya manunuzi online kwenye ac yako unaweka dolla au unaweza kufanya tu manunuzi kwa kutumia tz shillings benk ndio inabadisha kuwa dolla?maana bidhaa nying online zinauzwa kwa dolla.msaada wenu wadau
hauweki dollar wala huitaji kuweka dollar, japo hiyo ni disadvantage kwako wewe mteja na advantage kwa benki, so unaweza kuwa na akaunti ya dollar specific kwa ajili ya manunuzi japo makato yake ni tofauti na hii ya madafu,naomba kujua ukisha fungua ac mfano crdb ukafanikiwa kupata hiyo master card unapofanya manunuzi online kwenye ac yako unaweka dolla au unaweza kufanya tu manunuzi kwa kutumia tz shillings benk ndio inabadisha kuwa dolla?maana bidhaa nying online zinauzwa kwa dolla.msaada wenu wadau
Paypal walini refund baada ya muuzaji kukataa kwamba sijamtumia hela. Cha kusikitisha ni kwamba hiyo hela kweli ilikua refunded lakini kweny account yang ya crdb haionekaniSawa sawa mkuu labda niseme kila nchi nadhani zina sheria zake kuhusu bank nadhani na inategemea, pia vile vile me kutumia paypal huwa nikitaka kununua vitu huwa naangalia hasa seller ambao wapo UK maana china kuna high risk ya kudhulumiwa, ni kweli kwabongo upande wa refund nasikia wanasumbua sana huko ila naona nchi zinatofautiana ndugu yangu. me upande wa kusumbuliwa sijawahi kwa kweli, kama haijawahi kuonyesha refund basi akirefund tu labda usubirie 4 days then ukicheck account unaweza kuiona hela yako.
Wala usijali mkuu nadhani tunajaribu kueleweshana maana wote tunahitaji kujuwa experience tofauti tofauti. na ilikuwaje mpaka ukatuma kwa wanageria always huwa nacheck https:// before sijafanya anything hasa ikifikia kwenye maswala ya hela.
Paypal walini refund baada ya muuzaji kukataa kwamba sijamtumia hela. Cha kusikitisha ni kwamba hiyo hela kweli ilikua refunded lakini kweny account yang ya crdb haionekani
Paypal walini refund baada ya muuzaji kukataa kwamba sijamtumia hela. Cha kusikitisha ni kwamba hiyo hela kweli ilikua refunded lakini kweny account yang ya crdb haionekani
Benki zipo hizo... Kwa kifupi ungetoa vitu muhimu vinavyohitajika katika kupata hizo cardWadau, naweza kusema nimekuwa mtumiaji wa ebay kwa muda karibia mwaka, hata kuweza kufikia feedback scores 100+.
Kuhusiana na issue ya cards, kuna banks chache hapa mjini wanatoa visa usd cards, ambazo wala huitajiki kuwa na account ya iyo bank husika, wewe ni kwenda na ID kama ni leseni, pasipoti ama kitambulisho cha kupiga kura na wao wanakupa kadi, ambayo ni dollar denominated, wewe unachofanya ni kuweka shilingi ama dola, baada ya hapo wewe unaendelea na manunuzi yao, na ikitokea kukafanyika kwa refund huwa inarudi katika kadi yako na pia ujumbe wa kurudishiwa hizo pesa utakwenda katika anwani uliyosajilia katika paypal account.
Nawakilisha.
Kaka ukisoma hapo vizuri nimeandika,
"ID kama ni leseni, pasipoti ama kitambulisho cha kupiga kura na wao wanakupa kadi"
Ni banc ABC, kadi yao inauzwa kwa 20$, nenda na leseni ya udereva,pasipoti ama kadi ya kupiga kura watakupa kadi hapo hapo. na uzuri wao mwingine wana sms alert, ukifanya muamala wowote unapata ujumbe katika namba ya simu yako.
Nawakilisha.