Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Wazoefu tafadhali naomba msaada,nipo dodoma nataka ku import laptop computer toka CHINA Na seller anatumia DHL Tu.Kuna uwezekano swala la kodi ikawa kikwazo kikubwa kwangu ku clear mzigo?maana Kuna aehem nimepitapita kwenye mtandao nikaona since 2010 huwa hamna import duty china-Tanzania.
 
Unaweza mkuu. Na kama ndo hivyo itakuwa ndo kama vile nlivokuwa nkiskia kuwa hawacharge import duty on PC ila maybe kwa adapter yake! Kwa uhakika zaidi tembelea tovuti za TRA na Tanzania Posts Corporation
 
Wazoefu tafadhali naomba msaada,nipo dodoma nataka ku import laptop computer toka CHINA Na seller anatumia DHL Tu.Kuna uwezekano swala la kodi ikawa kikwazo kikubwa kwangu ku clear mzigo?maana Kuna aehem nimepitapita kwenye mtandao nikaona since 2010 huwa hamna import duty china-Tanzania.

Hakuna import duty wala vat kwa computer nd computer accessories ila tu kwa DHL utachajiwa gharama kidogo ya kukagua mzigo huwa wanalipa wao TRA wewe hiyo bill itaunganishwa kwenye parcel yako ukienda kuchukua unalipa hiyo charge
 
Thanx bro,umenitoa wasiwasi.kwahiyo itabidi nisafiri kufuata parcel dar au naweza letewa hapa mkoani dodoma alafu niwalipe hiyo pesa yao wakisha nikabidhi.
 
Watakuletea kulingana shipping address uloweka km uliweka ya dom watakuletea tu bila shida
 
kama umepokea mzigo na ukawaambia hujapokea watahakikishaje kama umepata mzigo?
Account /kadi yako itakuwa banned kufanya miamala ya mitandaoni kwa paypal. Hapo utakuwa umejiumiza ww. Vilevile unaweza fungwa if they decide to trace upotevu wa mzigo. Vilevile utakuwa umeharibu uaminifu na sifa ya taifa kwa ujumla na impact yake ni kuwa wauzaji watakuwa hawauzi bidhaa zao kwa watanzania
 
Nimeamua kutumia muda wangu wa masaa kadhaa kusoma comments za watu wote tangu thread ilipoanzishwa mwaka 2013. Nimejifunza karibu kila kitu kuhusu miamala ya mtandani. Na mtu mgeni akija asikimbilie kuuliza swali kwakuwa maswali karibu yote yameshajibiwa humu. Aidha, kwa kuanzia nimenunua software online kwa paypal niliyounganisha na crdb master card yangu. Sofware hiyo tayari naitumia japo ndo hivo ni one user. Kwa mtu asiejua maswala ya one user ni software ambayo haiwezi kutumika kwenye tarakilishi au rununu mbili kwa wakati mmoja lakini unaweza kui uninstall kwenye tarakilishi moja na kuweka kwenye nyingine ili mradi unazo product key na user name au product name. Vilevile nimenunua flash disk ebay kwa free shiping ikiwa ni majaribio ya kununua vitu online. Anuani nimetumia ya posta ya ofisini kwangu. Nitaleta mrejesho kwa ajili ya wale ambao wanataka feedback nyingi ili wajiunge na huduma hizi. Aidha, kila nifanyapo muamala crdb huwa wananipa notification sms kunitaarifu kuwa kadi yangu imetumika kununua au kutoa pesa TZS..... I love crdb kwakuwa wapo security conscious yanapokuja masuala ya pesa na vilevile hawapitwi na teknolojia kama ndugu zetu NMB. Kuhusu kuverify account ya paypal ni jambo muhimu kwakuwa linawahakikishia paypal na muuzaji kuwa hiyo kadi unayotumia ni ya kwako. Hii ni kutokana na ukweli kwamba ili kufanya miamala ya mtandao mtu haitaji kujua namba yako ya siri ya atm. Kwa mantiki hiyo mtu akiokota kadi yako au akiiba kadi yako anaweze kuiba fedha zako kwa kufanya manunuzi mtandaoni. So, kuna umuhimu wa kuverify account yako ili uwe mnunuzi mwenye kuaminika. Kwa wasiojua, tarakilishi= kompyuta
 
Wadau kuna mchangiaji mmoja aliwahi kusema CRDB pesa ikiwa refunded kuipata ni shughuli, kwa kweli hili ni kweli kabisa kwani mimi nimekuwa refunded tangu mwezi wa nne nafuatilia hiyo pesa hadi leo sijapata hela yangu. Nimeprint refund receipt nimewapelekea wanasema wanashughulikia kwa zaidi ya wiki tatu hamna jibu la kueleweka.
 
Pia jambo jingine limenitokea sijui kwa wengine kama limewapata, nimefanya transaction kama tatu, online na nimelipia na account yangu imekatwa hizo hela za transaction nilizofanya lakini Benki wananiambia nimefanya over credit kwamba siwezi kufanya miamala zaidi. Ndugu zangu kama umeelewa juu ya biashara ya mtandao utajua kiasi gani nashindwa kufanya transaction, buying or bidding any product. Nimewin a certain bid item nimeshindwa kulipa, NAJUTA kuwafahamu CRDB. Ushauri wenu wadau.
 
davidson689, nakushauri uwasiliane moja kwa moja na CRDB kujua swala hilo kwa uhakika!
 
Last edited by a moderator:
Pia jambo jingine limenitokea sijui kwa wengine kama limewapata, nimefanya transaction kama tatu, online na nimelipia na account yangu imekatwa hizo hela za transaction nilizofanya lakini Benki wananiambia nimefanya over credit kwamba siwezi kufanya miamala zaidi. Ndugu zangu kama umeelewa juu ya biashara ya mtandao utajua kiasi gani nashindwa kufanya transaction, buying or bidding any product. Nimewin a certain bid item nimeshindwa kulipa, NAJUTA kuwafahamu CRDB. Ushauri wenu wadau.
Go for Banc ABC
 
Kuna pending transaction nyingi ambazo umefanya na wao crdb bado hawajaclear. So, subiri wafanye clearance ya credit column yako. Aidha, jaribu kuwasiliana nao. Kuwa makini, si kila afisa huduma kwa wateja ana weledi wa mambo ya paypal na kununua vitu mitandaoni. Jaribu kuonana na watu wa department ya e banking
 
OK thanks kwa kunifumbua katika hili, lakini wao ndo waliotibiwa kufanya hizo clearance but kama mwezi sasa nahangaika nao wacha leo niende kuwa cheki tena nijue wamefikia wapi.
 
Kwa kawaida huwa kunakuwa na muda maalum wa ku clear miamala ya kibenki. Mfano, nlienda south africa nikafanya manunuzi kwa kutumia mastercard yangu na pia nilitoa fedha kwenye atm za kule. Kilichotokea ni kuwa zile fedha hazikutolewa kwenye account yangu ila wslizishikilia kwa mwezi mzima kiasi kwamba huwezi kuwithdraw pesa. Yaani kwenye salio zinaonekana lakini huwezi kutoa. Hii ni kwa mujibu wa sheria zao za kibenki. Lengo ni kukupa fursa kuwa kama hukufanya miamala hiyo kwa vyovyote utaenda kuuliza kwann fedha zako zimedhikiliwa na kama usipoenda zikifika takribani siku thelathini hivi ndio wanaclear huo muamala. Jaribu kuicheki account yako huenda una miamala mingi ambayo umeifanya ndani ya muda mfupi na yote haijawa cleared. Wakati mwingine ukienda benki na ukakiri kufanya miamala hiyo itakuwa rahisi ku clear account yako
 
Back
Top Bottom