King Shaat
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 863
- 835
Na hiyo ndo shida za wahudumu wa benki zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazoefu tafadhali naomba msaada,nipo dodoma nataka ku import laptop computer toka CHINA Na seller anatumia DHL Tu.Kuna uwezekano swala la kodi ikawa kikwazo kikubwa kwangu ku clear mzigo?maana Kuna aehem nimepitapita kwenye mtandao nikaona since 2010 huwa hamna import duty china-Tanzania.
Wazoefu tafadhali naomba msaada,nipo dodoma nataka ku import laptop computer toka CHINA Na seller anatumia DHL Tu.Kuna uwezekano swala la kodi ikawa kikwazo kikubwa kwangu ku clear mzigo?maana Kuna aehem nimepitapita kwenye mtandao nikaona since 2010 huwa hamna import duty china-Tanzania.
Hakuna import duty wala vat kwa computer nd computer accessories ila tu kwa DHL utachajiwa gharama kidogo ya kukagua mzigo huwa wanalipa wao TRA wewe hiyo bill itaunganishwa kwenye parcel yako ukienda kuchukua unalipa hiyo charge
Thanx bro,umenitoa wasiwasi.kwahiyo itabidi nisafiri kufuata parcel dar au naweza letewa hapa mkoani dodoma alafu niwalipe hiyo pesa yao wakisha nikabidhi.
poa kaka;wacha nijaribu nikifanikiwa nitarudi kutoa feedback.cost yake ni US261 na shipping cost ni US21.Watakuletea kulingana shipping address uloweka km uliweka ya dom watakuletea tu bila shida
Account /kadi yako itakuwa banned kufanya miamala ya mitandaoni kwa paypal. Hapo utakuwa umejiumiza ww. Vilevile unaweza fungwa if they decide to trace upotevu wa mzigo. Vilevile utakuwa umeharibu uaminifu na sifa ya taifa kwa ujumla na impact yake ni kuwa wauzaji watakuwa hawauzi bidhaa zao kwa watanzaniakama umepokea mzigo na ukawaambia hujapokea watahakikishaje kama umepata mzigo?
Go for Banc ABCPia jambo jingine limenitokea sijui kwa wengine kama limewapata, nimefanya transaction kama tatu, online na nimelipia na account yangu imekatwa hizo hela za transaction nilizofanya lakini Benki wananiambia nimefanya over credit kwamba siwezi kufanya miamala zaidi. Ndugu zangu kama umeelewa juu ya biashara ya mtandao utajua kiasi gani nashindwa kufanya transaction, buying or bidding any product. Nimewin a certain bid item nimeshindwa kulipa, NAJUTA kuwafahamu CRDB. Ushauri wenu wadau.
Go for Banc ABC
Sorry nilijua upo Capital cityNjombe sidhani hao jamaa kama wamefika.
Sorry nilijua upo Capital city
Kuna pending transaction nyingi ambazo umefanya na wao crdb bado hawajaclear. So, subiri wafanye clearance ya credit column yako. Aidha, jaribu kuwasiliana nao. Kuwa makini, si kila afisa huduma kwa wateja ana weledi wa mambo ya paypal na kununua vitu mitandaoni. Jaribu kuonana na watu wa department ya e bankingPia jambo jingine limenitokea sijui kwa wengine kama limewapata, nimefanya transaction kama tatu, online na nimelipia na account yangu imekatwa hizo hela za transaction nilizofanya lakini Benki wananiambia nimefanya over credit kwamba siwezi kufanya miamala zaidi. Ndugu zangu kama umeelewa juu ya biashara ya mtandao utajua kiasi gani nashindwa kufanya transaction, buying or bidding any product. Nimewin a certain bid item nimeshindwa kulipa, NAJUTA kuwafahamu CRDB. Ushauri wenu wadau.
Kuna pending transaction nyingi ambazo umefanya na wao crdb bado hawajaclear. So, subiri wafanye clearance ya credit column yako. Aidha, jaribu kuwasiliana nao. Kuwa makini, si kila afisa huduma kwa wateja ana weledi wa mambo ya paypal na kununua vitu mitandaoni. Jaribu kuonana na watu wa department ya e banking
Kwa kawaida huwa kunakuwa na muda maalum wa ku clear miamala ya kibenki. Mfano, nlienda south africa nikafanya manunuzi kwa kutumia mastercard yangu na pia nilitoa fedha kwenye atm za kule. Kilichotokea ni kuwa zile fedha hazikutolewa kwenye account yangu ila wslizishikilia kwa mwezi mzima kiasi kwamba huwezi kuwithdraw pesa. Yaani kwenye salio zinaonekana lakini huwezi kutoa. Hii ni kwa mujibu wa sheria zao za kibenki. Lengo ni kukupa fursa kuwa kama hukufanya miamala hiyo kwa vyovyote utaenda kuuliza kwann fedha zako zimedhikiliwa na kama usipoenda zikifika takribani siku thelathini hivi ndio wanaclear huo muamala. Jaribu kuicheki account yako huenda una miamala mingi ambayo umeifanya ndani ya muda mfupi na yote haijawa cleared. Wakati mwingine ukienda benki na ukakiri kufanya miamala hiyo itakuwa rahisi ku clear account yakoOK thanks kwa kunifumbua katika hili, lakini wao ndo waliotibiwa kufanya hizo clearance but kama mwezi sasa nahangaika nao wacha leo niende kuwa cheki tena nijue wamefikia wapi.