Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umeridhika na hiyo descrption ya item nunua maana mambo ya paypal unakuwa na peace kawaida tu
Lkn hizo 8MP inamaana camera yake imezidiwa na simu
Mm nimezoea 16MP ndo camera standard
wazo zuri ila sticky zimekuwa nyingi nataka kuzipunguza
Kwan tofauti ya hizi 12 mp Mara 16 mp ni nin? Ni quality ya video kiwa clearly au kuweza Ku zoom sana? Please cz I want 4 my YouTube videos hehe😁😁
Angalizo nilishawahi kununua betri ya laptop haikufika so ni kitu kimoja kati ya vitu 40 ambacho hakikufika, na vitu hvyo vyote huwa vinakuja posta na sio dhl.
ushauri kama ni kitu cha ghali tumia dhl.
wenye ujuzi kuhusu usps na ups naomba mtupe mwanga zaidi....
ups wako very fast ila not all ebay seller wanawatumia,ila usps ndo wengi mno na ukiangalia website ya usps wanatuma to tz via posta ems,ila tukipata mtu aliyewahi kuwatumia ts even better
Nahisi ziko USPS mbili nimewai kutumia moja ila kitambo and was still unexperienced na hizi purchase
Nakumbuka mzigo huo ulifika after 3weeks na nilifuata posta
ooooh.. uliagiza bidhaa gani maana mimi nina uchu mkali na ps3 na ts freakin cheap kwa hawa wenzetu na cost za kusafirisha ni below 100 bucks af yenyewe ni 200 bucks
ngoja nijaribu kununua chromecast kwanza ikifika nitanunua simu na ndo ps kaka., thanx sanaMm ilikuwa chupa ya dawa fulani ilikuwa marked na seller kuwa itakuwa shipped kwa USPS
USPS iko priority mail na standard mail nahisi kuna moja iko fast na naona nao tracking number zao ziko kama hakina dhl kwamba unajua kila step ya parcel na wako fasta pia nahisi 5days utakuwa umefika
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/63743-usps-package-to-tanzania-anybody.html
Mkuu ThinkPad....naitaji msaada wako namna ya kujiunga na acc ya paypal na process nzima ya kuagiza....plz namba zangu hizi 0655090000 natanguliza shukrani kwako mkuu.
Ni rahisi sana unatakiwa uende crdb ndio benk nzuri kutokana na system yao waki activate card yako unawaambia unataka kujiunga na paypal watakuelekeza kila kitu.
Mkuu ThinkPad mimi nina account ya baclays.....inawezekana?
wenye ujuzi kuhusu usps na ups naomba mtupe mwanga zaidi....