Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Kama umeridhika na hiyo descrption ya item nunua maana mambo ya paypal unakuwa na peace kawaida tu

Lkn hizo 8MP inamaana camera yake imezidiwa na simu
Mm nimezoea 16MP ndo camera standard

Kwan tofauti ya hizi 12 mp Mara 16 mp ni nin? Ni quality ya video kiwa clearly au kuweza Ku zoom sana? Please cz I want 4 my YouTube videos hehe😁😁
 
Anyways hii ni video camera sijajua kama 8MP ni nzuri... megapixels uonesha uclear wa picha
Camera nyingi madukani ni 14-16MP na utakuta kama haia extra features ni 125,000/-

Kwenye video camera sina uzoefu ni vema kufatilia madukani kabla ya kuinunua
 
Angalizo nilishawahi kununua betri ya laptop haikufika so ni kitu kimoja kati ya vitu 40 ambacho hakikufika, na vitu hvyo vyote huwa vinakuja posta na sio dhl.
ushauri kama ni kitu cha ghali tumia dhl.

Mkuu ThinkPad....naitaji msaada wako namna ya kujiunga na acc ya paypal na process nzima ya kuagiza....plz namba zangu hizi 0655090000 natanguliza shukrani kwako mkuu.
 
wenye ujuzi kuhusu usps na ups naomba mtupe mwanga zaidi....
 
ups wako very fast ila not all ebay seller wanawatumia,ila usps ndo wengi mno na ukiangalia website ya usps wanatuma to tz via posta ems,ila tukipata mtu aliyewahi kuwatumia ts even better
 
Nahisi ziko USPS mbili nimewai kutumia moja ila kitambo and was still unexperienced na hizi purchase
Nakumbuka mzigo huo ulifika after 3weeks na nilifuata posta
 
ooooh.. uliagiza bidhaa gani maana mimi nina uchu mkali na ps3 na ts freakin cheap kwa hawa wenzetu na cost za kusafirisha ni below 100 bucks af yenyewe ni 200 bucks
 
Mm ilikuwa chupa ya dawa fulani ilikuwa marked na seller kuwa itakuwa shipped kwa USPS
USPS iko priority mail na standard mail nahisi kuna moja iko fast na naona nao tracking number zao ziko kama hakina dhl kwamba unajua kila step ya parcel na wako fasta pia nahisi 5days utakuwa umefika
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/63743-usps-package-to-tanzania-anybody.html
 
ngoja nijaribu kununua chromecast kwanza ikifika nitanunua simu na ndo ps kaka., thanx sana
 
Mkuu ThinkPad....naitaji msaada wako namna ya kujiunga na acc ya paypal na process nzima ya kuagiza....plz namba zangu hizi 0655090000 natanguliza shukrani kwako mkuu.

Ni rahisi sana unatakiwa uende crdb ndio benk nzuri kutokana na system yao waki activate card yako unawaambia unataka kujiunga na paypal watakuelekeza kila kitu.
 
Mkuu ThinkPad mimi nina account ya baclays.....inawezekana?
 
wenye ujuzi kuhusu usps na ups naomba mtupe mwanga zaidi....

Inawezekana wenzangu wana bahati na hawa watu ila mm mara zote naishia kupata hasira mara ya mwisho nimesubiri iPad kwa zaidi ya siku 40 una-trace mzigo mpk unakata tamaa mpk leo hii nasubiri Ps3 ina siku 26 iko cheap sn na anaenitumia ni bahili haswaa ivo anawapenda mfn iPad ilitumwa kwa $ 20.15 ww google utaona comments za watu ujiridhishe.
 
BankAbc ndio inatoa cash card za kuaminika. Crdb card zao zinazingua sana
 
Maelezo mazuri kuhusu benk nenda kwenye benki husika mimi natumia crdb so wako vizuri hata kadi yako ikikatwa pesa unapata sms hapohapo. Ila kwa ushauri jitahidi usiweke pesa nyingi kwenye account ambayo umeiactivate kwa on line services.
 
Back
Top Bottom