Mkuu polesana, Hiyo ni Bacteria Leaf spot, kuisimamisha isienee zaidi check Active Ingredient inaitwa Mono- Di Potassium Phosate ( Agrifos 400- Jina LA kibiashara), tumia Cppper na Booster ( Omex au PotPhos) kuipa nguvu mimea ambayo haijashambuliwa. Huenda kuna unyevu mwingi eneo lako La shamba
QUOTE="kijani11, post: 25281359, member: 201241"]
View attachment 673651 View attachment 673651 View attachment 673652
Msaada wadau nyanya inashambuliwa nimekuwa nilipiga ridomil gold na Ninja tangia nimezitoa kataluni lakini naona hali imekuwa mbaya ghafla week hii. Kuna nnachoweza fanya kuokoa?
cc:
eddy mhando ,
kilimomaarifa.tajiri ,
Upepo wa Pesa na wadau wengine