Jifunze kilimo cha nyanya

Jifunze kilimo cha nyanya

Mkuu hizo mbolea za zamani sana,na ni hatarishi kwa afya ya mmea na udongi

Yaramila winner kwa mboga mboga na matunda ni poa sana

Ndani ya mda mfupi matokeo atayaona

Tunachoangalia ni kutopoteza nutrients na pia kuuweke mmea kwenye balance,soil ni best buffer lakini huwa unachemka ukikosa from the beginning. Yes yara mila winner ni nzuri sana but stage ya mwanzo kabisa hii kuweka winner hapana sababu hakuna matumizi ya potassium at this stage halafu economic way winner ghali zaidi ya can. Why ununue cha gharama na kuna ambavyo utapoteza while iko can inayostahiki na kila utakachoweka kinatumiaka vyema.

Umesema hizi mbolea za zamani na hatarishi kwa afya ya mmea na udongo,how? Naomba info please sababu tusije poteza watu kwa kuwaongoza vibaya. Remember no guessing in kilimo sababu guessing inaleta loss na anaeumia ni mkulima
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Hamna kitu hiyo ,nimetumia sana,sijui wanachanganya sukari na maji?

Kama hujatumia unasoma tu lebel hapo utisifia,ila hamna kitu

Wuxal macromix ndo funga kazi hapo

Sina hakika sana kama inaweza sajiliwa bila kutestiwa,sema wuxal ni nzuri zaidi sababu kampuni ziko tofauti. Kuna wanaofanya research kwanza kama buyer wa wuxal na kuna ambao wanaorder dawa china wanaweka label zao. Price huwa tofauti sababu anaefanya utafiti lazima akucharge na cost of research na hata ufanyaji kazi huwa tofauti but sio mbaya ukikosa wuxal ukatumia na hizi zingine sababu booster ni micro elements tu ndio uhitaji muhimu kama unaweka mbolea za chini vizuri booster nyingi utaziona nzuri
 
Tunachoangalia ni kutopoteza nutrients na pia kuuweke mmea kwenye balance,soil ni best buffer lakini huwa unachemka ukikosa from the beginning. Yes yara mila winner ni nzuri sana but stage ya mwanzo kabisa hii kuweka winner hapana sababu hakuna matumizi ya potassium at this stage halafu economic way winner ghali zaidi ya can. Why ununue cha gharama na kuna ambavyo utapoteza while iko can inayostahiki na kila utakachoweka kinatumiaka vyema.

Umesema hizi mbolea za zamani na hatarishi kwa afya ya mmea na udongo,how? Naomba info please sababu tusije poteza watu kwa kuwaongoza vibaya. Remember no guessing in kilimo sababu guessing inaleta loss na anaeumia ni mkulima
Mkuu

Nimekuwa mtafiti katika kilimo changu na mashamba yangu ,

Nimetumia DAP,CAN,NPK

1.mavuno hayaridhishi hata kidogo

2.nimejikuta natumia mbolea nyingi lakini mafanikio kidgo

3.niligharamia kupima udongo,ph ilionesha acid imezidi

Bado washauri watu watumie hizo mbolea?

Hayo mambo juu ni tofauti na YARAMILA WINNER

kama upo mbeya njoo uone utofauti wake!nikupeleke shambani

Kitu GHALI kina faida
 
Tatizo lakini sio wadudu tatizo hapa ni ugonjwa,fungus and bakteria effects zake ni ugonjwa ndio maana tuna tumia fungicides sio pesticides
Namaanisha for drenching and prevention of root knot nematodes ambayo ndo source of myauko au wilting,

Pia kwa ajili ya fusarium and bacterial wilt prevention ambayo mara nyingi hamna treatment
 
Sina hakika sana kama inaweza sajiliwa bila kutestiwa,sema wuxal ni nzuri zaidi sababu kampuni ziko tofauti. Kuna wanaofanya research kwanza kama buyer wa wuxal na kuna ambao wanaorder dawa china wanaweka label zao. Price huwa tofauti sababu anaefanya utafiti lazima akucharge na cost of research na hata ufanyaji kazi huwa tofauti but sio mbaya ukikosa wuxal ukatumia na hizi zingine sababu booster ni micro elements tu ndio uhitaji muhimu kama unaweka mbolea za chini vizuri booster nyingi utaziona nzuri
Mkuu

Umewahi tumia ken feeder au ni SUA knowledge?
 
Kuna mengi sana kwenye product tu baada ya kusajiliwa

Hasa kwenye corrupted world, wanapoisajili product huwa ni pieces kadhaa,hizo chache huwakilisha brand nzima,lakini zilizo sokoni ni kitu kingine kabisa...

Kwa akili ya kawaida tu

1.kenfeedeer lita moja 5000

2.wuxal nusu lita 18000 hadi 20000

Bado useme hivi vitu vitakuwa sawa,

Mimi kenfeeder sitaki isikia kabisa,shambani kwangu
 
Mkuu

Nimekuwa mtafiti katika kilimo changu na mashamba yangu ,

Nimetumia DAP,CAN,NPK

1.mavuno hayaridhishi hata kidogo

2.nimejikuta natumia mbolea nyingi lakini mafanikio kidgo

3.niligharamia kupima udongo,ph ilionesha acid imezidi

Bado washauri watu watumie hizo mbolea?

Hayo mambo juu ni tofauti na YARAMILA WINNER

kama upo mbeya njoo uone utofauti wake!nikupeleke shambani

Kitu GHALI kina faida

Mbeya udongo wenu ndio unatatizo ni tofauti na sehemu zingine,kama uko Mbeya unaweza kua umepata shida lakini sio tatizo mbolea tatizo ni udongo shusha ph kila mbolea itafanya kazi.

Pia mbolea kuna mbolea kuu na micro nutrients kama hutojali weka majibu yako ya udongo hapa kisha nitakupa way forward. Ukilinganisha CAN na Yara miller winner can ina nutrients kidogo kuliko winner sema sasa kama udongo wa magadi means lazima uone shida sababu can itapandisha magadi. Tenga eneo au mistari sehemu moja weka can,nyingine weka urea,nyingine weka SA kisha nyingine weka winner then tazama matokeo.
Sio kitu kidogo kubadilisha udongo na vivyo hivyo sio kitu kidogo kuurekebisha
 
Kuna mengi sana kwenye product tu baada ya kusajiliwa

Hasa kwenye corrupted world, wanapoisajili product huwa ni pieces kadhaa,hizo chache huwakilisha brand nzima,lakini zilizo sokoni ni kitu kingine kabisa...

Kwa akili ya kawaida tu

1.kenfeedeer lita moja 5000

2.wuxal nusu lita 18000 hadi 20000

Bado useme hivi vitu vitakuwa sawa,

Mimi kenfeeder sitaki isikia kabisa,shambani kwangu

Maelezo yangu nadhani hujayaelewa. Soma tena tafadhari sijasema ziko sawa nielewe kwanza hilo ila tambua mmoja anafanya research ya product yake mwingine ananunue tu nutrients na kufanya packing utofauti utakuwepo but sio kwamba hazifanyi kazi. Pia sababu uko Mbeya yap utaona unateseka sana na utofauti mkubwa but amini mimi niko Arusha kuna wanaolima kwa kupiga tu mbolea za juu na wanavuna balaa sababu soil ph iko sawa sehemu nyingi ph ni 6 halafu pia udongo ni rich in nutrients. Huko hata nutrients ni tatizo field nyingi zinakumbwa na ukosefu wa iron. Udongo ukiwa na ph kubwa kuna madini hayapandi at certain ph level.nitatuma hapa nutrients uptake versus soil ph uone why kwako unapata shida.
 
Mkuu

Umewahi tumia ken feeder au ni SUA knowledge?

Nimemaliza kusoma 2015 since then niko kazini tena kwenye project nafanya research,demos,trainings ya wataalam wa kilimo na wakulima pia nalima binafsi so ninachokueleza kama huniamini tafuta mtaalam unayemuamini akuelekeze then tazama key points zetu.

Mbolea kutokufanya kazi au dawa sio haswa mbolea yenyewe kuna mengi kama maji unayotumia,udongo,aina na hata time of applications.

Kikubwa ni kuubalance mmea kuhakikisha unatupa mavuno bora
e4ccbc45ee4fbb5bae5a58ab1e001f2f.jpg

8c06f8eb15e3ce8af20f4b26665a0b73.jpg
d857cbacdda7dfb1336150582830eb08.jpg
 
Namaanisha for drenching and prevention of root knot nematodes ambayo ndo source of myauko au wilting,

Pia kwa ajili ya fusarium and bacterial wilt prevention ambayo mara nyingi hamna treatment

Sorry hao bacteria na fungus huwezi wazuia for pesticide tumia fungicides,ziko nyingi tu zinafanya kazi mfano yenye mancozeb,yenye copper na hata yenye sulphur
Nematodes ziko nematicides nyingi sana ila ukipanda marigold shambani inasaidia sana sababu kuondoa tatizo haswa soil borne huwa ni long term procedures

Mnyauko kuna bacterial wilt,fusarium wilt na kuna mnyauko wa nematodes. Kama imenyauka kuanzia kwenye mzizi ila pia kuna botrytis inanyausha kuanzia shina. Kila moja ma treatment yake tofauti ndugu yangu
 
Kama kwako acid iko nyingi ni kupandisha ph,vipi imesoma ngapi ph level?

Ingawa sio rahisi sana kushusha ph au ukipandasha. Weka sana samadi shambani nayo ni buffer nzuri sana. Hapa npk bado inashusha ph ina acidic kiasi kidogo
 
Maelezo yangu nadhani hujayaelewa. Soma tena tafadhari sijasema ziko sawa nielewe kwanza hilo ila tambua mmoja anafanya research ya product yake mwingine ananunue tu nutrients na kufanya packing utofauti utakuwepo but sio kwamba hazifanyi kazi. Pia sababu uko Mbeya yap utaona unateseka sana na utofauti mkubwa but amini mimi niko Arusha kuna wanaolima kwa kupiga tu mbolea za juu na wanavuna balaa sababu soil ph iko sawa sehemu nyingi ph ni 6 halafu pia udongo ni rich in nutrients. Huko hata nutrients ni tatizo field nyingi zinakumbwa na ukosefu wa iron. Udongo ukiwa na ph kubwa kuna madini hayapandi at certain ph level.nitatuma hapa nutrients uptake versus soil ph uone why kwako unapata shida.
Mkuu

Bahati mbaya sana tunatumia id fake humu ndani

Sehemu gani Arusha wanatumia Booster pekee

Kwa sasa nipo kwa ugoro ,wilaya ya meru,nafanya mafunzo boss,niambie wapi wanatumia booster tu inaweza ikawa faida kwa upande wangu
 
Sorry hao bacteria na fungus huwezi wazuia for pesticide tumia fungicides,ziko nyingi tu zinafanya kazi mfano yenye mancozeb,yenye copper na hata yenye sulphur
Nematodes ziko nematicides nyingi sana ila ukipanda marigold shambani inasaidia sana sababu kuondoa tatizo haswa soil borne huwa ni long term procedures

Mnyauko kuna bacterial wilt,fusarium wilt na kuna mnyauko wa nematodes. Kama imenyauka kuanzia kwenye mzizi ila pia kuna botrytis inanyausha kuanzia shina. Kila moja ma treatment yake tofauti ndugu yangu
Huwez zuia wilt hizo hasa zikishambulia xylem bundles,zikitafuna kwisha habari yake...

Watch out
 
Kama kwako acid iko nyingi ni kupandisha ph,vipi imesoma ngapi ph level?

Ingawa sio rahisi sana kushusha ph au ukipandasha. Weka sana samadi shambani nayo ni buffer nzuri sana. Hapa npk bado inashusha ph ina acidic kiasi kidogo
Nilishatibu hilo tatizo mda mrefu boss

Nilovoanza tumia yaramila winner soil analysis ipo stable mkuu
 
Mkuu

Bahati mbaya sana tunatumia id fake humu ndani

Sehemu gani Arusha wanatumia Booster pekee

Kwa sasa nipo kwa ugoro ,wilaya ya meru,nafanya mafunzo boss,niambie wapi wanatumia booster tu inaweza ikawa faida kwa upande wangu

Good. Fika Maroroni,fika Akeri, Fika someli,fika sadec talk to farmers. Don't tell them wewe ni mtaalam hawatokupa insight yote. Fanya hivyo then leta majibu
 
Huwez zuia wilt hizo hasa zikishambulia xylem bundles,zikitafuna kwisha habari yake...

Watch out

Zikishashambulia xylem means unaongelea kutibu huwezi tibu but unaweza zuia kabla haijashambuliwa kama unajua field ina hilo tatizo hiyo mosi pili likianza pia unaweza tibu uko wapi nikupeleke kwenye Green house ambapo nimetibu botrytis ambayo ilishaanza kula shina?

Muda huu mimi niko Nduruma na monitor demos after two hours nitakua Usa river. Saa ngapi una muda?

Ukiwa na muda zaidi also kuna field ina fusarium wilt na kuna mimea imeshambuliwa nimetoa iliyopo na drench ridomil gold na sasa iko okay.
Kilimo ni science kubwa ambayo kila siku inakua zaidi ya jana.
 
Back
Top Bottom