the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
Nashukuru mkuu
Karibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru mkuu
Karibu sana
Nashukuru mkuu
Mkuu msimu huu unalima nyanya..?na ni mwezi wa ngapi kilimo cha nyanya kinaanza maeneo hayo..!natamani nije huko..!naomba uni pm namba yako kama hutojali..!Ndio hivyo mkuu boksi la nyanya 45000
hongereni wakuu mjadala ulikuwa mzuri tumepata manondo Sio ya nchi hiiStory behind this field. Wakulima wengi hawafanyi soil testing. Field ilikua na nyanya na part nyingine bilinganya,mazao yakiwa shambani fusarium wilt detected yakaanza kunyauka mmoja mmoja kubwa kiasi inanyausha bilinganya. So nikaamua kupambana na nyanya drenching ya ridomil gold gm1 kwa ltr 1 ya maji. Now mnyauko uko but kwa wiki tatu unaweza toa mmea mmoja tu na soon mavuno yataanza means bila kutumia fungicides ilikua complete loss,conclusion fungicides help with a problem of wilting haswa ikiwa ya fungus au ya bacteria. Unatumia dawa tofauto mancozeb,copper and sulphur zinasaidia sana
![]()
![]()
![]()
Ndio nalima mkuu, msimu utaanza mwezi wa tatuMkuu msimu huu unalima nyanya..?na ni mwezi wa ngapi kilimo cha nyanya kinaanza maeneo hayo..!natamani nije huko..!naomba uni pm namba yako kama hutojali..!
Nimejifunza kuna wataalamu wa kilimo humu wamesomea na sisi wenye uzoefu wa shambani na wengine wapya wanaojifunza kilimo tukishirikiana kila mmoja atapata faidahongereni wakuu mjadala ulikuwa mzuri tumepata manondo Sio ya nchi hii
Ni kweli Mkuu..!naona Pm inazengua naomba unicheki kwa hii 0655373129Nimejifunza kuna wataalamu wa kilimo humu wamesomea na sisi wenye uzoefu wa shambani na wengine wapya wanaojifunza kilimo tukishirikiana kila mmoja atapata faida
Poa nitakuchekNi kweli Mkuu..!naona Pm inazengua naomba unicheki kwa hii 0655373129
Dah nimepata shule kubwa sana kwenye huu uzi.Kuna wenzetu wanaelewa vema hili zao asanteni sana.Ila ninatatizo nyanya yangu inatoa maua sasa ila kuna baadhi yake inapukutisha maua.Je tatizo hilo linasababishwa na nini na je solution yake ni nini?Natanguliza shukurani
Karibu sana.
Kupukutika maua sababu huwa kati ya hizi
1. Maji hayatoshelezi au yanamwagiliwa bila mpangilio maalum hivyo mmea kupata stress
2.hujaweka mbolea yenye calcium kama can hivyo mmea unakosa calcium
3.kupulizwa kwa dawa kali wakati maji hayako ya kutosha.
Kiujumla kuanguka maua ni stress kwenye mmea na unafanya hivyo ili kupunguza matumizi ya chakula hivyo kuendelea kuishi,hii iko hata kwa miti huwa kunakipindi inapukutisha majani na maua yote.
Suluhisho
1.tazama unyeshaji wako,mmea ukiwa kwenye hatua ya kubeba au kutoa maua unahitaji maji ya kutosheleza.
2.kama hujatumia mbolea yenye calcium kama CAN basi weka sasa hivi itakupa calcium tatizo litaisha.
3.puliza dawa baada ya kunyesha mmea,ili kuepuka mmea kuzidiwa na dawa.
Ahsante sana
mkuu naomba namba yako PM plsPoa nitakuchek
T
The horticulturist sababu ulizozisema inawezekana ni sahihi kabisa maana upukutishaji nimeanza kuuona baada ya kupiga dawa kali za fungus na wadudu.
Suala la maji sijui yanahitajika kiasi gani nimefanya mulching na nikiangalia ardhi ya eneo linalopukutisha naona kama unyevu bado upo.
Mbolea ya CAN ni kweli sijawahi kuitumia zaidi ya kupandia ya kuku na kupiga mbolea za kwenye majani.
Mimea ina mwezi mmoja na nusu tangu ilipotoka kitaluni kuingia shambani hatua ya utoaji maua na matunda inaendelea , je ninaweza kuweka mbolea hiyo ya CAN shamba lote katika hatua hii?
Natanguliza shukurani mkuu.
Naomba kuuliza mbegu ya kisasa yenye unafuu wa bei tofauti na Assila,
Mbegu ya kisasa yeyote ina gharama ya uzalishaji haswa suala la utafiti hivyo usitegemee kuona tofauti kubwa sana. Mfano
Jarrah tsh 50 kwa punje moja
Kipato tsh elf 3 kwa punje 200
Victory tsh elf 3 kwa punje 200
Monteazul tsh 220 kwa punje moja etc etc etc
JaKama unyevu huko tatizo ni ukosefu wa calcium,weka can tatizo litaisha tafuta yara liva nitrabor ni itakupa majibu haraka sana
Safi sn mkuu umempa sababu za kitaalamu sn kwann maua yanapukutikaKaribu sana.
Kupukutika maua sababu huwa kati ya hizi
1. Maji hayatoshelezi au yanamwagiliwa bila mpangilio maalum hivyo mmea kupata stress
2.hujaweka mbolea yenye calcium kama can hivyo mmea unakosa calcium
3.kupulizwa kwa dawa kali wakati maji hayako ya kutosha.
Kiujumla kuanguka maua ni stress kwenye mmea na unafanya hivyo ili kupunguza matumizi ya chakula hivyo kuendelea kuishi,hii iko hata kwa miti huwa kunakipindi inapukutisha majani na maua yote.
Suluhisho
1.tazama unyeshaji wako,mmea ukiwa kwenye hatua ya kubeba au kutoa maua unahitaji maji ya kutosheleza.
2.kama hujatumia mbolea yenye calcium kama CAN basi weka sasa hivi itakupa calcium tatizo litaisha.
3.puliza dawa baada ya kunyesha mmea,ili kuepuka mmea kuzidiwa na dawa.
Ahsante sana