Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,239
- 827
Nimekutumia pmmkuu naomba namba yako PM pls
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekutumia pmmkuu naomba namba yako PM pls
Wengi mnaangalia utofauti wa bei wa assila na mbegu zengine za kisasaNaomba kuuliza mbegu ya kisasa yenye unafuu wa bei tofauti na Assila,
Mkuu hizi mbegu Sio zile nyanya yenye ngozi laini ambazo wafanyabiashara wanaziogopa? Hiyo Jarrah punje ngapi itatosha eka 3?
Namba yako haipatikani muda woteNi kweli Mkuu..!naona Pm inazengua naomba unicheki kwa hii 0655373129
Mkuu naona mambo ni moto,,nlipotea kdg ila naleta maswal yngu soonNimemaliza kusoma 2015 since then niko kazini tena kwenye project nafanya research,demos,trainings ya wataalam wa kilimo na wakulima pia nalima binafsi so ninachokueleza kama huniamini tafuta mtaalam unayemuamini akuelekeze then tazama key points zetu.
Mbolea kutokufanya kazi au dawa sio haswa mbolea yenyewe kuna mengi kama maji unayotumia,udongo,aina na hata time of applications.
Kikubwa ni kuubalance mmea kuhakikisha unatupa mavuno bora![]()
![]()
![]()
Duh!! Mkuu mm nimechanganya nyanya na pilipili hoho kwenye field moja,, Inaweza leta shida yoyote??Story behind this field. Wakulima wengi hawafanyi soil testing. Field ilikua na nyanya na part nyingine bilinganya,mazao yakiwa shambani fusarium wilt detected yakaanza kunyauka mmoja mmoja kubwa kiasi inanyausha bilinganya. So nikaamua kupambana na nyanya drenching ya ridomil gold gm1 kwa ltr 1 ya maji. Now mnyauko uko but kwa wiki tatu unaweza toa mmea mmoja tu na soon mavuno yataanza means bila kutumia fungicides ilikua complete loss,conclusion fungicides help with a problem of wilting haswa ikiwa ya fungus au ya bacteria. Unatumia dawa tofauto mancozeb,copper and sulphur zinasaidia sana
![]()
![]()
![]()
Duh!! Mkuu mm nimechanganya nyanya na pilipili hoho kwenye field moja,, Inaweza leta shida yoyote??
Mkuu ni wapi zinapatikana hzo kwa punje nijaribishe ht mbegu 500Mbegu ya kisasa yeyote ina gharama ya uzalishaji haswa suala la utafiti hivyo usitegemee kuona tofauti kubwa sana. Mfano
Jarrah tsh 50 kwa punje moja
Kipato tsh elf 3 kwa punje 200
Victory tsh elf 3 kwa punje 200
Monteazul tsh 220 kwa punje moja etc etc etc
Zinapandwa kwa "Mstari mmoja tu" ki vp mkuu??Jarrah eka moja ni punje elf 8 sababu zinapandwa mstari mmoja tu kwa umbali wa 1.5 mstari ( tuta) hadi mstari (tuta).
Ngozi yake ni ngumu sana na inahifadhika kwa mwezi mzima chini bila kuweka kwenye friji ( iwe sehemu cool and warm with room temperature). Mche mmoja ni kg 10 hivyo eka moja huwa ni kuanzia crate elf 1 kama itapata matunzo yote stahili
Upate to crate mia tano tosha sana
Ok, pia hizi hoho sijawah kuzpiga dawa yoyote toka nizipande mana sijawah ona dalili yyte mbaya japo na natarajia kuzihamishia shamban j3 na kuna chache ambazo nishaziamishiZao la famili moja means wadudu lazima wawe wengi itakulazimu kupiga sana dawa. Kukiwa na ugonjwa yote yanashambuliwa sababu ni same family. Ila kama kila kitu kitaenda sawa moja wapo litakupa hela nzuri
Ok, pia hizi hoho sijawah kuzpiga dawa yoyote toka nizipande mana sijawah ona dalili yyte mbaya japo na natarajia kuzihamishia shamban j3 na kuna chache ambazo nishaziamishi
Je kuna dawa yyte ntatakiwa nipige? mbolea ya kupandia nliweka samad kiganja ki1 na dap gram 10.
Pia hii miche naona km sio ya kijani sana yan ukijani wake unaelekea kwenye unjano flani hivi, ni tatizo au ndo zilivyo?
![]()
![]()
![]()
Mbegu ni Califonia wonder
Zinapandwa kwa "Mstari mmoja tu" ki vp mkuu??
Mkuu ni wapi zinapatikana hzo kwa punje nijaribishe ht mbegu 500
Yani unamaanisha kwnye kila shina kunatakiwa mche mmoja sio?Nyanya tunazopanda kawaida huwa kwenye mfereji mmoja kuna mistari miwili ya nyanya,sasa kwa jarrah kila mfereji una mstar mmoja tu wa nyanya
Yani unamaanisha kwnye kila shina kunatakiwa mche mmoja sio?
Aah sawa,,sema huu ulimaj wa mferej ndo siujui mkuu,, mi najua wa kupga shmo moja mojaView attachment 680618
Inakua hivi mstar mmoja kwa mfereji
Aah sawa,,sema huu ulimaj wa mferej ndo siujui mkuu,, mi najua wa kupga shmo moja moja