Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,595
- 3,670
Nimekusoma sana mkuu, shukraniMbolea huweki kwa kuhesabu idadi, ukishaweka za kupandia na kukuzia unakuwa unakagua hali ya shamba, unaangalia nyanya zako shamba zinakuwa zinavyotakiwa kama zitahitaji mbolea utaweka tena
Ila ukishaweka mara moja inatosha utakuwa unapiga mbolea za juu "booster" labda shamba liwe halina rutuba ya kutosha