Jifunze kilimo cha nyanya

Jifunze kilimo cha nyanya

Weka nyasi ikusaidie kutunza unyevu though kazi unayo sababu umekimbia gharama za mbegu ilhali gharama za kuhudumia shamba ni zile zile
Tena katumia mbegu za kukamua, kitendo cha kutumia mbegu za kawaida tu ni tatizo maana mavuno yake uwa madogo
Sasa yeye katumia za kukamua.

Watu kama hawa baadae watasema kilimo kibaya, navyoona atatumia nguvu kubwa lkn mapato yatakuwa madogo
 
Weka nyasi ikusaidie kutunza unyevu though kazi unayo sababu umekimbia gharama za mbegu ilhali gharama za kuhudumia shamba ni zile zile
Hii ilikuwa ya majaribio mkuu,,next time nimepanga kutumia hizo mbegu za hybrid na kuweka mitaro ya maji km mlivyonielekeza

Ndo najifunza taratibu ivo
 
Kama huna hela tumia mbegu za kawaida za dukani, usitumie za kukamua
Komaa nazo hivyohivyo fanya kama tulivyokwambia
 
Haina shaka mkuu,,awamu ya 2 mbegu nshaziandaa ni aina ya rio grande
067697def4e71a53f64f50ed41d98678.jpg
Nimezpanda kwenye viriba km hivyo
0a844776105d4260abcf90357f96b997.jpg

Awamu ya 3 ntatafuta Assila F1 ht mbegu 500 za kuanzia​
 
Wakuu naomba ushauri wa dawa ya kutu ambayo naweza kupiga kwenye nyanya ambayo ina maua
Nyanya ikiwa na maua dawa zinakuwa zilezile tu ila unatakiwa uwe makini kwenye upigaji na utembeaji shambani pamoja na vipimo usizidishe dozi
 
Habari wakuu. Nilikwenda dukani kuulizia mbegu Kipato f1 nilijibiwa kama ifuatavyo:- kipato f1 gram 25 Tshs 120,000/= ila ukitaka 1gm inauzwa 5,000/=. Naomba kuelekezwa je kwa 1gm huwa punje ngapi?? Pia 25gm huwa punje ngapi??
 
Mm sifahamu sijawahi kununua kipato, ungejua kwa kumuuliza muuzaji na uwa wanaandika kwenye pakiti yake

Au kama kuna anayefahamu atakujibu

Sent from my V700 using JamiiForums mobile app
 
Nyanya ikiwa na maua dawa zinakuwa zilezile tu ila unatakiwa uwe makini kwenye upigaji na utembeaji shambani pamoja na vipimo usizidishe dozi
Mdarahamani na Yumbayumba

Kipindi cha maua hasa kwa zao kama nyanya jitahidi kukwepa dawa ambazo zina nguvu!! epuka dawa zenye mraba mwekundu au wa njano!! na kama ikibidi basi jitahidi usi over dozi otherwise nyanya zitaangusha maua yote!!
 
Hakuna dawa inayoruhusiwa kuoverdose,muhimu kuwe na unyevu wa kutosha na lishe ya mmea iwe vizuri mbali na hapo dawa hazina msimu

Ahsante kwa quotation nzuri
 
Back
Top Bottom