Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,239
- 827
Kikubwa tunasisitiza upigaji wa dawa shambani inahitajika umakini sn nyanya ikiwa na maua, kuanzia jinsi ya kutembea usitingishe miche bila sababu za msingi. Pia jinsi ya kuseti bomba lako la kupigia dawa 'solo' weka utoaji wa polepole na itawanye dawa, Na tatu usizidishe vipimo.Mdarahamani na Yumbayumba
Kipindi cha maua hasa kwa zao kama nyanya jitahidi kukwepa dawa ambazo zina nguvu!! epuka dawa zenye mraba mwekundu au wa njano!! na kama ikibidi basi jitahidi usi over dozi otherwise nyanya zitaangusha maua yote!!
Ni muhimu kupiga dawa nyanya ikiwa na maua wala usiogope kupiga dawa