Jifunze kilimo cha nyanya

Jifunze kilimo cha nyanya

Mdarahamani na Yumbayumba

Kipindi cha maua hasa kwa zao kama nyanya jitahidi kukwepa dawa ambazo zina nguvu!! epuka dawa zenye mraba mwekundu au wa njano!! na kama ikibidi basi jitahidi usi over dozi otherwise nyanya zitaangusha maua yote!!
Kikubwa tunasisitiza upigaji wa dawa shambani inahitajika umakini sn nyanya ikiwa na maua, kuanzia jinsi ya kutembea usitingishe miche bila sababu za msingi. Pia jinsi ya kuseti bomba lako la kupigia dawa 'solo' weka utoaji wa polepole na itawanye dawa, Na tatu usizidishe vipimo.

Ni muhimu kupiga dawa nyanya ikiwa na maua wala usiogope kupiga dawa
 
Naomba sifa zake, unaweza ipambanisha na Assila?

Niko used na mazingira ya Arusha.

Kwa Arusha jarrah rz inaperform zaidi ya assila hususani kwenye uzito wa matunda,shape ya tunda na uhifadhi.

Jarrah rz tunda lake ni gm 90 mpaka 120 assila tunda lina gm 100mpaka 120 ila kimtazamo tunda la assila ni kubwa but ni jepesi

Ngozi ya jarrah ni ngumu unaipanga kwenye crate na juu unaweka crate lingine na haipasuki,assila ni laini. Jarrah ikianza kuivaa ukaichukua ukaiweka kwenye sakafu inakaa mwezi mzima bila kuharibika,assila haiwezi hivyo kama unasafarisha mikoa tofauti jarrah inafaa zaidi shape ya jarrah matunda yote ni oval shape na yanalingana assila sababu ya ukubwa shape zinapishana haina nyoofu mmoja (kwa Arusha lakini pengine haipendi high altitude)

Mmea wa jarrah ni kilo kumi kwa mche mmoja but kwa mkulima just count 6kg per plant,assila kwa mkulima ni kg 5.3 kwa mmea at farmer level.

Kwa Arusha jarrah inaperform kuliko assila


Upande wa magonjwa kuvumilia naona zinafanana tofauti ndogo sana,hata kwenye tunda na mmea mzima tofauti ndogo. Tofauti kubwa ni uhifadhi
 
Wapendwa ndio nimesafisha nalulima heka mbili zangu kwajili ya kuotesha nyanya naomba kujua naanzaje hatua ya kwanza.. Nisha nunua mbegu ya Assila gram 100. Shamba liko mpakni mwa Pwani na na Morogoro mbele ya Msolwa.

NB: Nategemea umwagiliaji wa kutumia pump kuna mto mita 100 kutoka shambani kwangu.

Naomba kujua hatua za awali mpaka nyanya iingie kwenye vitalu?

Aksanten
 
Wapendwa ndio nimesafisha nalulima heka mbili zangu kwajili ya kuotesha nyanya naomba kujua naanzaje hatua ya kwanza.. Nisha nunua mbegu ya Assila gram 100. Shamba liko mpakni mwa Pwani na na Morogoro mbele ya Msolwa.

NB: nategemea umwagiliaji wa kutumia pump kuna mto mita 100 kutoka shambani kwangu..

Naomba kujua hatua Za awali mpaka nyanya iingie kwenye vitalu..??

Aksanten
Mkuu sijakuelewa, hatua ya awali ipi? Kuotesha kitalu au?
 
Niko used na mazingira ya Arusha.
Kwa Arusha jarrah rz inaperform zaidi ya assila hususani kwenye uzito wa matunda,shape ya tunda na uhifadhi.

Jarrah rz tunda lake ni gm 90 mpaka 120 assila tunda lina gm 100mpaka 120 ila kimtazamo tunda la assila ni kubwa but ni jepesi

Ngozi ya jarrah ni ngumu unaipanga kwenye crate na juu unaweka crate lingine na haipasuki,assila ni laini. Jarrah ikianza kuivaa ukaichukua ukaiweka kwenye sakafu inakaa mwezi mzima bila kuharibika,assila haiwezi hivyo kama unasafarisha mikoa tofauti jarrah inafaa zaidi
shape ya jarrah matunda yote ni oval shape na yanalingana assila sababu ya ukubwa shape zinapishana haina nyoofu mmoja (kwa Arusha lakini pengine haipendi high altitude)

Mmea wa jarrah ni kilo kumi kwa mche mmoja but kwa mkulima just count 6kg per plant,assila kwa mkulima ni kg 5.3 kwa mmea at farmer level
Kwa Arusha jarrah inaperform kuliko assila


Upande wa magonjwa kuvumilia naona zinafanana tofauti ndogo sana,hata kwenye tunda na mmea mzima tofauti ndogo. Tofauti kubwa ni uhifadhi


Mkuu Kuna mbegu inaitwa Onyx f1 Nililetewa na rafiki angu kutoka Moshi.
Kiukweli ni mbegu inayozaa sana kuliko Assila f1 na Matunda yake hayana tofauti sana na Assila f1.
 
Embu picha ya pact lake au nipigie picha mmea wake ukiwa umezaa tuone
IMG_20180204_172232.jpg
IMG_20180204_165139.jpg
 

Hizo apo nimeambatanisha. Huo mmea hapo umetoa Matunda 12 na bado una maua yanayoendelea kutoka.
Nakumbuka wakati naambiwa kuhusu hii mbegu sikuamini maana mi nilikua nimeizoea Assila f1 lakini kwa sasa naona maajabu yake.
 
Ila matunda yake ni madogo huwezi kufananisha na assila.
Hizo apo nimeambatanisha
Huo mmea hapo umetoa Matunda 12 na bado una maua yanayoendelea kutoka. Nakumbuka wakati naambiwa kuhusu hii mbegu sikuamini maana mi nilikua nimeizoea Assila f1 lakini kwa sasa naona maajabu yake
 
Kuanzia mwezi wa sita
Unavuna zikiwa nyekundu? Ukishavuna unapata soko mapema au unaweza kukaanazo kwa siku kama nne hivi ukisubiri soko? Pia unaziifadhi vipi zisiharibike mapema endapo soko halijapatikana bado.
 
Back
Top Bottom