Jifunze kilimo cha nyanya

Jifunze kilimo cha nyanya

Wadau kuna mtu anayejua kumuangamiza kantangaze apart from using belt, coragen na wiltgo?

41e8d86778c6eaf81b0dec12b426b4a2.jpg

nilitumia hii
 
Wadau kuna mtu anayejua kumuangamiza kantangaze apart from using belt, coragen na wiltgo?

Kwa hizo dawa ulizotaja maisha huwezi muangamiza tuta. Tumia dawa zinazoua adult flies wa tuta kama vile evisect,thunder,actara kisha piga na zinazoua lava ambazo ni hizo umetaja tuta ataisha shambani kwako, piga ya adult baada ya siku tatu piga ya lava tena baada ya siku tatu piga ya adult kisha baada ya siku tatu ya lava. Tuta utammaliza

Au tukia recharge-antario-biotrine pia mtiririko huo unammaliza.

Ukiweza weka na tuta traps
 
Kwa hizo dawa ulizotaja maisha huwezi muangamiza tuta
Tumia dawa zinazoua adult flies wa tuta kama vile evisect,thunder,actara kisha piga na zinazoua lava ambazo ni hizo umetaja tuta ataisha shambani kwako,piga ya adult baada ya siku tatu piga ya lava tena baada ya siku tatu piga ya adult kisha baada ya siku tatu ya lava. Tuta utammaliza

Au tukia recharge-antario-biotrine pia mtiririko huo unammaliza. Ukiweza weka na tuta traps
Last week nimepiga recharge, jana nikaangalia matokeo nikaona wameacha kuharibu majani, nikapiga antario, naipa kama siku 3 hvi niki observe matokeo then nipige biotrine. Swali ni kwamba hzi bio products nazotumia zinaua larvae peke yake au pamoja na adult?
 
Kwa hizo dawa ulizotaja maisha huwezi muangamiza tuta. Tumia dawa zinazoua adult flies wa tuta kama vile evisect,thunder,actara kisha piga na zinazoua lava ambazo ni hizo umetaja tuta ataisha shambani kwako,piga ya adult baada ya siku tatu piga ya lava tena baada ya siku tatu piga ya adult kisha baada ya siku tatu ya lava. Tuta utammaliza.

Au tukia recharge-antario-biotrine pia mtiririko huo unammaliza.

Ukiweza weka na tuta traps
Daah mkuu hayo ma kemikali yoote hayana athari kwa mlaji lkn?
 
Hakuna kemikali hata moja hapo, hzo ni bio pesticides, ni fungus na wadudu rafiki ambao huua wadudu hatari
Sawa mkuu asante sana,kwa ujinga wangu nilidhani ni kemikali.

Kilimo chema mkuu.
 
Last week nimepiga recharge, jana nikaangalia matokeo nikaona wameacha kuharibu majani, nikapiga antario, naipa kama siku 3 hvi niki observe matokeo then nipige biotrine. Swali ni kwamba hzi bio products nazotumia zinaua larvae peke yake au pamoja na adult?

Hiyo set inaua adult,lava na pupa
 
Daah mkuu hayo ma kemikali yoote hayana athari kwa mlaji lkn?

Kila dawa ina phi yaani pre harvesting interval,dawa zote ambazo ni original molecule phi huwa ndogo sana kati ya siku tatu kubwa nimeona ni othelo top siku 14 ila ukipiga ss dawa za bei rahisi zakutengenezwa pasi na research ndizo hazijulikani zinaisha lini kwenye mmea
 
Asante sana kwa somo mkuu, sikua najua hii kitu.
 
Kwa hizo dawa ulizotaja maisha huwezi muangamiza tutatumia dawa zinazoua adult flies wa tuta kama vile evisect,thunder,actara kisha piga na zinazoua lava ambazo ni hizo umetaja tuta ataisha shambani kwako,piga ya adult baada ya siku tatu piga ya lava tena baada ya siku tatu piga ya adult kisha baada ya siku tatu ya lava. Tuta utammaliza

Au tukia recharge-antario-biotrine pia mtiririko huo unammaliza.

Ukiweza weka na tuta traps
Asante kwa majibu yako mkuu,yametusaidia wengi kwani na mimi nimekutwa na kantangaze tena wakati tayari nyanya(assila) ina matunda madogo.Nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu hizo tuta traps
 
Ndio zinavunwa zikiiva zikiwa nyekundu

Kuhusu soko uwa tunauzia shamba, mnunuzi anakuja shambani na gari lake anapakia anaondoka kama unavyoona kwenye picha tena uwa unachagua wa kumuuzia
Niliona kwamba nyanya unaweza vuna katika stage tatu zikishakomaa na zinabadilika rangi kwa mtiririko huu Green,Pink na Red kutokana na mwonekano huo sasa unavuna. Je mkuu kuna wanaovuna zikiwa bado hazijapata wekundu?
 
Depend na sokoni inafika baada ya muda gani,kama unasafirisha mbali utavuna ikiwa pink au red isiyokolea lakini kama soko la karibu unavuna ikiwa red ila kabla ya kuorojeka
 
Asante kwa majibu yako mkuu, yametusaidia wengi kwani na mimi nimekutwa na kantangaze tena wakati tayari nyanya(assila) ina matunda madogo.Nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu hizo tuta traps

Ziko zinauzwa kwenye maduka ya pembejeo, inakua na harufu ya kuvuta madume kisha inawakamata either kwa gundi au kwa maji yenye povu. Majike yanabaki bila madume hivyo hayawezi toboa matunda kutaga sababu hayawi na mayai
 
Back
Top Bottom