Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,239
- 827
Ndio zinavunwa zikiiva zikiwa nyekunduUnavuna zikiwa nyekundu? Ukishavuna unapata soko mapema au unaweza kukaanazo kwa siku kama nne hivi ukisubiri soko? Pia unaziifadhi vipi zisiharibike mapema endapo soko halijapatikana bado.
Kuhusu soko uwa tunauzia shamba, mnunuzi anakuja shambani na gari lake anapakia anaondoka kama unavyoona kwenye picha tena uwa unachagua wa kumuuzia