Jifunze kilimo cha nyanya

Jifunze kilimo cha nyanya

Mbolea huweki kwa kuhesabu idadi, ukishaweka za kupandia na kukuzia unakuwa unakagua hali ya shamba, unaangalia nyanya zako shamba zinakuwa zinavyotakiwa kama zitahitaji mbolea utaweka tena
Ila ukishaweka mara moja inatosha utakuwa unapiga mbolea za juu "booster" labda shamba liwe halina rutuba ya kutosha
Nimekusoma sana mkuu, shukrani
 
Nimekusoma sana mkuu, shukrani
Kama ndio hizo nilizoona kwenye picha mbona zinaenda fresh tu,
Nyanya zikihitaji mbolea ukuaji wake unakuwa sio mzuri, zinakuwa za njano yani utaona tu zina tatizo ila kama ushaweka mara moja na zinaenda vzr piga dawa za ukungu, za wadudu hata kama hazijaharibiwa na wadudu piga na hizo booster utaona zinaenda vzr
 
Wakuu nimetafuta Assila Arusha nikaambiwa imeisha ila kuna mbadala wake ambayo ni “Monica F1 “ kuna mwenye ujuzi Na hii mbegu? Pia wanauza mbegu 500 kwa sh 30,000 je kwa heka Moja inaingia mbegu ngapi?
 
Mkuu Mimi nakushauri kama umekosa Assila f1 tafuta mbegu moja inaitwa Onexy f1 inafanya vizuri sana hasa kama ukilima nje. Gram 25 inauzwa 95000 kiukweli hautajuta.
 
Kama ndio hizo nilizoona kwenye picha mbona zinaenda fresh tu,
Nyanya zikihitaji mbolea ukuaji wake unakuwa sio mzuri, zinakuwa za njano yani utaona tu zina tatizo ila kama ushaweka mara moja na zinaenda vzr piga dawa za ukungu, za wadudu hata kama hazijaharibiwa na wadudu piga na hizo booster utaona zinaenda vzr
Poah poa mkuu,,af nnataka nipge belt mana hakuna ugonjwa nauwazia km kantangaze asee japo sjaona dalili yoyote kwa ss
 
Kwa kweli huu uzi ni mzuri sana. Kwa mara ya kwanza nimeusoma mwanzo hadi mwisho. Kwa sasa mimi nimelima Chia, ila kuna eneo limebakia nataka nilime nyanya.
 
kwa kweli huu uzi ni mzuri sana, Kwa mara ya kwanza nimeusoma mwanzo hadi mwisho, Kwa sasa mimi nimelima Chia, ila kuna eneo limebakia nataka nilime nyanya,
Karibu sn mkuu, bado hujachelewa msimu huu ndio kwanza tunakodi shamba na tupo hapa hadi mavuno
Unalimia wapi?
 
Back
Top Bottom