Jifunze kilimo cha nyanya

[/QUOTE]
Nilipata hizo dawa mkuu na nilishapuliza sasa nafuatilia maendeleo ya mazao. Asante sana kwa ushauri

Cc. the horticulturist
 
Pamoja sana kiongozi
Mkuu hivi hii itakuwa ni nn?
[/QUOTE]

Naona imechomwa either na jua,mbolea au dawa. Kuna ambacho kilizidi wiki mbili au moja iliyopita. Suluhisho huwa ni maji sababu naona majani machanga mapya yako okay

Ila mzee dah hiyo nyanya umeifukia hatari,haitakiwi kuvuka majani mawili ya kwanza sababu shina la juu laini sana mara nyingi hukumbwa na ugonjwa wa fungus wa kuozesha shina
 
Jana 15.1.2018 Dada wa kazi kaenda Gengeni huku kwetu Dsm, kanunua nyanya moja kwa sh200 nyanya tano kwa buku, means Jan hii soko la nyanya si mchezo
 
Mkuu hivi hii itakuwa ni nn?

Naona imechomwa either na jua,mbolea au dawa. Kuna ambacho kilizidi wiki mbili au moja iliyopita. Suluhisho huwa ni maji sababu naona majani machanga mapya yako okay

Ila mzee dah hiyo nyanya umeifukia hatari,haitakiwi kuvuka majani mawili ya kwanza sababu shina la juu laini sana mara nyingi hukumbwa na ugonjwa wa fungus wa kuozesha shina[/QUOTE]
kweli aisee,,itakua mbolea

kuhusu kufukia kwel kuna miche nlibugu,,c unajua uzoefu ilikua 0 ila ndo nishajifunza hivyo tena,,

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
 
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app[/QUOTE]
Halafu nlitaka kuuliza tena,,hivi sasa mamiche yamekuwa marefu sana,,nkirudishia udongo kdg kuyasapoti kuna shida yoyote?

Tazama shina kama limekomaa na lina vipele vipele unaweza sababu hivyo vipele vyote vinakua mizizi

Ila kwanini usupport kwa udongo,kwani haufungii kwenye kamba au miti?
 
Halafu nlitaka kuuliza tena,,hivi sasa mamiche yamekuwa marefu sana,,nkirudishia udongo kdg kuyasapoti kuna shida yoyote?

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app

Tazama shina kama limekomaa na lina vipele vipele unaweza sababu hivyo vipele vyote vinakua mizizi

Ila kwanini usupport kwa udongo,kwani haufungii kwenye kamba au miti?[/QUOTE]
sifungi kamba mkuu,,miti ntakuja kuweka zikishaanza kupata watoto
 
Mkuu hizo mbolea za zamani sana,na ni hatarishi kwa afya ya mmea na udongi

Yaramila winner kwa mboga mboga na matunda ni poa sana

Ndani ya mda mfupi matokeo atayaona
 
Kwa mboga na matunda yaramila winna IPO poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…