griffin griffith
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 549
- 442
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Hamna kitu hiyo ,nimetumia sana,sijui wanachanganya sukari na maji?Yes inafaa inazo micro nutrients nyingi tu
Tumia Infinito Mkuu,Mkuu hivi Ridomil gold na Linkmill kazi yake ni moja? au zina ufanano wowote?
Mkuu hizo mbolea za zamani sana,na ni hatarishi kwa afya ya mmea na udongi
Yaramila winner kwa mboga mboga na matunda ni poa sana
Ndani ya mda mfupi matokeo atayaona
Atafute confidor kwa kudrench
1.inaweka ulinzi
2.multiplication ya mizizi
3.ni kiua wadudu
4.huua kichuguu cha mchwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Hamna kitu hiyo ,nimetumia sana,sijui wanachanganya sukari na maji?
Kama hujatumia unasoma tu lebel hapo utisifia,ila hamna kitu
Wuxal macromix ndo funga kazi hapo
MkuuTunachoangalia ni kutopoteza nutrients na pia kuuweke mmea kwenye balance,soil ni best buffer lakini huwa unachemka ukikosa from the beginning. Yes yara mila winner ni nzuri sana but stage ya mwanzo kabisa hii kuweka winner hapana sababu hakuna matumizi ya potassium at this stage halafu economic way winner ghali zaidi ya can. Why ununue cha gharama na kuna ambavyo utapoteza while iko can inayostahiki na kila utakachoweka kinatumiaka vyema.
Umesema hizi mbolea za zamani na hatarishi kwa afya ya mmea na udongo,how? Naomba info please sababu tusije poteza watu kwa kuwaongoza vibaya. Remember no guessing in kilimo sababu guessing inaleta loss na anaeumia ni mkulima
Namaanisha for drenching and prevention of root knot nematodes ambayo ndo source of myauko au wilting,Tatizo lakini sio wadudu tatizo hapa ni ugonjwa,fungus and bakteria effects zake ni ugonjwa ndio maana tuna tumia fungicides sio pesticides
MkuuSina hakika sana kama inaweza sajiliwa bila kutestiwa,sema wuxal ni nzuri zaidi sababu kampuni ziko tofauti. Kuna wanaofanya research kwanza kama buyer wa wuxal na kuna ambao wanaorder dawa china wanaweka label zao. Price huwa tofauti sababu anaefanya utafiti lazima akucharge na cost of research na hata ufanyaji kazi huwa tofauti but sio mbaya ukikosa wuxal ukatumia na hizi zingine sababu booster ni micro elements tu ndio uhitaji muhimu kama unaweka mbolea za chini vizuri booster nyingi utaziona nzuri
Kuna mengi sana kwenye product tu baada ya kusajiliwaSina hakika sana kama inaweza sajiliwa bila kutestiwa,sema wuxal ni nzuri zaidi sababu kampuni ziko tofauti. Kuna wanaofanya research kwanza kama buyer wa wuxal na kuna ambao wanaorder dawa china wanaweka label zao. Price huwa tofauti sababu anaefanya utafiti lazima akucharge na cost of research na hata ufanyaji kazi huwa tofauti but sio mbaya ukikosa wuxal ukatumia na hizi zingine sababu booster ni micro elements tu ndio uhitaji muhimu kama unaweka mbolea za chini vizuri booster nyingi utaziona nzuri
Mkuu
Nimekuwa mtafiti katika kilimo changu na mashamba yangu ,
Nimetumia DAP,CAN,NPK
1.mavuno hayaridhishi hata kidogo
2.nimejikuta natumia mbolea nyingi lakini mafanikio kidgo
3.niligharamia kupima udongo,ph ilionesha acid imezidi
Bado washauri watu watumie hizo mbolea?
Hayo mambo juu ni tofauti na YARAMILA WINNER
kama upo mbeya njoo uone utofauti wake!nikupeleke shambani
Kitu GHALI kina faida
Kuna mengi sana kwenye product tu baada ya kusajiliwa
Hasa kwenye corrupted world, wanapoisajili product huwa ni pieces kadhaa,hizo chache huwakilisha brand nzima,lakini zilizo sokoni ni kitu kingine kabisa...
Kwa akili ya kawaida tu
1.kenfeedeer lita moja 5000
2.wuxal nusu lita 18000 hadi 20000
Bado useme hivi vitu vitakuwa sawa,
Mimi kenfeeder sitaki isikia kabisa,shambani kwangu
Mkuu
Umewahi tumia ken feeder au ni SUA knowledge?
Namaanisha for drenching and prevention of root knot nematodes ambayo ndo source of myauko au wilting,
Pia kwa ajili ya fusarium and bacterial wilt prevention ambayo mara nyingi hamna treatment
MkuuMaelezo yangu nadhani hujayaelewa. Soma tena tafadhari sijasema ziko sawa nielewe kwanza hilo ila tambua mmoja anafanya research ya product yake mwingine ananunue tu nutrients na kufanya packing utofauti utakuwepo but sio kwamba hazifanyi kazi. Pia sababu uko Mbeya yap utaona unateseka sana na utofauti mkubwa but amini mimi niko Arusha kuna wanaolima kwa kupiga tu mbolea za juu na wanavuna balaa sababu soil ph iko sawa sehemu nyingi ph ni 6 halafu pia udongo ni rich in nutrients. Huko hata nutrients ni tatizo field nyingi zinakumbwa na ukosefu wa iron. Udongo ukiwa na ph kubwa kuna madini hayapandi at certain ph level.nitatuma hapa nutrients uptake versus soil ph uone why kwako unapata shida.
Huwez zuia wilt hizo hasa zikishambulia xylem bundles,zikitafuna kwisha habari yake...Sorry hao bacteria na fungus huwezi wazuia for pesticide tumia fungicides,ziko nyingi tu zinafanya kazi mfano yenye mancozeb,yenye copper na hata yenye sulphur
Nematodes ziko nematicides nyingi sana ila ukipanda marigold shambani inasaidia sana sababu kuondoa tatizo haswa soil borne huwa ni long term procedures
Mnyauko kuna bacterial wilt,fusarium wilt na kuna mnyauko wa nematodes. Kama imenyauka kuanzia kwenye mzizi ila pia kuna botrytis inanyausha kuanzia shina. Kila moja ma treatment yake tofauti ndugu yangu
Nilishatibu hilo tatizo mda mrefu bossKama kwako acid iko nyingi ni kupandisha ph,vipi imesoma ngapi ph level?
Ingawa sio rahisi sana kushusha ph au ukipandasha. Weka sana samadi shambani nayo ni buffer nzuri sana. Hapa npk bado inashusha ph ina acidic kiasi kidogo
Mkuu
Bahati mbaya sana tunatumia id fake humu ndani
Sehemu gani Arusha wanatumia Booster pekee
Kwa sasa nipo kwa ugoro ,wilaya ya meru,nafanya mafunzo boss,niambie wapi wanatumia booster tu inaweza ikawa faida kwa upande wangu
Huwez zuia wilt hizo hasa zikishambulia xylem bundles,zikitafuna kwisha habari yake...
Watch out
Nashukuru mkuuGood. Fika Maroroni,fika Akeri, Fika someli,fika sadec talk to farmers. Don't tell them wewe ni mtaalam hawatokupa insight yote. Fanya hivyo then leta majibu