Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,239
- 827
Tena katumia mbegu za kukamua, kitendo cha kutumia mbegu za kawaida tu ni tatizo maana mavuno yake uwa madogoWeka nyasi ikusaidie kutunza unyevu though kazi unayo sababu umekimbia gharama za mbegu ilhali gharama za kuhudumia shamba ni zile zile
Nyasi zitamletea wadudu shambani, na anaonekana mzito kupiga dawa hapo ataongeza tatizoWeka nyasi ikusaidie kutunza unyevu though kazi unayo sababu umekimbia gharama za mbegu ilhali gharama za kuhudumia shamba ni zile zile
Hii ilikuwa ya majaribio mkuu,,next time nimepanga kutumia hizo mbegu za hybrid na kuweka mitaro ya maji km mlivyonielekezaWeka nyasi ikusaidie kutunza unyevu though kazi unayo sababu umekimbia gharama za mbegu ilhali gharama za kuhudumia shamba ni zile zile
Kama huna hela tumia mbegu za kawaida za dukani, usitumie za kukamuaHii ilikuwa ya majaribio mkuu,,next time nimepanga kutumia hizo mbegu za hybrid na kuweka mitaro ya maji km mlivyonielekeza
Ndo najifunza taratibu ivo
Kama huna hela tumia mbegu za kawaida za dukani, usitumie za kukamua
Komaa nazo hivyohivyo fanya kama tulivyokwambia
Subiri nitakujibuWakuu naomba ushauri wa dawa ya kutu ambayo naweza kupiga kwenye nyanya ambayo ina maua
Ugonjwa wa kutu mkuu,huu ulitokana na athari ya majani ya chini kulala kwenye matope kutokana na mafurikoDawa ya nini sasa? Ya ugonjwa gani?
ShukraniSubiri nitakujibu
Nyanya ikiwa na maua dawa zinakuwa zilezile tu ila unatakiwa uwe makini kwenye upigaji na utembeaji shambani pamoja na vipimo usizidishe doziWakuu naomba ushauri wa dawa ya kutu ambayo naweza kupiga kwenye nyanya ambayo ina maua
Piga dawa Ridomil 72 na mupervilUgonjwa wa kutu mkuu,huu ulitokana na athari ya majani ya chini kulala kwenye matope kutokana na mafuriko
Piga dawa Ridomil 72 na mupervilUgonjwa wa kutu mkuu,huu ulitokana na athari ya majani ya chini kulala kwenye matope kutokana na mafuriko
Asante sana mkuuPiga dawa Ridomil 72 na mupervil
Nimekusoma,nashukuru sanaNyanya ikiwa na maua dawa zinakuwa zilezile tu ila unatakiwa uwe makini kwenye upigaji na utembeaji shambani pamoja na vipimo usizidishe dozi
Mm sifahamu sijawahi kununua kipato, ungejua kwa kumuuliza muuzaji na uwa wanaandika kwenye pakiti yakeHabari wakuu. Nilikwenda dukani kuulizia mbegu Kipato f1 nilijibiwa kama ifuatavyo:- kipato f1 gram 25 Tshs 120,000/= ila ukitaka 1gm inauzwa 5,000/=. Naomba kuelekezwa je kwa 1gm huwa punje ngapi?? Pia 25gm huwa punje ngapi??
Wakuu naomba ushauri wa dawa ya kutu ambayo naweza kupiga kwenye nyanya ambayo ina maua
Mdarahamani na YumbayumbaNyanya ikiwa na maua dawa zinakuwa zilezile tu ila unatakiwa uwe makini kwenye upigaji na utembeaji shambani pamoja na vipimo usizidishe dozi
Mdarahamani na Yumbayumba
Kipindi cha maua hasa kwa zao kama nyanya jitahidi kukwepa dawa ambazo zina nguvu!! epuka dawa zenye mraba mwekundu au wa njano!! na kama ikibidi basi jitahidi usi over dozi otherwise nyanya zitaangusha maua yote!!