Jifunze kilimo cha nyanya

Jifunze kilimo cha nyanya

inategemea upigaji wako mashimo na upandaji wako utaweka miche mingapi miwili au mmoja kwenye kila shimo

Mkuu asante kwa ushauri wako. Hivi umbali kati ya shimo na shimo inatakiwe cm ngapi na kati ya mstari na mstari ni cm ngapi? Hizo mbegu za assila naweza zipata wapi kwa hapa DSM? Na ni kiasi gani naitaji kwa ajili ya ekali moja? asante
 
Mkuu kwa mara yakwanza nimeshuhudia nyanya ya asila aise nibonge la nyanya. Je, siwezi kuchukua nyanya zake kisha niakaotesha vip matokeo yake
Gram 10 ya asila inaweza toa miche mingapi?
Uzao wa kwanza inaweza kufanya vizuri ila unavyozidi kuchuja mbegu unapoteza sifa halisi ya hiyo nyanya na mazao yatakuwa madogo sana
 
Wakuu kwema! niliotesha miche ya nyanya mbegu aina ni mwanga yapata mwezi sasa.
baadhi imeanza tatizo la kunyauka kisha inakufa kabisa.

Je, tatizo ni nini hapa wakuu?
 
Mkuu asante kwa ushauri wako. Hivi umbali kati ya shimo na shimo inatakiwe cm ngapi na kati ya mstari na mstari ni cm ngapi? Hizo mbegu za assila naweza zipata wapi kwa hapa DSM? Na ni kiasi gani naitaji kwa ajili ya ekali moja? asante
mkuu umbali wa shimo hadi shimo inategemea na mbegu unayotumia, kwa assila tunapiga cm30 shimo na shimo na cm60 mstari hadi mstari

assila uwa tunanunua arusha kwa dar sifahamu zinapatikani wapi
 
Mkuu asante kwa ushauri wako. Hivi umbali kati ya shimo na shimo inatakiwe cm ngapi na kati ya mstari na mstari ni cm ngapi? Hizo mbegu za assila naweza zipata wapi kwa hapa DSM? Na ni kiasi gani naitaji kwa ajili ya ekali moja? asante
heka 1 gram50 zinatosha
 
wakuu kwema!
niliotesha miche ya nyanya mbegu aina ni mwanga yapata mwezi sasa.
baadhi imeanza tatizo la kunyauka kisha inakufa kabisa. je,tatizo ni nini hapa wakuu?
hatuwezi kujua tatizo nini bila kuona hata picha, usipomwagia maji inanyauka na ikiingiwa na ugonjwa pia inanyauka

inaonekana hukihudumii kitalu vzr, mwaga maji mengi, piga dawa za ukungu, za wadudu na weka mbolea
 
96bb4dce4e29cd2b8fbc1d697d0c1db1.jpg

Ugonjwa gani huu na nini dawa yake?
 
Mkuu hivi nikilima kipindi gani nitavuna kipindi nyanya sio nyingi sokoni, na nikitumia drip irigation kulima enea la bustani la nyumbani la mita 30 kwa 30,itanigharimu shilingi ngapi kuweka mfumo wa umwagiliaji wa drip.
 
Watalaam watakwambia
 
Back
Top Bottom