Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,239
- 827
katika ulimaji wangu wote wa nyanya sijawahi kuhesabu miche,Duh haiwezi kufika 1500
ni ngumu kwakweli labda ukadirie tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katika ulimaji wangu wote wa nyanya sijawahi kuhesabu miche,Duh haiwezi kufika 1500
Sawa mkuukatika ulimaji wangu wote wa nyanya sijawahi kuhesabu miche,
ni ngumu kwakweli labda ukadirie tu
labda ungesema ukubwa wa shamba lako, kama ni nusu heka au robo ndio ningejua kama gram 10 zinatosha au vpSawa mkuu
Nusu heka mkuulabda ungesema ukubwa wa shamba lako, kama ni nusu heka au robo ndio ningejua kama gram 10 zinatosha au vp
Nusu heka mkuulabda ungesema ukubwa wa shamba lako, kama ni nusu heka au robo ndio ningejua kama gram 10 zinatosha au vp
Inategemea upigaji wako mashimo na upandaji wako utaweka miche mingapi miwili au mmoja kwenye kila shimo.Nusu heka mkuu
inategemea upigaji wako mashimo na upandaji wako utaweka miche mingapi miwili au mmoja kwenye kila shimo
Vizuri ni mche 1 au 2inategemea upigaji wako mashimo na upandaji wako utaweka miche mingapi miwili au mmoja kwenye kila shimo
Uzao wa kwanza inaweza kufanya vizuri ila unavyozidi kuchuja mbegu unapoteza sifa halisi ya hiyo nyanya na mazao yatakuwa madogo sanaMkuu kwa mara yakwanza nimeshuhudia nyanya ya asila aise nibonge la nyanya. Je, siwezi kuchukua nyanya zake kisha niakaotesha vip matokeo yake
Gram 10 ya asila inaweza toa miche mingapi?
Shukrani nduguUzao wa kwanza inaweza kufanya vizuri ila unavyozidi kuchuja mbegu unapoteza sifa halisi ya hiyo nyanya na mazao yatakuwa madogo sana
mkuu umbali wa shimo hadi shimo inategemea na mbegu unayotumia, kwa assila tunapiga cm30 shimo na shimo na cm60 mstari hadi mstariMkuu asante kwa ushauri wako. Hivi umbali kati ya shimo na shimo inatakiwe cm ngapi na kati ya mstari na mstari ni cm ngapi? Hizo mbegu za assila naweza zipata wapi kwa hapa DSM? Na ni kiasi gani naitaji kwa ajili ya ekali moja? asante
heka 1 gram50 zinatoshaMkuu asante kwa ushauri wako. Hivi umbali kati ya shimo na shimo inatakiwe cm ngapi na kati ya mstari na mstari ni cm ngapi? Hizo mbegu za assila naweza zipata wapi kwa hapa DSM? Na ni kiasi gani naitaji kwa ajili ya ekali moja? asante
vizuri 2, 1 ukifa 1 unabakiVizuri ni mche 1 au 2
hatuwezi kujua tatizo nini bila kuona hata picha, usipomwagia maji inanyauka na ikiingiwa na ugonjwa pia inanyaukawakuu kwema!
niliotesha miche ya nyanya mbegu aina ni mwanga yapata mwezi sasa.
baadhi imeanza tatizo la kunyauka kisha inakufa kabisa. je,tatizo ni nini hapa wakuu?
Mheshimiwa magufuli...huyo ni mdudu anaitwa kantangaze au boko haram au kingereza tuta absoluta..![]()
Ugonjwa gani huu na nini dawa yake?
kantangaze noma sn, nyanya zitakauka zote anaoneka hapigagi dawa za waduduMheshimiwa magufuli...huyo ni mdudu anaitwa kantangaze au boko haram au kingereza tuta absoluta..
Watalaam watakwambiaMkuu hivi nikilima kipindi gani nitavuna kipindi nyanya sio nyingi sokoni, na nikitumia drip irigation kulima enea la bustani la nyumbani la mita 30 kwa 30,itanigharimu shilingi ngapi kuweka mfumo wa umwagiliaji wa drip.