Jifunze kilimo cha nyanya

Jifunze kilimo cha nyanya

Mkuu hv drench na ridomil ni dawa 2 tofauti au ni daw 1?

Halafu naomba nisaidie namna ya kuweka dap kwenye kupanda nyanya? na kias gan cha kuweka

Drench ni kitendo sio dawa,kudrench ni kuweka dawa kwenye shina la mmea badala ya kuipulizia kwa juu.
Dap weka gm10 kwa shina sawa na vifuniko viwili vya chupa ya maji safi vilivyoflat
 
Drench ni kitendo sio dawa,kudrench ni kuweka dawa kwenye shina la mmea badala ya kuipulizia kwa juu.
Dap weka gm10 kwa shina sawa na vifuniko viwili vya chupa ya maji safi vilivyoflat
haha,,imebidi nijicheke tuu..

ok nimekupata ila ss kwenye kuweka hyo dap,,mfano nachimba shimo la cm 10 au 15 then naweka hyo dap kisha nafukia nasubiri kuja kupandikiza au nachimba na kufukia then naiweka km inavyoweka can ile kuchimba kwe pemben kdg?
 
Sorry nilikua busy kidogo,unachimba unaweka dap kisha unarudishia udongo juu unaweka mche,so kutoka mbolea hadi mche inatakiwa cm 10 hivyo ukichimba cm15 itakua vyema zaidi
 
Hii mada imekua bora sana . natoa pongezi nyingi kwa wadau wanavyo jitoa kutupa elimu bila malipo. Naamini Mungu atawajalieni baraka kwenye kazi zenu.
Tupo pamoja mkuu, nia ni kubadilishana uzoefu na kusaidiana kwenye changamoto za kilimo
Kama una swali lolote linalohusu kilimo cha nyanya unauliza wadau wanakusaidia
 
Tupo pamoja mkuu, nia ni kubadilishana uzoefu na kusaidiana kwenye changamoto za kilimo
Kama una swali lolote linalohusu kilimo cha nyanya unauliza wadau wanakusaidia
Hivi ndivyo inavyopasa kuishi mkuu, mimi maswali ambayo ningeuliza yameshajibiwa kwenye mada hii posti za nyuma.
Nililojifunza japo bado sijaelewa vyema ni mbolea ya kupandia na kukuzia.
Pia lingine lililokua la ajabu ni juu ya mbegu sikuwahi kujua kama zinaweza kufikia kiasi hicho kwa kweli. Lakini kidogo kidogo tunajifunza na kujenga maarifa na kuondokana na kilimo cha mazoea.
Kila la heri.
 
Hapana unakosea usilime eneo kubwa mapato kidogo anza na eneo dogo upate zaidi,hata robo eka inatosha kuanzia,lima mbegu bora maana mbegu bora mmea mmoja ni kg10 wala hizi za kawaida mmea mmoja ni kg3 sasa huoni eneo kubwa la hizi za kawaida mavuno unapata kwenye eneo dogo,ekari moja ya za kawaida inapitwa mavuno na robo ekari ya nyanya bora
nimependa huu ushahuri, swali langu, unaweza kutupa mchanganua mpana? yaan baada yakununua assila, kitalu kinaandaliwaje? na baaada yamuda gani uiamishe shamba, muda a kuweka mbolea, dawa gani za mwanzo za kupiga? ni mwezi gani mzuri wa kupanda ukizingatia tunaelekea mwezi wa 4 kipindi cha mvua nyingi kwa baadhi ya mikoa?
 
Kama sijakosea, kuna Mtaalamu humu alisema kwamba tofauti ya mbegu za Kawaida (Kienyeji) na za kisasa (Hybrid) ni bei tuu, matunzo na kila kitu kingine ni sawa ( Vinafanana)
 
Mambo mengi yameongelewa mwanzo mwa post hii jaribu kupitia kwanza
 
mkuu mavuno ya nyanya yapo hivi,
sisi tunauza kwa box, na tunavuna kila wiki.

sasa ule mchumo wa kwanza tunaita fundisha, sasa mfano mchumo wa kwanza ukichuma box 20 utaangalia na bei itakavyokuwa sokoni mfano ikiwa 10000 utapata 200,000/=

utakuja mchumo wa pili box zinaongeza unaweza kupata box 60 pia utazidisha kwa bei iliyopo sokoni au tufanye ile ile 10000 utapata 600,000/=

mchumo wa tatu unaweza kupata box 120 pia utazidisha kwa bei

mchumo wa 4 utaweza kupata box 180 pia utazidisha kwa bei

mchumo wa 5 unaweza kupata box 240 utazidisha kwa bei,

baada ya hapo nyanya nitaanza kupungua mchumo unaofata zitarudi 180 alafu 120 alafu 60 mwisho 20 biashara imeisha

utajumlisha kila mchumo umepata bei gani utatoa na gharama ulizotumia

hizo bei ni mfano zinaweza kuzidi au kupungua
Hivi inawezekana ukichuma mchumo wa kwanza ama wa pili unaweka mbolea ya UREA?
 
Kama sijakosea, kuna Mtaalamu humu alisema kwamba tofauti ya mbegu za Kawaida (Kienyeji) na za kisasa (Hybrid) ni bei tuu, matunzo na kila kitu kingine ni sawa ( Vinafanana)
No namaanisha, nyanya na vitunguu amesema ni vzr vikalimwa kwenye mwezi wa 6 na 7, je kwa kipindi hiki, ni mazao gani mengine mbali na hayo tunaweza kulima na yakawa na demand ya soko ??
 
Hivi inawezekana ukichuma mchumo wa kwanza ama wa pili unaweka mbolea ya UREA?
Ukishaanza kuchuma unakuwa unapiga dawa za wadudu na mbolea za juu tu booster, au kunakuwa na nini shambani hadi utake kuweka UREA?
 
Back
Top Bottom