Jifunze kilimo cha nyanya

Jifunze kilimo cha nyanya

No namaanisha, nyanya na vitunguu amesema ni vzr vikalimwa kwenye mwezi wa 6 na 7, je kwa kipindi hiki, ni mazao gani mengine mbali na hayo tunaweza kulima na yakawa na demand ya soko ??
Unalima mkoa gani
 
No namaanisha, nyanya na vitunguu amesema ni vzr vikalimwa kwenye mwezi wa 6 na 7, je kwa kipindi hiki, ni mazao gani mengine mbali na hayo tunaweza kulima na yakawa na demand ya soko ??
miezi hiyo ni mizuri tu kwa sababu hakuna mvua na magonjwa machache, kipindi cha mvua ukungu na funza wanasumbua lakini ukiweza unapiga pesa
 
ili kukuza mmea zaidi

Unalima mkoa gani

Hivi inawezekana ukichuma mchumo wa kwanza ama wa pili unaweka mbolea ya UREA?
Ukishaanza kuchuma usitumie tena urea mkuu... Urea kazi yake ni kukuza tissue na kufanya majan ya ukijani.

Urea inafaa kwenye kukuzia sio wakati wa matunda...

Wakati wa matunda unaweza tumia CAN au NPK ila isije tumia urea utaharibu!!

Unaweza piga npk au can alafu ukapiga na finisher booster yeyote!!
 
ili kukuza mmea zaidi
Ngoja nikwambie kwenye kilimo kila dawa au mbolea unaweka kwa sababu maalumu,
Kuna kipindi unaweza mbolea za kupandia baadae kuna mbolea za kukuzia
Alafu kuna mbolea zinazokuza majani,mashina nk

Nyanya zikianza kutoa matunda zipo dawa za kukomaza matunda, za kung'arisha kuongeza uzaaji nk

Hata booster zipo tofauti zipo za kupiga nyanya zikiwa ndogo na zipo za kupiga nyanya zikiwa kubwa
 
Ni wakati gani bei ya nyanya huwa na soko zuri sokoni
 
IMG_20180112_075718.jpg
IMG_20180112_075718.jpg
IMG_20180112_075621.jpg

Msaada wadau nyanya inashambuliwa nimekuwa nilipiga ridomil gold na Ninja tangia nimezitoa kataluni lakini naona hali imekuwa mbaya ghafla week hii. Kuna nnachoweza fanya kuokoa?

cc: eddy mhando , kilimomaarifa.tajiri , Upepo wa Pesa na wadau wengine
 
View attachment 673651 View attachment 673651 View attachment 673652

Msaada wadau nyanya inashambuliwa nimekuwa nilipiga ridomil gold na Ninja tangia nimezitoa kataluni lakini naona hali imekuwa mbaya ghafla week hii. Kuna nnachoweza fanya kuokoa?

cc: eddy mhando , kilimomaarifa.tajiri , Upepo wa Pesa na wadau wengine

Naomba niwakilishe wadau wengineo haaa haaa

Naona hiyo ni bacterial leaf spot. Ni ugonjwa mgumu kidogo kupambana nao haswa sababu bacteria ni wagumu kuwamaliza tofauti na fungus. Wapo kwenye udongo sasa mvua ikinyesha au maji yoyote ya kasi yakipita ndipo udongo utua kwenye majani na bacteria kushambulia hapo hivyo wako sana kipindi cha mvua sababu ya rain splashes.
Kuwakinga tunatumia dawa zenye copper na mancozeb pekee ila pia ukitandaza nyasi inazuia splashes kuwepo so mulching inasaidia hili tatizo kwa mimea ambayo haija shambuliwa.

Puliza dawa yenye copper itakusaidia kwa mimea ambayo haijashambuliwa pia usambaaji wa bacteria kwenye majani mengine ya mmea wako.
 
Naomba niwakilishe wadau wengineo haaa haaa

Naona hiyo ni bacterial leaf spot. Ni ugonjwa mgumu kidogo kupambana nao haswa sababu bacteria ni wagumu kuwamaliza tofauti na fungus
Wapo kwenye udongo sasa mvua ikinyesha au maji yoyote ya kasi yakipita ndipo udongo utua kwenye majani na bacteria kushambulia hapo hivyo wako sana kipindi cha mvua sababu ya rain splashes. Kuwakinga tunatumia dawa zenye copper na mancozeb pekee ila pia ukitandaza nyasi inazuia splashes kuwepo so mulching inasaidia hili tatizo kwa mimea ambayo haija shambuliwa.

Puliza dawa yenye copper itakusaidia kwa mimea ambayo haijashambuliwa pia usambaaji wa bacteria kwenye majani mengine ya mmea wako.
Asante mkuu ngoja nifanye hivyo. Ila naona kuna hati hati ya kuokoa chini ya 40% ya miche hapa.
 
Mkuu polesana, Hiyo ni Bacteria Leaf spot, kuisimamisha isienee zaidi check Active Ingredient inaitwa Mono- Di Potassium Phosate ( Agrifos 400- Jina LA kibiashara), tumia Cppper na Booster ( Omex au PotPhos) kuipa nguvu mimea ambayo haijashambuliwa. Huenda kuna unyevu mwingi eneo lako La shamba
kijani11
 
QUOTE

Yah unyevu upo kutokana na mvua zinazoendelea asante ndugu kwa ushauri.
 
Tafuta pia Kinatishi sumu ( Aqua wet,aquat sticker) utakachomix na hizo dawa,ili kusaidia zisiondolewe na mvua mapema,na kusaidia kuingia ndani kwa haraka. Ukipiga dawa ndani ya masaa 3 mvua ikinyesha basi dawa yoote imeondoka.

QUOTE="kijani11, post: 25284510, member: 201241"]Yah unyevu upo kutokana na mvua zinazoendelea asante ndugu kwa ushauri.[/QUOTE]
 
Duh badilisha dawa zako za ukungu mzee!! jaribu kupiga Linkmil ya Maji, pia jaribu blue copper itasaidia kuondoa hao bacteria wanaosababisha hizo spot. unatakiwa kukomaa nao mapema kabla hawaaffect matunda
 
Back
Top Bottom