Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

MUNGU kila alipokua anaumba kumbe alikua anakitafakari na a naona ni chema na kwa uweza wake mkuu (natural creation intelligence) (infinity Intelligence)) aliona inafaa.

Kama ukiujua utukufu wa MUNGU utagundua haikuhitajika idhini yetu kutuumba tena utamuona kwa upande wake wa neema rehema na baraka( fadhili zake ni za milele).

*Kama unaona binadamu tu apata shida duniani/tunateseka basi ni tumechagua wenyewe laiti tukiamua kumfuata yeye mambo yanakua safi kuna kitu wanaita utulivu wa moyo(peace of mind) Sasa hiki kitu ukisema nikuelezee sitapata namna sahihi kiliwasilisha kwako japo inawezekana ila mimi binafsi kwa Sasa sipo intelligent enough ku-process hii kitu si kwamba nakwepa hoja Hapana.

((Ndege hawaiangaikii kesho)).
Mungu wa haki anaumbaje watu bila ya idhini ya hao watu kuumbwa?

Yani Mungu wa haki anajipaje yeye haki ya kuumba watu kabla hao watu hawajamruhusu huyo Mungu kuwaumba?

Kumuumba mtu bila idhini yake kuumbwa si haki.
 
Nimekupa link nyingine inayoelezea Zaburi ya 82
Safi sana Nimeipenda hiyo Link Mkuu🫡🫡🫡..
Sasa turejee baadhi ya Maneno..
Kwa mujibu wake Mungu Ni cheo na Sio Kiumbe au Mtu Fulani..
Na ndo maana akasema kuwa Watu wanaofanya kazi ya Kuhukumu Wameitwa Mungu...



Na naomba Nikatae kuwa Kutoka 21:6 haimaanishi Hakimu Inamaanisha Mungu (Hapo hakuwa sahihi hata kidogo)..

Sasa Naomba Nirejee Kutoka 7:1..
Au kwa TANAKH inaitwa " Shemot (שְׁמוֹת)



Kwa kuandikwa huandikwa hivi..
וַיֹּ֥אמֶר יְהוָ֖ה אֶל־מֹשֶׁ֑ה רְאֵ֛ה נְתַתִּ֥יךָ אֱלֹהִ֖ים לְפַרְעֹֽה

na hutamkwa Hivi.

Vayomer Adonai el-Moshe, re'eh netatticha Elohim le-Pharaoh.

"And said the Lord to Moses, see I have made you God to Pharaoh."

Tafsiri ya Kama Mungu huwa mnaitoa wapi maana Netatticba Elohim ni Nimekufanya Mungu le pharaoh ni kwa Pharao..

Tafsiri Nyepesi ni Kwamba Musa alikuwa Mungu w pharao na Misri yote..

Sasa Turudi kwenye Herufi zako Umeona Hiyo herufi Kubwa hapo Umeridhika 😅😅
 
Huyo Mungu mwenyewe huwezi kuthibitisha yupo.

Unapiga hadithi tu ulizokariri.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Mkuu Umesoma Andika Langu kabla ya kuQuote..

Nitofautishie Miungu na Mungu au mungu na Mungu..

Ukitumia Biblia Kwa Lugha ya kiebrania au Greek..
Karibu sana

NB: Tafsiri ndyo.zilipoteza watu wengi sana..
Na bado.Tafsiri zinazidi kupoteza watu..

Kuhushu Bible textual analysis nakukaribisha Maana ilikuwa ni Course niliyoipenda sana kwenye Theology..
 
Wewe binafsi unaamini Mungu mkuu muweza wa yote yupo??

Kwa kifupi unaamini uwepo wa Mungu au huamini katika Mungu?
 
Basi kama wegi ni.Miungu na Mmoja ni Mungu..
Katika Biblia hakuna Mungu Mmoja..
Mara nyingi imetajwa neno Elohim (Wingi) na sio Eloh au Eloha (Umoja)
 
Wewe binafsi unaamini Mungu mkuu muweza wa yote yupo??

Kwa kifupi unaamini uwepo wa Mungu au huamini katika Mungu?
Sio Miongoni mwa Hoja nilizoleta..
Me Ni "ignostic" Mkuu.. na wala Sio Atheist


Define kwanza God/Mungu..

Kuwa Ignostic kama hujui maana yake ni perspective that questions the meaningfulness or coherence of discussions about a particular concept, often the concept of God or deities. Ignostics may argue that before engaging in discussions about a topic, the terms and definitions must be clearly defined to ensure a meaningful conversation.

Na ndo maana Nimeanza kwanza tuchambue ili nijue uelewa yaani tuwe na dicussion ya Pamoja kwanza kuhusu Mungu kulingama na Biblia yako
 
Basi mkuu sitapata nafasi kwa leo kuendelea kujadii hilo la Mungu na mungu

Nisamehe bure kwa leo sina nafasi labda siku nyingine

Ila kama unataka tujadili Ikiwa Mungu yupo au hayupo huo muda ninao hata leo
 
Ni your own opinion

Then Biblia siyo mwisho wa Mungu
Yeah na ndiyo maana Nilikuambia nimesoma Theology ukasema tuachane nayo😃😃

ikabidi nishangae unajua maana ya Theology..

Maana Theology is the study Of GOD..
Theo=God
Logos=Study
Hahahhahah
 
Mimi sipo kwenye Dini,

Kama wapo watu kwenye hizo Dini wanasema tunaweza kuijua kweli kwa miujiza basi ni wao,

Na sijajua neno miujiza wao wanamaanisha kuwa ni nini ? Na wewe neno miujiza unakua unamaanisha nini




Na kwenye hivyo vitabu, kwa upande wa wakristo kuna maneno kama haya; -Usimuache elimu aende zake
-Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
tena umwambie wasio mjua mungu ndio maarifa makubwa hatujaanza tu tukagoma mungu hayupo
Maarifa yapi ?

Tuelezee maarifa na matokeo ya maarifa yako ambayo yametusaidia kama taifa.

Au ni ya kujaza server JF kwa kuanzisha nyuzi za kijinga
 
Mkuu, imani nzima ya dini na Mungu msingi wake ni miujiza.

Kama huamini katika miujiza, huwezi kuamini dini wala Mungu.

Muujiza ni kitu kuwezekana bila kufuata sheria zozote zinazojulikana za kisayansi.

Mfano, tunaambiwa Mungu aliumba vitu kwa kusema neno tu. Huo ni muujiza. Ukiamini hilo, unaamini katika muujiza wa Mungu.

Ukishaamini kuwa kuna Mungu ambaye hana logical consistency na ulimwengu wa kisayansi, huo ni muujiza, unaamini Mungu wa miujiza.
 
Page ya 10,mada haijaanza,haya mabishano,hayawezi fika mwisho.

Kuna kundi linatumia hisia/imani na lingine linatumia facts.

Hapa kufika hitimisho haiwezekani.

Mtoa mada endelea na mada yako,target audience yako ipate kitu.

Asanthe.
 
Maarifa yapi ?

Tuelezee maarifa na matokeo ya maarifa yako ambayo yametusaidia kama taifa.

Au ni ya kujaza server JF kwa kuanzisha nyuzi za kijinga
ooh tunaongelea kwenye mungu,, kwenye taifa nina mchango mkubwa tu na mawazo yangu yanaiingizia serikal hela kama hujui " ni mimi ndio nilioshaur serikali iweke kodi ya jengo kwenye ruku" kama ulikuwa hujui tena ni mm nilieshauli porn zifungiwe au nikuletee id na nyuzi zangu za nyuma? Vp wewe umetoa mchango gani kwenye hili taifa? Hapa tunaongelea mambo ya mungu ya kwamba watu wasio mjua mungu wana maarifa ya dini hawajaanza tu kupinga from now where usitake nibadili kichwa changu nionekane sina maana hapa kama hujui mm ndie member mwenye akili 7 ndani ya id moja churaaa wewe
 
Mkuu unatengeneza circular arguments aidha kwa makusudi au kwakutokujua.

Unanirudisha Nyuma.

Soma hii paragraph na Hakikisha umeielewa pana msingi wa maswali yako mengi unayorudia kuuliza
Na huu mfano unakufaa bado...

Huyo Mungu mwenyewe huwezi kuthibitisha yupo.

Unapiga hadithi tu ulizokariri.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
Kuhusu kusibitisha uwepo wa MUNGU hii ni kazi unatakiwa uifanye wewe kwa kumtafuta Mungu kwasababu ni ipo katika tabaka la kiroho kwahiyo inatakiwa wewe as an individual na sio twende kama group maana sincerity na willingness hatufanani sisi kama binadamu. Pia kuthibitisha mambo ya kiroho kwa kutumia kanuni za kimwili inakuja changamoto.

Ni kama kitu ili ukielewe inatakiwa utumie model ya 5 hadi 10 dimensions huko wewe unataka uielewe kwa kwa kutumia models za 2 to 3 dimensions.

Nachoweza kukusibitishia ni kwamba tenga muda, Mali nguvu na Akili yako mtafute MUNGU kwa nia nje a kabisa ukifanya hivi...

Na kuhakikisha utakua kuleta ushuhuda huku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…