Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 594
- 1,061
MUNGU kila alipokua anaumba kumbe alikua anakitafakari na a naona ni chema na kwa uweza wake mkuu (natural creation intelligence) (infinity Intelligence)) aliona inafaa.
Kama ukiujua utukufu wa MUNGU utagundua haikuhitajika idhini yetu kutuumba tena utamuona kwa upande wake wa neema rehema na baraka( fadhili zake ni za milele).
*Kama unaona binadamu tu apata shida duniani/tunateseka basi ni tumechagua wenyewe laiti tukiamua kumfuata yeye mambo yanakua safi kuna kitu wanaita utulivu wa moyo(peace of mind) Sasa hiki kitu ukisema nikuelezee sitapata namna sahihi kiliwasilisha kwako japo inawezekana ila mimi binafsi kwa Sasa sipo intelligent enough ku-process hii kitu si kwamba nakwepa hoja Hapana.
((Ndege hawaiangaikii kesho)).

Mungu wa haki anaumbaje watu bila ya idhini ya hao watu kuumbwa?
Yani Mungu wa haki anajipaje yeye haki ya kuumba watu kabla hao watu hawajamruhusu huyo Mungu kuwaumba?
Kumuumba mtu bila idhini yake kuumbwa si haki.