harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,074
- 2,870
Asijali kabisa yanayoendelea, afocus tu kwenye kumalizia mada yake tu, nafsi ya mtu mmoja tu ikifunguliwa ni faida kubwa sana, na hasara kubwa sana upande mwingine, na ndiyo hii vita hapa inatokea.Kuna watu wamevuruga kabisa uzi na kupoteza uelekeo
uwepo wa majini nilisha yashuhudia, sitamani hata kuyasikia wala kujihusisha nayoKuna vitu mpaka sasa siwez kuviamini kama vipo...MUNGU NA SHETANI na sielewi nitumie mbinu gani ili niamin kimoja wapo kipo? mana nimesali sana makanisa kibao nimejitaid niwe na imani kweri kwer nilichokipenda huku utulivu wa nafsi huku ukitegemea baadae , kwa upande wa shetani nimeroga sana sijui njombe, sumbawanga, malawi, zambia, nijeri nimetoa mpaka kafara za damu.,, lakini sijaona uwepo wa hivi vitu majini sijui msukule nk baada ya kufanya hayo nikajigundua sikustaili kuwepo hapa dunian labda kuna sehemu yangu ya kuish mana sion tena umuhimu wa haya maisha yaan dunian nilikuja tafuta pesa, kujenga kuoa na kufa how? labda mtoa mada ungenieleza kiundan na kama kuna sehemu naweza ona majini hata ndondocha polepole nirudishe iman ila kwa sasa meng naona janja janja japo kuwa nina kipawa ndan yangu
Niseme hongera kwa ukijuacho...Ndiyo hivyo nasema inawezekana kuna sehemu ulipata taarifa za msiba au mtu anayekaribia sana msiba uka zi register subconsciously, huku zi register consciously. Baadaye ukaenda kuota. Ndoto huwa hatuoti tu, zinatokana na mawazo.
Pia, inawezekana ni coincidence tu umeota msiba halafu ukapata habari za msiba. Ikitokea hivyo kama unaamini ndoto zinatabiri utaona huu utabiri.
Pia, huwa tunaota ndoto nyingi sana, tunazokumbuka ni chache tu, sasa mara nyingine inawezekana tunaota ndoto za msiba mara nyingi hatuzikumbuki, tukipata habari za msiba ndiyo tunakumbuka ndoto za msiba.
Kitu cha msingi ni kwamba, jinsi ubongo unavyofanya kazi, consciousness, mawazo, ndoto kuna mambo mengi sana bado hatujayaelewa vizuri, na kabla ya kukimbilia kusema tunaweza kutabiri mambo ya mbele kwa ndoto, na habari za "mambo ya kiroho" ambayo hayana ushahidi, inatupasa tufanye uchunguzi wa kisayansi wa kina kwanza.
Wazungu walikuja na elimu ya kutabiri kupatwa kwa jua na mwezi, down to the minute. Waafrika ambao hawakujua hiyo elimu walivyoona hivyo, wakaona huu uchawi, mtu atawezaje kutabiri kupatwa kwa jua?
Naam, kama una mawazo ya kusema uwezo wa kutabiri yajayo ni mambo ya kiroho, uchawi, clairvoyance, unaweza kukubali hivyo kirahisi tu.
But is that the case? No.
Leo tumeelewa sayansi ya kupatwa kwa jua na mwezi (eclipses), hatuhitaji kutaja uchawi wala mambo ya kiroho kuelezea hilo.
Kuna charts zinazoelezea kupatwa kwa jua kwa maelfu ya miaka in the future.
Follow the science. Haya mambo ya mumbo jumbo za roho ni maneno ya enzi za giza hayo tunatakiwa kuyapita kwenye ulimwengu huu wa sayansi.
Yani hata kama hatuna jibu, tunatakiwa tulitafute kisayansi, sio kuanza kupiga ramli kuhusu mambo ya kiroho hapa.
Wewe ni tapeli tu. Na zaidi nenda katibiwe yawezekna una ugonjwa wa kurukwa na akili.Kuna vitu mpaka sasa siwez kuviamini kama vipo...MUNGU NA SHETANI na sielewi nitumie mbinu gani ili niamin kimoja wapo kipo? mana nimesali sana makanisa kibao nimejitaid niwe na imani kweri kwer nilichokipenda huku utulivu wa nafsi huku ukitegemea baadae , kwa upande wa shetani nimeroga sana sijui njombe, sumbawanga, malawi, zambia, nijeri nimetoa mpaka kafara za damu.,, lakini sijaona uwepo wa hivi vitu majini sijui msukule nk baada ya kufanya hayo nikajigundua sikustaili kuwepo hapa dunian labda kuna sehemu yangu ya kuish mana sion tena umuhimu wa haya maisha yaan dunian nilikuja tafuta pesa, kujenga kuoa na kufa how? labda mtoa mada ungenieleza kiundan na kama kuna sehemu naweza ona majini hata ndondocha polepole nirudishe iman ila kwa sasa meng naona janja janja japo kuwa nina kipawa ndan yangu
siyo kweliDini hazinaga facts, masuala ya Mungu hayani facts ni kuamini tu bila uthibitisho wowote
Mungu yupoMungu hawezi kujibu, kwa sababu hayupo.
Mungu ambaye hayupo atajibu vipi?
Ndiyo maana watu wanahangaika sana kumjibia.
Ukiona watu wanahangaika kumjibia Mungu, ujue huyo Mungu hayupo.
Vinginevyo angejibu mwenyewe kama ulivyosema.
Mimi ni muamini,Mkuu acha ubishi
Kusoma teolojia haikupi kibali kwamba unajua kila kitu
Neno Mungu au MUNGU linawakilisha Mungu mkuu muweza wa yote asiye na mwanzo wala mwisho
Neno mungu linawakilisha sisi binadamu (miungu)
Mambo ya kwamba ulisoma theology yaache kwanza pembeni
Daktari eeeh.Mkuu umejibu Vyema kuwa Huna Uhakika..
Je Hii Unaijua Mkuu!..
Zaburi 82:6
"Mimi nimesema, Nyinyi ni miungu,
Na wana wa Aliye juu, nyote pia.
I have said, Ye are god; and all of you are children of the most High."
Na unakumbuka Pia Andiko hili Yesu aliwahi kulirudia walipomwambia kwanini anajiita mwana wa aliyejuu..
Yohana 10:30-35
[30]Mimi na Baba tu umoja.
[31]Basi Wayahudi wakaokota mawe tena ili wampige.
[32]Yesu akawajibu, Kazi njema nyingi nimewaonyesha, zitokazo kwa Baba; kwa ajili ya kazi ipi katika hizo mnanipiga kwa mawe?
[33]Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.
[34]Yesu akawajibu, Je! Haikuandikwa katika torati yenu ya kwamba, Mimi nimesema, Ndinyi miungu?
[35]Ikiwa aliwaita miungu wale waliofata na kutii neno la Mungu; (na maandiko hayawezi kutanguka);
Hujataja upande wa pili gani, hujataja mapungufu yangu, weka vitu wazi au kaa kimya.Niseme hongera kwa ukijuacho...
Ila upande wa pili nakupa Pole sana.
Wakuu mmegusia masuala ya ndoto na Mtaalam @Kiranga katolea uchambuzi wa kisayansi Kuhusu experience yake katika ndoto, subconscious mind & clairvoyance mchango wenu nzuri sana na_ appreciate👍.
a). Nilikuwa napita njia kijiji hadi kijiji, njia zile za vjijini ilikua pori kwa pori maeneo niliyopita haykua msititu. mnene bali ni miti ya kimo cha kati ya hapa na pale(scattered) ikiambatana na vichaka na nyasi.
Nikafika sehemu ni kama pamezoeleka kuwa na maji huwa yanappita ila kwa wakati ule ni kama ule mto umekauka pamebaki mkondo wa mto usio na maji mchanga miamba na ufo go wa ule mto ndio vinaonekana. Mimi nikiwa sehemu ya chini uku ya mkondo wa mto nikitizama juu ulikotokea mto.
Niligaiiri kutumia njia ya poli kwa poli nikarudi juu kule nikachukua njia kuu yanayoweza kupita hata magari gafra nikajikuta nipo na mtu mwingine akiwa anaendessha bodabda mimi Nyuma kama abilia wake tuliendelelea na safari mbele tukakutana na checkpoint bala bala ikiwa imezuiwa na kamba na ilionekana ni kama sio rasmi na ipo kwa muda tu, na wakaguzi wawili vijana walionekana kama hawako pale kihali na kwa muonekano wao ni kama wana agenda za siri (wakutiliwa mashaka) yaani kama walikua wanapiga surveillance kila kitu kinachpita njia ile tukapewa maelekezo na wale vijana kua tusipite ile njia moja ka moja bali tuzunguke tukaondoka.
d). Nikajikuta tena sehemu Nyingine niko juu ya ngema chini kuna njia kuu (highway) nikatazama chini ya ile ngema nikaona balabala haina magari isipokua kuna kifaru cha jeshi kikiwa na askari wawili mmoja yupo ndani mwingine yupo juu ya kifaru kile huku ule mtutu wa kifaru ukiwa uanaangaza huku na huku(haujatulia) kana kwamba aliyekua anaongoza alikua anawasiwasi sana asijue alenge wapi. , wale askari walikua wamevaa gwanda zilizofanana na rangi ya kifaru ulikua ni kaki inayoelekea kwenye ukijani flani hivi.
Mwisho wa ndoto.
Free will au choice ndio itakayokuangamiza. Chagua chama ili uishi ila ukichagua mabaya au mauti utakufa tuu“JE ? KAMA MUNGU WETU MKWELI ANAIJUA KESHO YAKO/YETU, YANI ALIJUA WEWE UTAFANYA HAYO YOTE ULIOFANYA KABLA ATA HUJAANZA KUFANYA, KWANINI ATAKUCHOMA MOTO/ KWANINI ATAKUANGAMIZA”
Kiranga Tafadhali mkuu pita huku kidogo wasaidie ndugu zetu
Kuelezea kuhusu Mungu ilhali haujui kitu ni kukosea sana..unaikosea nafsi yako na pia unawakosea wenye ulimwengu wa roho, unamkosea hadi creator ambaye haumjui ni nani.Biblia haijasema binadamu ni Mungu
Biblia imesema binadamu ni mfano wa Mungu
Pia utatakiwa ufahamu neno Mungu au MUNGU lina maana tofauti na neno mungu.