Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

Habari mkuu,

Naomba unikoti ulipoendeleza maana uzi wako umevamiwa na watu wasioeshimu mijadala husika.
T
Nenda kwenye comment ya 340 utakuta hapo mwendelezo kidogo,kabla sijazuiliwa kuendeleza tena kutokana na kubanwa na shughuli za kushughilikia kufungua nafsi za baadhi ya watu humu ili wanielewe kwa mazito yatakayoshushwa hapa.
TunaSubiri Mkuu, ungeendelea nao tu, hata ule uzi wa SIRAHA 5 za Kiroho ulipata upinzani ila ulienda hewani na umetujenga watu wengi sana...🙏🏽
 
Mkuu walker water tunasubiria somo. Muda wa kusubiria usiwe mwingi mpaka ile hamu ya kusoma inakwisha.
 
Siku ukipata changamoto ya maisha ndo utaamini kuwa mungu yupo.
 
Siku ukipata changamoto ya maisha ndo utaamini kuwa mungu yupo.
Hapana,

Changamoto yoyote ya maisha inaonesha Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.

Mungu huyo angekuwepo, maisha yasingekuwa na changamoto yoyote.
 
Hapana,

Changamoto yoyote ya maisha inaonesha Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.

Mungu huyo angekuwepo, maisha yasingekuwa na changamoto yoyote.
Amini unachoamini ila mungu yupo tena anaishi.
 
Amini unachoamini ila mungu yupo tena anaishi.
Sitaki habari za kuamini, nataka kutafuta ukweli uliozidi imani tu.

Huyo Mungu hujathibitisha yupo, unamsema kwa imani tu.

Thibitisha yupo.
 
Sitaki habari za kuamini, nataka kutafuta ukweli uliozidi imani tu.

Huyo Mungu hujathibitisha yupo, unamsema kwa imani tu.

Thibitisha yupo.
Mkuu wewe una akili? Thibitisha uwepo wa akili yako. Au haipo?
 
Mkuu wewe una akili? Thibitisha uwepo wa akili yako. Au haipo?
Kama nina akili au sina, vyovyote vile, jibu lolote nitakalotoa halithibitishi Mungu yupo.

Hivyo, swali lako, katika muktadha wa kutafuta ukweli kama Mungu yupo au hayupo, halina maana.

Swali lako halina maana.

Kwa sababu nikisema nina akili, jibu hilo halithibitishi Mungu yupo.

Hata ukiniuliza kwani akili niliyo nayo nishawahi kuiona? Bado ni non sequitur. Kwa sababu sijapinga uwepo wa Mungu kwa sababu Mungu haonekani.

Hujaelewa hata hoja yangu ni ipi.

Nikisema sina akili, jibu hilo pia halithibitishi Mungu yupo.

Swali lako ni logical fallacy ya non sequitur.

Swali lako ni la kijinga. Halitusogezi mbele kwenye kujua ukweli. Halina maana yoyote jatika kutafuta ukweli kama Mungu yupo au hayupo.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…