Upumbavu ni nini? Hoja ipi ni ya kipumbavu? Unathibitisha vipi hoja hiyo ni ya kipumbavu kweli, na si wewe tu unaiita ya kipumbavu kwa sababu huipendi tu?Bora zingekuwa ni hoja walau ningetafuta muda, shida ni hoja za kipumbavu
Saidia wahitaji hasa yatimaili niwe milionea kwa kanuni za Kimungu natakiwa nifanyaje?
Nini kipo mkuuMungu hayupo.
Habari za Mungu kuwapo ni hadithi za kutungwa na watu tu.
Upumbavu ni kitu chochote kisicho na faida kwa jamii pana kwa ujumla wakeUpumbavu ni nini? Hoja ipi ni ya kipumbavu? Unathibitisha vipi hoja hiyo ni ya kipumbavu kweli, na si wewe tu unaiita ya kipumbavu kwa sababu huipendi tu?
Nini katika muktadha gani?
Tuthibitishie kama MUNGU hayupo..!?Mungu hayupo.
Habari za Mungu kuwapo ni hadithi za kutungwa na watu tu.
Hapaan.Upumbavu ni kitu chochote kisicho na faida kwa jamii pana kwa ujumla wake
Kusema Mungu yupo Hakuna madhara yoyote kwa jamii nzima kama kusema Mungu hayupo
Uthibitisho wa aina gani utakuridhisha kuwa Mungu hayupo?Tuthibitishie kama MUNGU hayupo..!?
Wa aina yeyote uleUthibitisho wa aina gani utakuridhisha kuwa Mungu hayupo?
Kwa hiyo nikikwambia Mungu hayupo kwa sababu mimi ni Mungu utaridhika na uthibitisho huo?Wa aina yeyote ule
Kama Kawaida yako, maelezo mengi halafu point Hakuna hata mojaHapaan.
Kusema Mungu yupo, kama hayupo, kunaweza kuleta madhara mengi katika jamii.
Tumeona jinsi imani za Mungu kuwepo zilivyodhoofisha maendeleo ya kisayansi.
Galileo aligundua dunia inazunguka jua, jua halizunguki dunia. Ukweli huu ulikuwa kinyume na imani za kidini zilizosema kwamba jua linazunguka dunia.
Imani za kidini za kuamini Mungu kaiumba dunia na kaiweka katikati ya ulimwengu zilimpinga Galileo na kusababisha maendeleo ya kisayansi kuzorota.
Watu wanakataa dawa na kuamini watapona kwa kuonbewa jwa Mungu, huu ni ujinga.
Watu hawafanyi kazi, wanaamini wakimuomba Mungu atawasaidia, huu ni ujinga wenye madhara makubwa.
Watu wanaishi kwa hofu ya Mungu ambaye hayupo, huu ni ujinga.
Watu wanaibiwa hela kwa kuambiwa wamtokee Mungu anbaye hayupo, huo ni ujinga.
Kuamini Mungu yupo, kama hayupo, kunaweza juwa na madhara makubwa sana.
Umetoa dai kwamba imani kwamba Mungu yupo haina madhara.Kama Kawaida yako, maelezo mengi halafu point Hakuna hata moja
Kama wewe umeshindwa kumuona Mungu kwenye maisha yako usitake kuambukiza wengine ujinga wako
Mungu hafungwi na maelezo ya kwenye Biblia au Quran na maelezo ya mwanasayansi Galileo, Mungu ni ya zaidi ya hivyo vyote.
Kisicho kuwepo, Hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.Tuthibitishie kama MUNGU hayupo..!?
Sioni madhara yoyote kwa mtu kuambiwa Mungu yupoUmetoa dai kwamba imani kwamba Mungu yupo haina madhara.
Nimekuonesha jinsi imani ya Mungu ilivyo na madhara.
Inaonekana wewe ni wale wa "sitaki shule" ukiwekewa hoja za kimantiki unaogopa kusoma na kusema "haya maelezo mengi".
Hilo tu ni ushahidi kwamba Mungu hayupo.
Angekuwepo asingeumba watu wajinga na waoga wa kusoma kama wewe.
Twende polepole.Sioni madhara yoyote kwa mtu kuambiwa Mungu yupo
Madhara yote ulioyaandika hapo ni Ukosefu wa elimu sahihi kuhusu Mungu
Siyo kila kitu unachoomba kwa Mungu lazima akupe, hata wewe mwenyewe siyo kila kitu unachoombwa na mwanao lazima umpe
Mimi Naamini Mungu yupo na anatenda kazi
Hakuna madhara yoyote hasa kama ataambiwa ukweli juu ya asili ya MunguTwende polepole.
Kama Mungu hayupo, mtu kudanganywa kwamba Mungu yupo hakuna madhara?
umesema hayupo alafu useme tena wewe ndiye mungu?Kwa hiyo nikikwambia Mungu hayupo kwa sababu mimi ni Mungu utaridhika na uthibitisho huo?
Unafikiri ulimwengu unajiendea tu bila ya mipangilio ya huyo unayesema hayupo? na vipi uumbwaji wakoKisicho kuwepo, Hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.
Angalau kitu kinaweza kuwepo na kuthibitishika kipo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.
Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.
Mungu huyo ni dhana ya kufikirika tu, isiyokuwepo kwa namna yoyote ile zaidi ya mawazo na makisio tu
Ukisema Mungu huyo yupo, eleza na thibitisha Mungu huyo yupo kwa namna gani?
Otherwise huyo Mungu ni makisio yako tu, imaginations just an illusion.
Na huwezi kuthibitisha yupo.
Kama mtu akikwambia Mungu yupo, na Mungu ni mavi yake, na kula hayo mavi yake ni ibada nzuri, kula hayo mavi kama ibada hakutakuwa na madhara?Hakuna madhara yoyote hasa kama ataambiwa ukweli juu ya asili ya Mungu
Ila kama ataambiwa Mungu yupo na kila unachomuomba anakupa hapo madhara yatakuwepo
Hakuna mtu anaweza kuniambia ujinga huo halafu nimwache bila kumpa kipigo cha mbwa kokoKama mtu akikwambia Mungu yupo, na Mungu ni mavi yake, na kula hayo mavi yake ni ibada nzuri, kula hayo mavi kama ibada hakutakuwa na madhara?