Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

Nime kupata mkuu... Kwanza kabisa inatakiwa tujue maana ya miungu Ni nini? ukija kwa mtu mmoja mmoja inamaana tutamuita mungu. Ila kwa kuwa MUNGU yupo mmoja tu hatuta pata wingi wa neno MUNGU hivyo MUNGU atabaki kua MUNGU na hawa miungu wengine ndio tunapata neno mungu nadhani hata mantiki ya walioamua kutenganisha kati ya MUNGU MKUU na miungu wengine katika uandishi kwa kuzingatia herufi kubwa na ndogo walizingatia msingi huu.

Hivyo basi huyu bwana Miti7 anaweza kua sahihi kama tukikubaliana katika maana ya neno miungu.

Kwa Kigezo kwamba MUNGU ametuumba kwa mfano wake inamaana sisi ni miungu ila hatujaufikia uwezo wa MUNGU wetu mkuu tuliefanana naye... uungu wetu una mipaka.

Kwa maoni yangu wala si kwakunukuu popote ninadhani binadamu tumefanana na MUNGU Katika tabaka la kiroho kati ya yale matabaka matatu ambayo ni mwili nafsi na roho.

Na katika tabaka hilo la kiroho ambalo tumefanana na MUNGU ndipo binadamu anaweza kufanya mambo yaliyo nje ya upeo ufahamu wake(kimwili) kwasababu huku kuna infinity Intelligence lakini ni wachache wamefanikiwa ku- access hili tabaka licha ya kuwa kila mmoja/kila binadamu ana potential hiyo sawa (equal chance) kupata hiyo neema. Ukisikia binadamu wote ni sawa kwakigezo hiki inaleta mantiki.

Karibu Dr.
Kwa imani ya dini ya kikristo, hasa mind ya mlokole wa leo, ukimuambia neno mungu point ya kwanza anayojua ni mzimu...so miungu kwake ni mizimu
 
Point yangu ni kwamba, hiyo elimu imecheleweshwa sana kwa sababu ya imani ya dini na Mungu.

Galileo alifungwa kwa kuandika dunia inazunguka jua. Alifungwa na viongizi wa dini waliosema kuwa Galileo anapingana na Biblia.

Na kama imani ya dini na Mungu ilivyozuia maendeleo ya kisayansi miaka 500 iliyopita, bado inazuia maendeleo ya kisayansi mpaka leo.

Inawezekana wewe unajiona umeendelea kwa sababu unakunywa dawa na unaelewa dunia inazunguka jua, lakini, ukimuamini Mungu, epistemology yako si scientific. Ultimately jibu la maswali yako yote linarudi kwa Mungu. Wewe ni rahisi kudanganywa kwa logical fallacy ya argument from authority ya "Mungu kasema hivi" kuliko mtu asiyeamini Mungu.

Epistemology za dini na sayansi ni tofauti. Sayansi inasema kwamba tunaweza kuusoma ulimwengu na kuuelewa kwa kutumia akili/reason. Dini inatuambia tunaweza kujua ukweli wa miujiza tu, kwa neema ya Mungu, tufuate maneno ya Mungu tu, bila kutumia reason wala observation tunaweza kufunuliwa na Mungu tu.

Epistemology ya kidini inadumaza maendeleo.
Galileo alitumia ushahidi wa Biblia katika kujenga hoja zake, hao viongozi wa dini walikua weupe kichwani
Isaya 40:22
 
Kuna vitu mpaka sasa siwez kuviamini kama vipo...MUNGU NA SHETANI na sielewi nitumie mbinu gani ili niamin kimoja wapo kipo? mana nimesali sana makanisa kibao nimejitaid niwe na imani kweri kwer nilichokipenda huku utulivu wa nafsi huku ukitegemea baadae , kwa upande wa shetani nimeroga sana sijui njombe, sumbawanga, malawi, zambia, nijeri nimetoa mpaka kafara za damu.,, lakini sijaona uwepo wa hivi vitu majini sijui msukule nk baada ya kufanya hayo nikajigundua sikustaili kuwepo hapa dunian labda kuna sehemu yangu ya kuish mana sion tena umuhimu wa haya maisha yaan dunian nilikuja tafuta pesa, kujenga kuoa na kufa how? labda mtoa mada ungenieleza kiundan na kama kuna sehemu naweza ona majini hata ndondocha polepole nirudishe iman ila kwa sasa meng naona janja janja japo kuwa nina kipawa ndan yangu
Inaonekana hujajua nini dhamira ya kiumbwa kwako katika huu Ulimwengu ,hivyo unaishi maisha yako mithili ya mnyama anavyoendeshwa na matamanio ya kula,kunywa na kujamiiana.

Dhumuni la kuumbwa mwanadamu katika huu ulimwengu ni moja tu nalo si lingine bali ni kumuabudu Mungu pasi na kumshirikisha na yeyote katika ibada zake.

Ukishindwa kuishi katika lengo kuu la kuumbwa kwako (kiibada) jua kuwa utakuwa mtumwa wa matamanio ya nafsi yako. Ukiyaabudu matamanio ya nafsi yako jua utaishi maisha ya dhiki sana hata kama utakuwa na utajiri kiasi gani , moyo wako utakosa amani,utaishi kwa wasiwasi n.k
 
Galileo alitumia ushahidi wa Biblia katika kujenga hoja zake, hao viongozi wa dini walikua weupe kichwani
Isaya 40:22
Biblia iko all over the place, inajibcontradict, ilisema Joshua alilisimamisha jua ili Waisraeli wapate advantage ya mwanga, kwa maana ya kwamba jua lilikuwa linaizunguka dunia.

Tunajua hayo ni makosa.

Biblia imeandika kwamba dunia haizunguki, kuna aya nyingi sana zipo kuhusu hili. Lakini leo tunajua dunia inazunguka jua na inazunguka kwenye mhimiki wake.

Psalm 104:5 ESV
He set the earth on its foundations, so that it should never be moved.

Joshua 10:13 ESV
And the sun stood still, and the moon stopped, until the nation took vengeance on their enemies. Is this not written in the Book of Jashar? The sun stopped in the midst of heaven and did not hurry to set for about a whole day.

Psalm 93:1 ESV / 54 helpful votes
The Lord reigns; he is robed in majesty; the Lord is robed; he has put on strength as his belt. Yes, the world is established; it shall never be moved.

1 Chronicles 16:30 ESV / 40 helpful votes
Tremble before him, all the earth; yes, the world is established; it shall never be moved.

Psalm 96:10 ESV
Say among the nations, “The Lord reigns! Yes, the world is established; it shall never be moved; he will judge the peoples with equity.”
 
Inaonekana hujajua nini dhamira ya kiumbwa kwako katika huu Ulimwengu ,hivyo unaishi maisha yako mithili ya mnyama anavyoendeshwa na matamanio ya kula,kunywa na kujamiiana.

Dhumuni la kuumbwa mwanadamu katika huu ulimwengu ni moja tu nalo si lingine bali ni kumuabudu Mungu pasi na kumshirikisha na yeyote katika ibada zake.

Ukishindwa kuishi katika lengo kuu la kuumbwa kwako (kiibada) jua kuwa utakuwa mtumwa wa matamanio ya nafsi yako. Ukiyaabudu matamanio ya nafsi yako jua utaishi maisha ya dhiki sana hata kama utakuwa na utajiri kiasi gani , moyo wako utakosa amani,utaishi kwa wasiwasi n.k
angetoa tumbo ili tumuabudu vizur, njaa zinatufanya tusione uwepo wake unatuleta dunian tukuabudu mbinguni malaika hawamtoshi kwa nn tumuabudu kwenye shida maelezo yasiwe mengi kiufup mungu wa kwenye vitabu hayupo
 
Wewe hata usipomuabudu au ukimuabudu humpunguzii wala humzidishii Mungu chochote katika ufalme wake. Mungu si muhitaji wa ibada yako bali wewe ndiye unamuhitaji Mungu katika kuishi kwako.

Amekufanyia ukarimu mwingi ewe mwanadamu kuliko viumbe vingi alivyoviumba. Amekupa macho,masikio,pua,miguu,mikono,akili ili viweze kukusaidia maishani ...hakushindwa kukuumba kuwa jongoo au kuku..sasa hv uwe kitoweo kwa viumbe wengine.

Je hupaswi kuwa mja mwenye shukrani kwa yule aliyekuumba hali ya kuwa hukuwa kitu chenye kutajwa kabla ? Neema zote hizi alizokupa bado unakuwa si mja mwenye shukrani badala yake unalipa matusi,kejeli,ukaidi na dharau kwa yule aliyekuumba.
 
Siku zote uongo hutumia nguvu kubwa kumwelewesha mtu, mtatoa hili mtaweka pale mtatetea hivi mtaweka hapa ila ukweli mungu hayupo angekuwepo sote tungeona uwepo wake mmejitahidi sana kutunga hadith za ovyo ili tuamin uwepo wake kama kweli mungu yupo bas mwez ujao niokote bilion 8 kama hela sio kipaombele chake adondoshe kitu chochote cha bilion 8 iwe dhahabu gem stone nk ili niamini uwepo, mtakuja tena kumtetea ooh mungu hafanyi unachotaka wewe sasa kama hafany anachotaka mtu kwann yupo na ana kazi ipi hapa dunian, au kaz yake kuandika dhambi tu
 
Hayo yote unayotamani yanawezekana tena na zaidi, tatizo linakuja imani tuliowengi hatua(mbele ya MUNGU usiwe na mashaka hata kidogo)

Nilishawahi waza kama hivi, ila mimi niliwaza hivi👉 kwa huu mkanganyiko tuliofikia Sasa hivi huyu anasema hivi yule anasema vile huku kuna wakristu kule waislam mara huko hindu pale Buddha., na hawa manabii walikuwepo zamani sana, sasa sisi kizazi cha sasa hivi tutaamini vipi kuwa tunayosimuliwa ni ya kweli?

Kilichokua kinanitatiza zaidi ni mkanganyiko wa wakristu na waislam kwamba inawezekana vipi MUNGU Amtume Yesu duniani nakutuambia yeye ndio atakua wa mwishi hata tokea mwingini na mtu yeyote hawezi kwenda mbinguni pasipo kupitia kwake, arafu miaka elfu baadae anatokea mtu mwingine nae anasema kuwa yeye ndio wa mwisho kutuhubiria.

Nikaona hili ni tatizo yawezekana kuna kimoja ni fake (kuna kitu hakiposawa)

Sasa mimi sikuhitaji mtu yeyote anielezee hizi contradiction shauku yangu kubwa ni nilitaka Mungu mwenyewe atafute namna ambayo haitaleta mashaka awe kama anafanya (press release) atutangazie. imani ipi ni inamisingi ya kweri ipi haina misingi ya kweli(nani ni nani), tushike lipi tuiache lipi.

Bila shaka MUNGU aliipokea hii shauku yangu na majibu niliyapata.

Nikajifunza kitu kuwa MUNGU huwa anashughulika na mtu mmoja mmoja kulingana na mahitaji yake kwa kuzingatia hali yake Na upeo wake.

Hizo ndoto nilizoziweka ninafahamu dhahiri kabisa zilikua mahsusi kwangu tu na si kwa mtu mwingine na nimekosea kushare na nililifahamu hili ndio maana mwishoni niliweka zingatio (CODED NOTE).
Note: Wz spfc 2ew.
 
Unaiabudu pesa ndio maana unaona pesa ndio kama Mungu wako....Kina firauni walioneshwa mpaka kupasuliwa kwa bahari pande mbili na bado hiyo miujiza haikuwafaa kitu....wewe hata ukipewa hiyo bilioni 8 bado utamkana tu Mungu...sana sana utajisifia kuwa una akili kubwa sana ya kutafuta pesa na wala si uwezo wa Mungu uliokujaalia kuokota hiyo pesa.
 
Hayo yote unayotamani yanawezekana tena na zaidi, tatizo linakuja imani tuliowengi hatua(mbele ya MUNGU usiwe na mashaka hata kidogo)

Nilishawahi waza kama hivi, ila mimi niliwaza hivi👉 kwa huu mkanganyiko tuliofikia Sasa hivi huyu anasema hivi yule anasema vile huku kuna wakristu kule waislam mara huko hindu pale Buddha., na hawa manabii walikuwepo zamani sana, sasa sisi kizazi cha sasa hivi tutaamini vipi kuwa tunayosimuliwa ni ya kweli?

Kilichokua kinanitatiza zaidi ni mkanganyiko wa wakristu na waislam kwamba inawezekana vipi MUNGU Amtume Yesu duniani nakutuambia yeye ndio atakua wa mwishi hata tokea mwingini na mtu yeyote hawezi kwenda mbinguni pasipo kupitia kwake, arafu miaka elfu baadae anatokea mtu mwingine nae anasema kuwa yeye ndio wa mwisho kutuhubiria.

Nikaona hili ni tatizo yawezekana kuna kimoja ni fake (kuna kitu hakiposawa)

Sasa mimi sikuhitaji mtu yeyote anielezee hizi contradiction shauku yangu kubwa ni nilitaka Mungu mwenyewe atafute namna ambayo haitaleta mashaka awe kama anafanya (press release) atutangazie. imani ipi ni inamisingi ya kweri ipi haina misingi ya kweli(nani ni nani), tushike lipi tuiache lipi.

Bila shaka MUNGU aliipokea hii shauku yangu na majibu niliyapata.

Nikajifunza kitu kuwa MUNGU huwa anashughulika na mtu mmoja mmoja kulingana na mahitaji yake kwa kuzingatia hali yake Na upeo wake.

Hizo ndoto nilizoziweka ninafahamu dhahiri kabisa zilikua mahsusi kwangu tu na si kwa mtu mwingine na nimekosea kushare na nililifahamu hili ndio maana mwishoni niliweka zingatio (CODED NOTE).
Mwanadamu wa zama hizi hatakuwa na sababu yeyote ya msingi mbele ya Mungu katika siku ya Qiyama kuwa ujumbe wa Mungu haukumfikia.

Ujumbe wa Mungu unawafikia watu ila watu wanaukejeli. Mungu yeye anahakikisha anatutumizia mahitaji yetu yote yanayotufanya tuishi hapa duniani kwa muda aliotupangia kuishi. Kisha nasi atakwenda kutuuliza ikiwa tuliitikia ujumbe wake na kumuamini hapa duniani kabla ya kufa kwetu?

Siku ya Qiyama ,yule ambae alikufa hali ya kuwa sio miongoni mwa walioamuamini Mungu na mitume yake,atatamani lau kama angeumbwa mchanga ili asikumbane na maswali ya Mola wake.

Amini kwamba hakuna hasara kubwa kwa mwanadamu kama hasara ya kufa hali ya kuwa hakumuamini mola wake na mitume yake. Hasara hii ni ya kwenda kuishi ndani ya moto wa jahannam milele ,anaungua pasi na kufa. Jaribu kufikiria maumivu yake na Mungu anasema kila ngozi zao zitakapoungua atakuwa anazirudisha upya ili waendelee kuionja adhabu chungu.

Imagine unaungua mwili mzima na hufi.
 
Ndugu Kiranga atakuja akupinge, atatoa hoja ambazo sioni mashiko yake,

Binadamu tuna roho ambazo haziathiriwi na muda, Hilo nmeliamini kupitia mimi mwenyewe,

Kiranga Jambo lingine unatakiwa ufahamu ulimwengu umebeba mambo/vitu vingi sana.

Mimi kadri navyojifunza mambo mapya, Huwa najiona bado sijui kitu kwenye huu ulimwengu ( nmeacha uwanda mpana wa kujifunza mambo mapya kwenye ubongo wangu ) Hivyo napenda na nafurahia kujifunza mambo mapya,

( kwenye hayo mambo mapya mengine ni ya kustaajabisha namna yanavyofanya kazi )
 
Kiranga

Jambo lingine unatakiwa ufahamu ulimwengu umebeba mambo/vitu vingi sana.

Mimi kadri navyojifunza mambo mapya, Huwa najiona bado sijui kitu kwenye huu ulimwengu ( nmeacha uwanda mpana wa kujifunza mambo mapya kwenye ubongo wangu ) Hivyo napenda na nafurahia kujifunza mambo mapya,

( kwenye hayo mambo mapya mengine ni ya kustaajabisha namna yanavyofanya kazi )

Hoja zipi hazina mashiko? Kwa nini hazina mashiko?

Huoni kwamba wewe kusema "atakuja kutoa hoja ambazo hazina mashiko" bila kutaja hizo hoja ni zipi, na kwa nini hazina mashiko, nako ni hoja isiyo mashiko?

Tutajuaje hoja zake hazina mashikonkweli, na sinkwamba wewe huzipendi tu, au huzielewi yu, umeamua kuziita hazina mashiko?
Nimeandika awali hapa kwamba neno roho ni neno pana, ambalo linahitaji kunyumbulishwa ili kueleweka vizuri.

Unapoandika "binadamu tuna roho ambazo haziathiriwi na muda" unakusudia kumaanisha nini?

Roho ni nini? Unahakikishaje ipo kweli na si fantasy yako tu kuwa ipo? Unaweza kuthibitisha kwa kiwango cha kuondoa shaka yoyote kubwa kwamba hiyo roho iko kweli?

Mara zote nikisikia watu wana9ngelea roho kwa mujtadha wako, nikiwabana, wanashindwa kuitetea hoja ya roho kuwapo, wanaishia kwa utetezi wa "personal experienve" ambazo hata hawawezi kututhibitishia jwamba wamekuwa nazo.

Hiyo roho ambayo haiathiriwi na muda hakuna uthibitishonwowote wa kisayansi au kimantiki kwamba ipo.

Hizo ni hadithi za mumbo jumbo abracadabra tu, ujinga wa kuungaunga tangu enzi za giza tu.

Ukibisha, thibitisha hiyo roho ipo kweli.
 
Ndugu Kiranga atakuja akupinge, atatoa hoja ambazo sioni mashiko yake,

Binadamu tuna roho ambazo haziathiriwi na muda, Hilo nmeliamini kupitia mimi mwenyewe,

Kiranga Jambo lingine unatakiwa ufahamu ulimwengu umebeba mambo/vitu vingi sana.

Mimi kadri navyojifunza mambo mapya, Huwa najiona bado sijui kitu kwenye huu ulimwengu ( nmeacha uwanda mpana wa kujifunza mambo mapya kwenye ubongo wangu ) Hivyo napenda na nafurahia kujifunza mambo mapya,

( kwenye hayo mambo mapya mengine ni ya kustaajabisha namna yanavyofanya kazi )
Kwamba ulimwengununa mambo mengi mapya ya kustaajabisha ni kweli.

Lakini, hilo halina maana nikubali ujinga na uongo wowote, kwa sababu tu ulimwengu una mambo mengi mapya nisiyoyajua.

That is a logical fallacy.

In fact two logical fallacies.

A strawman argument and a logical non sequitur.

Hata kama hesabu zina mambo mengi ya ajabu nisiyoyafahamu, na siwezi kuhesabu nikamaliza namba, naweza kujua kwamba, kwenye base ten math, square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2. That is a simple basic truism.

Sasa, ukija wewe na kuniambia kuwa square root ya 2 inaweza kuwa kubwa kuliko 2, ni lazima unioneshe hilo, u prove.

Hutakiwi kusema hivyo halafu uishie kusema tu "hesabu ina mambo mengi sana ya ajabu ambayo hatuyajui, hivyo usibishe, kuna square root ya 2 ambayo ni kubwa kuliko 2.

Inawezekana unachosema ni kweli, but prove it. Tutajuaje ni kweli na si story tu kama huja prove?
 
Jitathimini sana kaka
Kujitathimini ni nini?

Kujitathimini sana ni nini?

Unaweza kupima vipi huyu kajitathimini sana na huyu hajajitathimini sana?

Umejuaje mimi sijajitathimini sana mpaka ukajiona wewe unafaa kuniasa nijitathimini sana?
 
Hoja zipi hazina mashiko? Kwa nini hazina mashiko?

Huoni kwamba wewe kusema "atakuja kutoa hoja ambazo hazina mashiko" bila kutaja hizo hoja ni zipi, na kwa nini hazina mashiko, nako ni hoja isiyo mashiko?

Tutajuaje hoja zake hazina mashikonkweli, na sinkwamba wewe huzipendi tu, au huzielewi yu, umeamua kuziita hazina mashiko?
Nimeandika awali hapa kwamba neno roho ni neno pana, ambalo linahitaji kunyumbulishwa ili kueleweka vizuri.

Unapoandika "binadamu tuna roho ambazo haziathiriwi na muda" unakusudia kumaanisha nini?

Roho ni nini? Unahakikishaje ipo kweli na si fantasy yako tu kuwa ipo? Unaweza kuthibitisha kwa kiwango cha kuondoa shaka yoyote kubwa kwamba hiyo roho iko kweli?

Mara zote nikisikia watu wana9ngelea roho kwa mujtadha wako, nikiwabana, wanashindwa kuitetea hoja ya roho kuwapo, wanaishia kwa utetezi wa "personal experienve" ambazo hata hawawezi kututhibitishia jwamba wamekuwa nazo.

Hiyo roho ambayo haiathiriwi na muda hakuna uthibitishonwowote wa kisayansi au kimantiki kwamba ipo.

Hizo ni hadithi za mumbo jumbo abracadabra tu, ujinga wa kuungaunga tangu enzi za giza tu.

Ukibisha, thibitisha hiyo roho ipo kweli.
Mkuu umefanya sayansindio msingi wako mkuu (benchmark) chochote kile utakipima kwa misingi yana kisayansi, sasa mkuu huoni kama unajijengea ukuta wa kufikiri nje ya boksi.

Wote tunajua kua Sayansi ni =(the systematic study of the structure and behaviour of the physical and natural world through observation, experimentation, and the testing of theories against the evidence obtained.

Tujiulize dhana hizi;

=>Sayansi ni geu(dynamic) kwamba kuna mambo hayajachunguzwa bado na kunayaliyochunguzwa ila yanaweza kurekebishwa/kubadilisha endapo itaonekana yalikosewa. (sifa hii ya sayansi tayari inatia mashaka yakuamini mazima tafiti za kisayansi.

=>je mambo yote duniani ni lazima yawe na ushahidi? Au vitu vyote ni lazima vifate kanuni za kisayansi? Kama hayo mambo yasiyofuata flow za sayansi yapo tuyachukiliaje? Tusiyaamini kwakua sayansi haiyatambui?

=>Kama sayansi inavyojieleza kuwa yenyewe ni somo tu linalojitahidi kuelezea kwa usahihi mambo mbalimbali ya ulimwenguni ambayo yalikuepo kabla hata ya sayansi yenyewe. Sasa kipi kinapaswa kifuate kanuni za mwenzie.

Sayansi ndio inaichunguza asili/wataalamu wa sayansi wanajifunza mambo ya asili na utendajikazi wake, knowledge wanayopata pale wanaifanyia documentation na baadae wanaangalia applicability yake/wataitumia vip yale maarifa katika vumbuzi zao.

Kuna mambo yapo nje ya uwezo wa wanasayansi kuyachakata kwasasa(above their pay grade,) mengine hawajafikilia hata kuyafanyia utafiti.

Mfano: Hapo nyuma ulitolea mifano kadhaa kuhusu subconscious mind u kaelezea masuala ya clairvoyance na clairvoyant, Bwana mkubwa Chosen Rich akakuuliza umuelezee kisayansi nini kilitokea(mechanism behind hiyo hari) hadi ukajua babari siku kadhaa mbele pasipo ufahamu wako? , haukutoa jibu linaloeleweka
Sasa, hapo kama mtu amekaa kwenye kuamini clairvoyance, kujua mambo ya mbali bila kuambiwa, anaweza kuamini kuwa yeye ni clairvoyant, kajua hii habari bila kuambiwa.

Kwangu mimi, hapo naona kuwa ni suala la subconscious memory
Sasa hilo jambo si la ajabu sana lakini pia sio la kawaida, Inawezekana uliliona la kawaida kwasababu limetolewa ufafanuzi katika discipline ya sayansi, yaani utashi wa alie document hii ulimtuma kuelezea kisayansi zaidi, na aka stuck mahali. Kitendo cha wao ku-docoment hiki kitu haimaanishi wao ndio walianzisha la hasha? Kilikuepo kabla na wakaona kinafaa, wakakitumia katika tasnia ya ulinzi usalama na ujasusi wakaapplay knowledge hiyo huko.

Sasa na kuuliza swali kulingana na dhana hizo apo je sayansi ina majibu yote/ya kila kitu tunachopaswa kufahamu hapa duniani,? /ulimwenguni, na je tunaweza kuishi kwa kujitegemea sayansi tu???

Karibuni wakuu.
 
Mkuu,

Kwa vile sayansi haina majibu ya kila kitu, nikikwambia mimi ndiye Mungu muumba wa kila kitu, ndiye niliyeumba ulimwengu, na kila kitu kilichomo ndani ya ulimwengu, ila jambo hilo huwezi kulijua tu, kwa sababu lipo nje ya sayansi, utakubali? Utakubali maneno yangu kama yanaelezea jambo la ukweli mimi ndiye Mungu muumba vyote?
 
Back
Top Bottom