Mkuu umefanya sayansindio msingi wako mkuu (benchmark) chochote kile utakipima kwa misingi yana kisayansi, sasa mkuu huoni kama unajijengea ukuta wa kufikiri nje ya boksi.
Wote tunajua kua Sayansi ni =(the systematic study of the structure and behaviour of the physical and natural world through observation, experimentation, and the testing of theories against the evidence obtained.
Tujiulize dhana hizi;
=>Sayansi ni geu(dynamic) kwamba kuna mambo hayajachunguzwa bado na kunayaliyochunguzwa ila yanaweza kurekebishwa/kubadilisha endapo itaonekana yalikosewa. (sifa hii ya sayansi tayari inatia mashaka yakuamini mazima tafiti za kisayansi.
=>je mambo yote duniani ni lazima yawe na ushahidi? Au vitu vyote ni lazima vifate kanuni za kisayansi? Kama hayo mambo yasiyofuata flow za sayansi yapo tuyachukiliaje? Tusiyaamini kwakua sayansi haiyatambui?
=>Kama sayansi inavyojieleza kuwa yenyewe ni somo tu linalojitahidi kuelezea kwa usahihi mambo mbalimbali ya ulimwenguni ambayo yalikuepo kabla hata ya sayansi yenyewe. Sasa kipi kinapaswa kifuate kanuni za mwenzie.
Sayansi ndio inaichunguza asili/wataalamu wa sayansi wanajifunza mambo ya asili na utendajikazi wake, knowledge wanayopata pale wanaifanyia documentation na baadae wanaangalia applicability yake/wataitumia vip yale maarifa katika vumbuzi zao.
Kuna mambo yapo nje ya uwezo wa wanasayansi kuyachakata kwasasa(above their pay grade,) mengine hawajafikilia hata kuyafanyia utafiti.
Mfano: Hapo nyuma ulitolea mifano kadhaa kuhusu subconscious mind u kaelezea masuala ya clairvoyance na clairvoyant, Bwana mkubwa
Chosen Rich akakuuliza umuelezee kisayansi nini kilitokea(mechanism behind hiyo hari) hadi ukajua babari siku kadhaa mbele pasipo ufahamu wako? , haukutoa jibu linaloeleweka
Sasa hilo jambo si la ajabu sana lakini pia sio la kawaida, Inawezekana uliliona la kawaida kwasababu limetolewa ufafanuzi katika discipline ya sayansi, yaani utashi wa alie document hii ulimtuma kuelezea kisayansi zaidi, na aka stuck mahali. Kitendo cha wao ku-docoment hiki kitu haimaanishi wao ndio walianzisha la hasha? Kilikuepo kabla na wakaona kinafaa, wakakitumia katika tasnia ya ulinzi usalama na ujasusi wakaapplay knowledge hiyo huko.
Sasa na kuuliza swali kulingana na dhana hizo apo je sayansi ina majibu yote/ya kila kitu tunachopaswa kufahamu hapa duniani,? /ulimwenguni, na je tunaweza kuishi kwa kujitegemea sayansi tu???
Karibuni wakuu.