Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Sawa mkuu [emoji2]

Mawazo yako ni lazima yaheshimiwe.
 
Sawa mkuu [emoji2]

Naona umetoa na ushuhuda kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wana mmeni-mind sana
 
Kumbe jamaa ni lipumbavu hivi
 
Msomi, nashukuru sana kwa ushauri mzuri tena Kwa LUGHA yenye staha.

Hizi pesa natoa kama charity tu kaka, ndo mana wala haziniumi.

Akiamua kufanya ufirauni wake is up to yeye. Kupanga ni kuchagua. Ila sio kwamba nikijua anazitumia ndivyo sivyo labda nitaumia, hell no!
 
Mimi nimekuelewa!

Kwa sasa umebakiza kazi moja tu!

Hakikisha PM yako iko wazi!

Kila la heri! 🖐
 
Mimi natoa kama charity tu mkuu, hizi fedha wala haziwezi kuniuma hata kidogo. Ni kwamba sizihesabii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…