Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Mleta uzi umewapa vichwa hawa viumbe,
Stop doing that kama unafanya kweli, stop giving them money coz money can't buy someone, unajipunguzia worth kama mwanaume. Siku ukifulia utajiona Fala. Kamwe sitakuja kutumia pesa kumridhisha mwanamke, ni kama vile unakua na malaya, utoe pesa ndo upate huduma. Money sio kipimo cha kupendwa. Period
Sawa mkuu [emoji2]

Mawazo yako ni lazima yaheshimiwe.
 
Kuna siku nliwahi kuzungumza na nesi mmoja hivi
Yule dem aliachana na askal mmoja hivi maalufu wilayani pale
Nkamuuliza why ulitengana na jamaa wakati maokoto kibao
Yule manzi alinmby
Kuna wakati unahitaji kua na mtu mwenye future na mtu
Mwenye mipango na matumizi sahihi ya fedha na sio anatumia km kichaa

hivyo mwanamke malaya/mjinga na Mpuuzi tu ndio hufurahia fedha pasipokua na utafutaji
Sawa mkuu [emoji2]

Naona umetoa na ushuhuda kabisa.
 
Hakika, nami niliwah kosana na mwanamke sababu ya hivi, nikataka kumuonesha kwamba tunafurahia dunia, full kulala hotelin na mivyakula, sad enough akaniambia hagau una matumizi mabaya sana ya fedha na hivyo mm sipend mtu wa hivyo, nikadahan anatania ila akapunguza mahusiano had tukasauliana. Ukipata mtu anaejielewa anakuona zuzu boya sana ilihal ww ulitaka kuonekana mwamba.
[emoji23][emoji23][emoji23] wana mmeni-mind sana
 
Learned brother. Tulihangaika sana kukushauri katika uzi huu 👇 lakini inavyoonekana bado hujajifunza kitu!

Pesa zitakurahisishia kupata utelezi tu lakini hazitakusaidia kupendwa! Na usipoangalia kuna jamaa atakuwa anazifaidi hizo pesa zako.

Mwaga mapesa kwa binti ambaye tayari ni mchumba wako au ambaye tayari ulishaamua kuwa ndiye; na yeye alishakukubalia kuwa ndiye vinginevyo ni mismanagement of resources na kujirudisha nyuma bila sababu za msingi labda kama unahesabu hizo pesa kama sadaka ya kusaidia masikini na wanaoishi katika mazingira hatarishi! 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️


View attachment 2980447
Kumbe jamaa ni lipumbavu hivi
 
Learned brother. Tulihangaika sana kukushauri katika uzi huu [emoji116] lakini inavyoonekana bado hujajifunza kitu!

Pesa zitakurahisishia kupata utelezi tu lakini hazitakusaidia kupendwa! Na usipoangalia kuna jamaa atakuwa anazifaidi hizo pesa zako.

Mwaga mapesa kwa binti ambaye tayari ni mchumba wako au ambaye tayari ulishaamua kuwa ndiye; na yeye alishakukubalia kuwa ndiye vinginevyo ni mismanagement of resources na kujirudisha nyuma bila sababu za msingi labda kama unahesabu hizo pesa kama sadaka ya kusaidia masikini na wanaoishi katika mazingira hatarishi! [emoji2221][emoji2221][emoji2221]


View attachment 2980447
Msomi, nashukuru sana kwa ushauri mzuri tena Kwa LUGHA yenye staha.

Hizi pesa natoa kama charity tu kaka, ndo mana wala haziniumi.

Akiamua kufanya ufirauni wake is up to yeye. Kupanga ni kuchagua. Ila sio kwamba nikijua anazitumia ndivyo sivyo labda nitaumia, hell no!
 
Msomi, nashukuru sana kwa ushauri mzuri tena Kwa LUGHA yenye staha.

Hizi pesa natoa kama charity tu kaka, ndo mana wala haziniumi.

Akiamua kufanya ufirauni wake is up to yeye. Kupanga ni kuchagua. Ila sio kwamba nikijua anazitumia ndivyo sivyo labda nitaumia, hell no!
Mimi nimekuelewa!

Kwa sasa umebakiza kazi moja tu!

Hakikisha PM yako iko wazi!

Kila la heri! 🖐
 
[emoji38][emoji38][emoji38] kuna watu mnajidanganya.
Mwanamke hata umuonge dunia, sio kwamba ndio atatulia. Mwanamke huwa hathamini fadhila, yeye huthamini tu hisia zake, jinsi hisia zake zitakapomtuma ndio hufanya.
Mwanaume, ukitaka uje uishi kwa majuto hapa dunianni, basi wekeza pesa zako, nguvu zako, akili yako kwa wanawake, utajuta.
Mimi natoa kama charity tu mkuu, hizi fedha wala haziwezi kuniuma hata kidogo. Ni kwamba sizihesabii.
 
Back
Top Bottom