Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
- #201
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Tunazijutiaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Tunazijutiaaa
Umeona eeh mkuu [emoji28]Ukipenda ni kawaida. Unajikuta tu na hamu ya kumhudumia
Sawa mkuu [emoji2]Mleta uzi umewapa vichwa hawa viumbe,
Stop doing that kama unafanya kweli, stop giving them money coz money can't buy someone, unajipunguzia worth kama mwanaume. Siku ukifulia utajiona Fala. Kamwe sitakuja kutumia pesa kumridhisha mwanamke, ni kama vile unakua na malaya, utoe pesa ndo upate huduma. Money sio kipimo cha kupendwa. Period
Sawa mkuu [emoji2]Kuna siku nliwahi kuzungumza na nesi mmoja hivi
Yule dem aliachana na askal mmoja hivi maalufu wilayani pale
Nkamuuliza why ulitengana na jamaa wakati maokoto kibao
Yule manzi alinmby
Kuna wakati unahitaji kua na mtu mwenye future na mtu
Mwenye mipango na matumizi sahihi ya fedha na sio anatumia km kichaa
hivyo mwanamke malaya/mjinga na Mpuuzi tu ndio hufurahia fedha pasipokua na utafutaji
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ni Malaya mwenzao wananunuana,
Ila akae akijua kuna mwanaume sehemu anakula pasu pasu hizo chenji zake.
Nadhani hili jambo jamaa halifahamu.
Makasiriko ya nini tena mkuu [emoji23][emoji23]Jinga sana huyo, anafikiri kila mwanaume ana udhaifu huo
[emoji23][emoji23][emoji23] wana mmeni-mind sanaHakika, nami niliwah kosana na mwanamke sababu ya hivi, nikataka kumuonesha kwamba tunafurahia dunia, full kulala hotelin na mivyakula, sad enough akaniambia hagau una matumizi mabaya sana ya fedha na hivyo mm sipend mtu wa hivyo, nikadahan anatania ila akapunguza mahusiano had tukasauliana. Ukipata mtu anaejielewa anakuona zuzu boya sana ilihal ww ulitaka kuonekana mwamba.
Cha Hidaya 🤣🤣🤣Ngoja wanaume wakware waje hapa na kasi ya kimbunga....😹
[emoji23][emoji23][emoji23]We tuma tu wanao chimba mgodi wengineee! Tena mmm ukiwafahamu jasho litkutoka hadi kwenye meno
Kumbe jamaa ni lipumbavu hiviLearned brother. Tulihangaika sana kukushauri katika uzi huu 👇 lakini inavyoonekana bado hujajifunza kitu!
Pesa zitakurahisishia kupata utelezi tu lakini hazitakusaidia kupendwa! Na usipoangalia kuna jamaa atakuwa anazifaidi hizo pesa zako.
Mwaga mapesa kwa binti ambaye tayari ni mchumba wako au ambaye tayari ulishaamua kuwa ndiye; na yeye alishakukubalia kuwa ndiye vinginevyo ni mismanagement of resources na kujirudisha nyuma bila sababu za msingi labda kama unahesabu hizo pesa kama sadaka ya kusaidia masikini na wanaoishi katika mazingira hatarishi! 🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️
Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni
Maisha ni lazima yaendelee. Nakiri kwamba nilikuwa malaya sana zamani lakini nikaamua kubadilika baada ya kugundua kwamba mahusiano mengi kwa wakati mmoja yanapoteza muda, rasilimali fedha, yanadhoofisha mwili, akili n.k. Nimekuwa kwenye mahusiano serious kwa takribani mwaka na nusu na Mwl...www.jamiiforums.com
View attachment 2980447
Ndo hivyooo!Wacha weeeeee.....
Msomi, nashukuru sana kwa ushauri mzuri tena Kwa LUGHA yenye staha.Learned brother. Tulihangaika sana kukushauri katika uzi huu [emoji116] lakini inavyoonekana bado hujajifunza kitu!
Pesa zitakurahisishia kupata utelezi tu lakini hazitakusaidia kupendwa! Na usipoangalia kuna jamaa atakuwa anazifaidi hizo pesa zako.
Mwaga mapesa kwa binti ambaye tayari ni mchumba wako au ambaye tayari ulishaamua kuwa ndiye; na yeye alishakukubalia kuwa ndiye vinginevyo ni mismanagement of resources na kujirudisha nyuma bila sababu za msingi labda kama unahesabu hizo pesa kama sadaka ya kusaidia masikini na wanaoishi katika mazingira hatarishi! [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni
Maisha ni lazima yaendelee. Nakiri kwamba nilikuwa malaya sana zamani lakini nikaamua kubadilika baada ya kugundua kwamba mahusiano mengi kwa wakati mmoja yanapoteza muda, rasilimali fedha, yanadhoofisha mwili, akili n.k. Nimekuwa kwenye mahusiano serious kwa takribani mwaka na nusu na Mwl...www.jamiiforums.com
View attachment 2980447
Sawa mkuu [emoji2]Hao wanaofanya hivyo ni wale wanaotafuta kwa jasho na kuhonga kama mvua mwisho wa siku pesa zao huhonga wengine (Ben ten) na wao wanapewa invoice usiku na mchana
Do it at your own risk!!! Usije kasirika ama kuua mambo yakienda mrama
Kwamba huyu ni Lucas kwa ID nyingine ama [emoji848][emoji28]Lucas Mwashambwa bana una vituko.
Mimi nimekuelewa!Msomi, nashukuru sana kwa ushauri mzuri tena Kwa LUGHA yenye staha.
Hizi pesa natoa kama charity tu kaka, ndo mana wala haziniumi.
Akiamua kufanya ufirauni wake is up to yeye. Kupanga ni kuchagua. Ila sio kwamba nikijua anazitumia ndivyo sivyo labda nitaumia, hell no!
utakuemo tu[emoji28][emoji28] ila mimi simo
Mimi natoa kama charity tu mkuu, hizi fedha wala haziwezi kuniuma hata kidogo. Ni kwamba sizihesabii.[emoji38][emoji38][emoji38] kuna watu mnajidanganya.
Mwanamke hata umuonge dunia, sio kwamba ndio atatulia. Mwanamke huwa hathamini fadhila, yeye huthamini tu hisia zake, jinsi hisia zake zitakapomtuma ndio hufanya.
Mwanaume, ukitaka uje uishi kwa majuto hapa dunianni, basi wekeza pesa zako, nguvu zako, akili yako kwa wanawake, utajuta.