Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Kama anakupa tamu yake unajilia hadi unatosheka huyo anastahili kupewa hela

Wengine hatupendi kupewa Kwa kupimiwa, eti hataki upige zaidi mbili utasema dozi ya chloroquine 🙌😜
 
If you want your woman to feel like a real woman kuna baadhi ya mambo lazima umfanyie aisee, sio ufundi tu kitandani, ni zaidi ya hapo.

Hata mimi mwanaume nikimpa mwanamke wangu hela tena bila yeye kuniomba huwa nau-feel kabisa uanaume wangu.
Uanaume wako haufili mpaka ufanyae kitu fulani? una upungufu wa nini mkuu angalia usije ingia kwenye michezo mibaya, u were born a man and u will always live as a man and situation doesn't define you
 
Dah

Dah! Hata kama mkeka umesoma huwez kuwa na dharau za namna hii,
Huyo unaesema unamridhisha kwa pesa ujue kuwa hakosi sababu,
Kuna Uzi humu dada analalamika kuwa boyfriend wake anampa Kila kitu ila mvivu kitandani yaan Kila akikutana nae dada haoni ndani mpaka inafika wakati anamchukia saivi, na jamaa analazimisha ndoa but dada anasita kuwa kama yakuiba Inakuwa hivi je ikiwa mbelelele itakuaje?
Mi Kila siku huaga nawaambia nyie wanaume papala kuwa mwanamke haridhishwi hata siku Moja iwe kwenye pesa au kwingine kokote kule.
Hiki kiumbe kilivyo Cha ajabu ni kwamba anaridhishwa na mambo yakijinga saana, yaani kuwa bandidu saana kwake alafu siku Moja Moja uwe mwema yaan maisha yenu yanakuwa kwenye hiyo circle hawez kutoka kwako niamin mim.
Ila ukiwa na mapenz ya ujinga kama haya unayoyasema ww anakuona zoba huyu na atakufanyia vituko mbele ya miamala Yako mpaka ushangae dadeewki.
We jiulize kwann zamani watu walikuwa hohehahee lakin ndoa zao zilikuwa zinadum?? Hata ukute mume fukara kias Gani lakin mke hatok
Tafuta hela mkuu [emoji23]
 
Uanaume wako haufili mpaka ufanyae kitu fulani? una upungufu wa nini mkuu angalia usije ingia kwenye michezo mibaya, u were born a man and u will always live as a man and situation doesn't define you
Ok [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kindly refer to the heading above..


Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]

Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no 41510040XXX (MILLICENT MZURI) ref:XXX4298373. Thanks for using Exim Mobile, call 0800 780 111 for any assistance needed.

Au,

AirtelMoney
Umetuma Tsh270,000.00 kwenda kwa MILLICENT MZURI. Salio lako jipya ni Tsh2,100,000.00. Muamala No: CI240503.1856.N57337

Hiyo miamala yote uwe umemtumia hata bila kuombwa. Kwa mfano huo muamala wa kwanza unakuwa umeutuma jana usiku wa saa saba wakati amelala, akiamka asubuhi anakutana na notification tu. Aisee, mapenzi utayasimulia katika muktadha wa tofauti sana.

Pengine huo muamala wa pili uwe umemtumia leo week end baada ya binti kukwambia anaenda kwenye birthday ya rafiki yake. Halafu muamala unafuatiwa na SMS hii, "baby pls manage that little token from me. Love always" [emoji4] .

Hawa wanawake tunawalaumu bure tu. Tatizo ni kwamba hatuwapi PESA. Kwao pesa ndio kila kitu; nguvu za kiume, uaminifu, utulivu, upole, utu wema, usikivu, unyenyekevu n.k (mengine ongezea mwenyewe).

Sasa wewe hela hutumi, binti anajikaza anakuomba unaanza stori, sijui "ooh bay nipo mbali msibani huku tandahimba ndanindani nina cash tu na mawakala wako mbali" [emoji23], wakati siku hizi kuna sim banking, mobile money transfer n.k

Hata kama huna sim banking, mwanaume unakosaje akiba kidogo kwenye simu kwa ajili ya dharura?!!! Kwanza siku hizi kutembea na cash ni ushamba.

Wanaume tutafuteni pesa. Dunia haina huruma kwa masikini wote lakini hasa sisi WANAUME.

N:B
'MILLICENT MZURI' NI JINA LA KUSADIKIKA TU.
We endelea kumhudumia sisi Wazee wa kitonga mtelezo tunamla bure kabisa na tunapewa vya uvunguni😂😂
 
Hisia bila pesa [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mbona kama una ugeni na wakina dada, unaweza kumjua mwanamke halisi kwa kujifsnya huna kitu uone anakupenda ama lahasha, wapo wanawake wana uvumilivu sana kwa wanaume wasio na hela na waaminifu sasa kujifanyisha huna hela utagundua hisia zake kamili.

Wewe kumuhudumia mwanamke kwa pesa na yeye kuanza kuonyesha anakupenda huoni hapo umetumia external force (pesa) kutengeza mazingira ya upendo, kuna leo unazo pesa nyingi lakini kuna kesho huna kabisa je ataendelea kukupenda kama zamani swali la msingi kabisa kujiuliza.
 
Back
Top Bottom