Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Mkuu mbona kama una ugeni na wakina dada, unaweza kumjua mwanamke halisi kwa kujifsnya huna kitu uone anakupenda ama lahasha, wapo wanawake wana uvumilivu sana kwa wanaume wasio na hela na waaminifu sasa kujifanyisha huna hela utagundua hisia zake kamili.

Wewe kumuhudumia mwanamke kwa pesa na yeye kuanza kuonyesha anakupenda huoni hapo umetumia external force (pesa) kutengeza mazingira ya upendo, kuna leo unazo pesa nyingi lakini kuna kesho huna kabisa je ataendelea kukupenda kama zamani swali la msingi kabisa kujiuliza.
Haya ni mawazo yako mkuu na ni lazima yaheshimiwe.
 
Haya ni mawazo yako mkuu na ni lazima yaheshimiwe.
Nina mwanamke nilishampitisha hii njia sahivi si regret nampenda sana na ndiyo niliemuoa na kanizalia watoto, kwa kweli nilimpitisha katika mtihani mmoja hivi sikutegemea atatoboa lakini akafikia lengo, nikamwmabia mama umehitimu anajiuliza kuna nini sasa ndiyo nikaanza kufunguka nina mali hii na hii leo sipo duniani basi mali hii ni yako na wanao na hii ya mama, aisehh sijutii kukutana nae Mungu kanipa chombo, so wanawake wenye upendo halisia wapo ni kuwapa mitahini tu na kuwapitisha katika majaribu uone alikuja kwako kwa nia zake ama ana upendo kabisa, so hapo sasa utafurahia penzi lake na kumpa anachostahili huduma zote na hivi ni umemuoa inakua safi kabisa na amekuzalia basi unampa huduma stahiki na kumshukuru Mungu kwa kukupa yeye ambae ataweza kuishi nawe ukiwa na pesa na hata usipokua nazo.. Mshirikisheni Mungu wakati wakutafuta mtu wa kuishi nae maana sio jambo jepesi.
 
Sometimes mwanamke anatafuta mtu nje sio kwasababu anataka akukosee au kukumiza ni kwasababu anataka kuona nje kuna nini anataka kuonja so not necessarily anafanya kwasababu personal.
Hebu tulieni bwana. Sie ni watulivu sana, msitusingizie mambo ya ajabu ajabu!!
 
Ni kweli kabisa mimi siku Hz nashikashika vihela huwezi amini demu wangu ananipa ushirikiano balaa sababu huduma za msingi anapata,tunapata,anauhakika wa kula,kipindi cha menstrual anakua safe,etc wala sijiumi Umi.
Wewe picha yako tutaiweka pale njia panda, ili akina Watu8 wawe wanajikumbusha yaliyo ya muhimu wakiiona🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom