Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Unatuma vilaki mbili mbili vyako halafu huyo demu wako anakuja nazo kwa mjuba for getting toasted.

Utakuja ujiue for bullshit mwanaume rijali unajisifia kuhonga pesa ili upendwe [emoji23]
Naona leo umenigeuka mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unatuma vilaki mbili mbili vyako halafu huyo demu wako anakuja nazo kwa mjuba for getting toasted.

Utakuja ujiue for bullshit mwanaume rijali unajisifia kuhonga pesa ili upendwe 😂
Tulia wewe mpare!!
Haya mambo yamekuzidi umri😂😂😂
 
Mm kutokana na approch yangu kwa mademu ya upole na full time care hujikuta wanashindwa kuniomba hela .Basi hulazimika kutumia hii sana .yaan huwa najiweka karibu na mwanamke wangu nijue issues zake kisha nakisia huyu ana shida na laki 3 .naamka tu namtumia laki 3.5 namwambia "bby najua mi sio tajiri ila naomba uipunguzie ulipokwama,love u "
Jf kila mtu anahonga kuanzia laki. 😂 😂. Hii nchi lazima ni force kuihamia mwaka huu na sijui iko wapi, lakini kama ni hapa hdpa bongo nakataa aisee.
 
Kindly refer to the heading above..


Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]

Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no 41510040XXX (MILLICENT MZURI) ref:XXX4298373. Thanks for using Exim Mobile, call 0800 780 111 for any assistance needed.

Au,

AirtelMoney
Umetuma Tsh270,000.00 kwenda kwa MILLICENT MZURI. Salio lako jipya ni Tsh2,100,000.00. Muamala No: CI240503.1856.N57337

Hiyo miamala yote uwe umemtumia hata bila kuombwa. Kwa mfano huo muamala wa kwanza unakuwa umeutuma jana usiku wa saa saba wakati amelala, akiamka asubuhi anakutana na notification tu. Aisee, mapenzi utayasimulia katika muktadha wa tofauti sana.

Pengine huo muamala wa pili uwe umemtumia leo week end baada ya binti kukwambia anaenda kwenye birthday ya rafiki yake. Halafu muamala unafuatiwa na SMS hii, "baby pls manage that little token from me. Love always" [emoji4] .

Hawa wanawake tunawalaumu bure tu. Tatizo ni kwamba hatuwapi PESA. Kwao pesa ndio kila kitu; nguvu za kiume, uaminifu, utulivu, upole, utu wema, usikivu, unyenyekevu n.k (mengine ongezea mwenyewe).

Sasa wewe hela hutumi, binti anajikaza anakuomba unaanza stori, sijui "ooh baby nipo mbali msibani huku tandahimba ndanindani nina cash tu na mawakala wako mbali" [emoji23], wakati siku hizi kuna sim banking, mobile money transfer n.k

Hata kama huna sim banking, mwanaume unakosaje akiba kidogo kwenye simu kwa ajili ya dharura?!!! Kwanza siku hizi kutembea na cash ni ushamba.

Wanaume tutafuteni pesa. Dunia haina huruma kwa masikini wote lakini hasa sisi WANAUME.

N:B
'MILLICENT MZURI' NI JINA LA KUSADIKIKA TU.

Hakuna mwanaume bahiri, ila shida inakuja wanawake wanataka kuchukua ela bila kuwa smart na hapo ndio wanapoona wanaume ni bahiri

Mfano ww kijana uwez kumwambia mwanamke wako au mke wako kuwa, nakuja home nikukute umelala ushavua nguo zote me nakuja kuingiza Tu,

Hata kama akiwa ni mke wako au dem wako hawez kukubali na atamind Sana, so wanaume tunakuwa smart like unasema, I miss your food, so Leo nakuja Kula home na ukifika home na kizawadi hug nyingi badae unakula mzigo simple

Sasa mwanamke anakwambia direct naomba laki moja nikanunue sabun ya kuogea haha mwanaume hata akiwa na milion Mia ukimwambia hiyo sentence hela hakupi,

Au naomba elf 70 nikapake rangi kucha mambo kama hayo

So the way Sisi tunakuwa smart kuwapata wao na wao wawe smart kupata Ela zetu
 
Kwanini when it comes to money huwa unaona hakuna mapenzi ya dhati?
Kuwapenda tunawapenda sana ila na pesa tunataka 😂😂😂

Why ww day one nikikwambia twende tukakulane unasema hakuna mapenzi?
 
Hizi ni hela ndogondogo sana ambazo nazitoa bila maumivu yoyote mkuu [emoji2]

Yule anayekopa ili ahonge ndio atateseka.
Broo, acha kujikaza. Umeshauriwa uache mara moja, siku ukijua unapohonga kuna mwamba anakojolea bila
Hata senti utalia na kusaga meno.

Wana "psycho" wameendelea kugundua kuwa wanawake wanawadharau sana wanaume wenye tabia kama yako. Wanawachukulia kuwa ni dhaifu wasioweza kushawishi pasipo kutumia pesa.

Umeambiwa mfanye binti awe Royal kwako bila kutumia pesa yoyote, hizo huduma unazotoa anastahili mke sio demu 😂 😂
 
Hakikisha una afya nzuri kiuchumi wanawake siyo watu wazuri sana upande huo
Tegemea kuombwa pesa nyingi zaidi na zaidi
Na Kama unazo mpatie tu ili kupata hicho ulichosema
Kwa wanaojitafuta hii haifanyi kazi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania iwekeze kwenye elimu tu na ibadilishe mfumo wa elimu kabisa. Ndipo itaanza kuona maendeleo baada ya miaka 15 mpaka 20 ya mabadiliko ya aina ya elimu yetu.

Kama hatutobadili mfumo wa limu nje ndani, maendeleo ya kweli tusahau, tutabaki kuwa ombaomba tu.

Kwa o,mbaomba namaanisha tegemezi, mfumo wetu wa elimu siyo wa mtu binafsi kujitegemea, ni wa kila mtu kutegemea afanyiwe.
Bibi Faiza katika ubora wako, nimekuelewa Sana mkuu
 
Back
Top Bottom