Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
- #321
[emoji848][emoji119][emoji119]Huo si mshahara wa mwez mzma , kuna mtu anapokea ameo ana watoto wawil amepanga analpa naul akiend kzn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji848][emoji119][emoji119]Huo si mshahara wa mwez mzma , kuna mtu anapokea ameo ana watoto wawil amepanga analpa naul akiend kzn
Tafuta hela [emoji23][emoji23]Ni kwel sina pesa za kutumia kijinga jinga namna hiyo
[emoji28][emoji28][emoji28]Braza tulia....huko pm tulishafikia pazuri, usitufundishe kazi.
Haya ni mawazo yako mkuu na ni lazima yaheshimiwe.Mkuu mbona kama una ugeni na wakina dada, unaweza kumjua mwanamke halisi kwa kujifsnya huna kitu uone anakupenda ama lahasha, wapo wanawake wana uvumilivu sana kwa wanaume wasio na hela na waaminifu sasa kujifanyisha huna hela utagundua hisia zake kamili.
Wewe kumuhudumia mwanamke kwa pesa na yeye kuanza kuonyesha anakupenda huoni hapo umetumia external force (pesa) kutengeza mazingira ya upendo, kuna leo unazo pesa nyingi lakini kuna kesho huna kabisa je ataendelea kukupenda kama zamani swali la msingi kabisa kujiuliza.
Sawa mkuu [emoji28]Kwamba mwanamke sio ndugu yangu, anidai, hajawahi kunipa mchongo wa pesa wala kutoa mchango wowote valuable kwangu halafu from nowhere nimpe hela.! Hell nooo....
Nina mwanamke nilishampitisha hii njia sahivi si regret nampenda sana na ndiyo niliemuoa na kanizalia watoto, kwa kweli nilimpitisha katika mtihani mmoja hivi sikutegemea atatoboa lakini akafikia lengo, nikamwmabia mama umehitimu anajiuliza kuna nini sasa ndiyo nikaanza kufunguka nina mali hii na hii leo sipo duniani basi mali hii ni yako na wanao na hii ya mama, aisehh sijutii kukutana nae Mungu kanipa chombo, so wanawake wenye upendo halisia wapo ni kuwapa mitahini tu na kuwapitisha katika majaribu uone alikuja kwako kwa nia zake ama ana upendo kabisa, so hapo sasa utafurahia penzi lake na kumpa anachostahili huduma zote na hivi ni umemuoa inakua safi kabisa na amekuzalia basi unampa huduma stahiki na kumshukuru Mungu kwa kukupa yeye ambae ataweza kuishi nawe ukiwa na pesa na hata usipokua nazo.. Mshirikisheni Mungu wakati wakutafuta mtu wa kuishi nae maana sio jambo jepesi.Haya ni mawazo yako mkuu na ni lazima yaheshimiwe.
[emoji23][emoji23][emoji23]Sanamu lako lipigwe na radi Daaadek...
Hebu tafadhali sana mumuache Amucus msimtishe tishe🤣🤣Mkuu mi sina wa hivyo. Hiyo response ni kwa ajili ya mkuu Amicus Curiae alidai hajali kama anahonga na huyo chick yuko mtaa anachezea Mic za wana..
Aaah wapi akuhonge nani wewe!! 🤣🤣🤣Sawa mkuu. Ila ujue wanakuja kutuhonga sisi.
Mama akina Atoto kama hajakupenda hata ukimpa hela anaenda kumhonga anayemwelewa zaidi.
Sisi ni show wewe baki na hela zako boss
Wa hivi hawaishiwagi, mnaishiwa nyie hapo sasa na roho mbaya zenu🤣🤣🤣Etiee! Amicus Curiae kaishiwa?
Hebu tulieni bwana. Sie ni watulivu sana, msitusingizie mambo ya ajabu ajabu!!Sometimes mwanamke anatafuta mtu nje sio kwasababu anataka akukosee au kukumiza ni kwasababu anataka kuona nje kuna nini anataka kuonja so not necessarily anafanya kwasababu personal.
Wewe picha yako tutaiweka pale njia panda, ili akina Watu8 wawe wanajikumbusha yaliyo ya muhimu wakiiona🤣🤣🤣🤣Ni kweli kabisa mimi siku Hz nashikashika vihela huwezi amini demu wangu ananipa ushirikiano balaa sababu huduma za msingi anapata,tunapata,anauhakika wa kula,kipindi cha menstrual anakua safe,etc wala sijiumi Umi.
Naunga mkono hoja [emoji1787][emoji16]
Jamani! Jamani! Nakuomba PM basi dada mzuri [emoji4]Hebu tafadhali sana mumuache Amucus msimtishe tishe[emoji1787][emoji1787]
Picha ipi tenaWewe picha yako tutaiweka pale njia panda, ili akina Watu8 wawe wanajikumbusha yaliyo ya muhimu wakiiona🤣🤣🤣🤣
Mkuu fungukaaa [emoji28]asee