Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Unatuma vilaki mbili mbili vyako halafu huyo demu wako anakuja nazo kwa mjuba for getting toasted.

Utakuja ujiue for bullshit mwanaume rijali unajisifia kuhonga pesa ili upendwe [emoji23]
Naona leo umenigeuka mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unatuma vilaki mbili mbili vyako halafu huyo demu wako anakuja nazo kwa mjuba for getting toasted.

Utakuja ujiue for bullshit mwanaume rijali unajisifia kuhonga pesa ili upendwe πŸ˜‚
Tulia wewe mpare!!
Haya mambo yamekuzidi umriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jf kila mtu anahonga kuanzia laki. πŸ˜‚ πŸ˜‚. Hii nchi lazima ni force kuihamia mwaka huu na sijui iko wapi, lakini kama ni hapa hdpa bongo nakataa aisee.
 

Hakuna mwanaume bahiri, ila shida inakuja wanawake wanataka kuchukua ela bila kuwa smart na hapo ndio wanapoona wanaume ni bahiri

Mfano ww kijana uwez kumwambia mwanamke wako au mke wako kuwa, nakuja home nikukute umelala ushavua nguo zote me nakuja kuingiza Tu,

Hata kama akiwa ni mke wako au dem wako hawez kukubali na atamind Sana, so wanaume tunakuwa smart like unasema, I miss your food, so Leo nakuja Kula home na ukifika home na kizawadi hug nyingi badae unakula mzigo simple

Sasa mwanamke anakwambia direct naomba laki moja nikanunue sabun ya kuogea haha mwanaume hata akiwa na milion Mia ukimwambia hiyo sentence hela hakupi,

Au naomba elf 70 nikapake rangi kucha mambo kama hayo

So the way Sisi tunakuwa smart kuwapata wao na wao wawe smart kupata Ela zetu
 
Kwanini when it comes to money huwa unaona hakuna mapenzi ya dhati?
Kuwapenda tunawapenda sana ila na pesa tunataka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Why ww day one nikikwambia twende tukakulane unasema hakuna mapenzi?
 
Hizi ni hela ndogondogo sana ambazo nazitoa bila maumivu yoyote mkuu [emoji2]

Yule anayekopa ili ahonge ndio atateseka.
Broo, acha kujikaza. Umeshauriwa uache mara moja, siku ukijua unapohonga kuna mwamba anakojolea bila
Hata senti utalia na kusaga meno.

Wana "psycho" wameendelea kugundua kuwa wanawake wanawadharau sana wanaume wenye tabia kama yako. Wanawachukulia kuwa ni dhaifu wasioweza kushawishi pasipo kutumia pesa.

Umeambiwa mfanye binti awe Royal kwako bila kutumia pesa yoyote, hizo huduma unazotoa anastahili mke sio demu πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hakikisha una afya nzuri kiuchumi wanawake siyo watu wazuri sana upande huo
Tegemea kuombwa pesa nyingi zaidi na zaidi
Na Kama unazo mpatie tu ili kupata hicho ulichosema
Kwa wanaojitafuta hii haifanyi kazi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Bibi Faiza katika ubora wako, nimekuelewa Sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…