Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Nakazia ujumbe wako mkuu.Umenena vyema Sana.
 
Sasa mkuu kila mtu ana offee alicho nacho, wewe endelea ku offer hyo company, na wenye hela waendelee kuwapa hizo hela mwisho wa siku dada zetu wasiwe na makasiriko duniani.

NB: Mm ntakua na offee Vocha/Bundle la mwezi nimewai [emoji16]
 
Huyo demu hakukupenda mkuu. Alikutafutia tu sababu, kama angekua amekupenda seriously, Angekurekebisa na mngesonga mbele.
 
[emoji16][emoji16] Ah umenishtua kuna mtoto wa mtu hapa nilitaka nimnunulie Jersey, Sasa wacha ni ghairi.
 
Big Brain πŸ‘ŠπŸ™
 
Si anakupa utelezi mkuu au kwako sio big deal?
Iyo ni starehe ya wote, kama anajiuza tukubaliane bei twende lodge tukamalizane kama anataka meaniful relationship anawajibika kujihudumia mahitaji yake yote kwa standard ya maisha aliyoichagua mpaka pale tukapoanza kuishi pamoja kama mke na mume. Kumsaidia mpenzi wako kupo lakini ukiwekewa kama ndio sharti la kupewa penzi then you are a simp
 
Kwanini when it comes to money huwa unaona hakuna mapenzi ya dhati?
Kuwapenda tunawapenda sana ila na pesa tunataka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
money is the root of all evilπŸ˜‚
 
Wanawake hawahitaji hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…