Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

🀣😁😁😁Inatakiwa tuwe tunawapa hata milioni 5 na sio afu tatu πŸ˜‚πŸ˜
Dah leo tu nimetoka kutuma aftatu na miatanoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kweli nastahili kuachwa ..... Halafu huwa nnatabia asiposema Asante naenda huduma kwa wateja narudisha muamala🀭🀭...shwaaaah
 
Uchoyo umekukolea sana🀣🀣
 
Na nyie kwenye Ela ya day one muwe mnaogopa, tena mwingine day one anakwambia siwez kuja mpaka nipate ela ya kusuka laki moja
Sasa wewe kutoa hela unaona ugumu gani!!
 
πŸ˜‚ dah hadi makalio
 
Dah leo tu nimetoka kutuma aftatu na miatano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli nastahili kuachwa ..... Halafu huwa nnatabia asiposema Asante naenda huduma kwa wateja narudisha muamala[emoji2960][emoji2960]...shwaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…