Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

🤣😁😁😁Inatakiwa tuwe tunawapa hata milioni 5 na sio afu tatu 😂😁
Dah leo tu nimetoka kutuma aftatu na miatano😂😂😂😂😂

Kweli nastahili kuachwa ..... Halafu huwa nnatabia asiposema Asante naenda huduma kwa wateja narudisha muamala🤭🤭...shwaaaah
 
Kuna kitu mleya mada sio bure;
1. Anafukuzia mdada wa jf, impression matters.
2. Ameopoa mtoto wa jf, its early stages so impression still matters.
3. Anataka aungwe mkono na jeshi kubwa la wadada.

Huyu ana jambo lake. Uchumi wa mama sio wa kutoa hata mia.
Uchoyo umekukolea sana🤣🤣
 
Na nyie kwenye Ela ya day one muwe mnaogopa, tena mwingine day one anakwambia siwez kuja mpaka nipate ela ya kusuka laki moja
Sasa wewe kutoa hela unaona ugumu gani!!
 
Utakapo kuta huo Mwamala ameutransfer kwa Bwana Wake kama ulivyo usianze kule nyuzi za masikitiko humu.

Ukiskia mwanume kamuua mwanamke au kumdhuru ni baada ya kufanya ujinga kama huu akiamini Mwanamke atampenda.

Hiyo miamala watumie malaya tu watakulamba hadi makalio.
😂 dah hadi makalio
 
Wewe jidanganye tu wenzako walitoa kila kitu Hadi wakasomesha na kujenga nyumba ukweni waliishia kuchapiwa.🤣🤣
images.jpeg
 
Dah leo tu nimetoka kutuma aftatu na miatano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli nastahili kuachwa ..... Halafu huwa nnatabia asiposema Asante naenda huduma kwa wateja narudisha muamala[emoji2960][emoji2960]...shwaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom